misukule

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Allen Kilewella

    Mzimu wa Hayati Magufuli unavyopambana na misukule ya wanamtandao

    Kabla ya kuja kwa waarabu kuleta dini ya Kiislamu na wazungu kuleta Ukristo Tanzania, mababu zetu walikuwa wana mtazamo tofauti na wa hizi dini kuhusu maisha baada ya kifo. Wao waliamini kuna misukule na mizimu. Waliamini kila kifo kina matokeo mawili. Kama mtu atakufa kikawaida, anageuka na...
  2. comrade_kipepe

    Vijana tuache kuwa misukule ya wanasiasa

    Mtu unapewa elfu 20 ukalete fujo Kwenye mkutano wa siasa, unahatarisha Maisha Kwa sababu ya hela ndogo, wakati waliokutuma wamekaa wamekunja 4 wanajilimbikizia Mali nyie ndio mnawekwa mbele kama chambo... ila hawa VIJANA waangaliwe na mabosi zao waongezewe dau kuna Yule alipigwa Right 👊 sidhani...
  3. Lycaon pictus

    Hivi habari za kufungia watu "misukule" ndani zina ukweli wowote?

    Juzi kati nilisoma habari moja kuwa mama mmoja wa kambo huko ughaibuni alimfungia kijana wake wa miaka kumi na moja ndani kwa muda wa miaka 20. Kijana alikutwa akiwa na afya dhoofu kabisa. Mama amekamatwa na kushtakiwa. Miaka ya 1800 mwishoni huko Ufaransa kulikuwa na msichana aliyeitwa...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Wanaume wengi ni Misukule ya Wanawake. Wana utumwa wa kifikra.

    Hamjamboni! Kuna Misukule ya aina nyingi. 1. Kuna Misukule ya Imani Hii ni Misukule ambayo waumini hutafuta pesa kwa Hali na Mali. Kwa jasho na damu na kwenda kupeleka Mali hizo kwa Mitume na Manabii WA mchongo. Wengine hupeleka kwa Waganga. Ukitaka ujue mtu ni Msukule utampima kwenye Mzani...
Back
Top Bottom