miradi ya maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    RC Mhita: Shinyanga tumepokea shilingi 113.33 bilioni toka kwa Rais Samia kwaajili ya Miradi ya maji

    Tazama hii hapa kazi ya Rais Samia ya miaka minne katika Mkoa wa Shinyanga kwenye sekta ya Maji ambapo tayari TZS113.33bilioni Muhtasari wa Miradi ya Maji – Mkoa wa Shinyanga (2020–2025) Kipengele Taarifa Fedha zilizopokelewa TZS bilioni 113.33 Upatikanaji wa maji safi mijini...
  2. The Zanzibar Echo

    Je ni sawa Waziri wa ulinzi kwenda kufungua miradi ya maji?

    Sijui niseme ni tukio la aina gani kufurahisha au kuchukiza au ni kukosa elimu kwa ofisi uliopewa. Naam tukio hili linamhusisha wazir wa ulinzi wa JAMHURI YA MUUGANO TANZANIA ndug Stergomena Tax akienda kufungua mradi wa maji katika kijiji cha chitohali kata ya mkundi Tandahimba mtwara Wazir...
  3. M

    MAUWASA yatumia Tsh bilioni 29 miradi ya maji Maswa

    MAMLAKA ya Maji na Usafi wa Mazingira Mjini Maswa (MAUWASA) imetumia zaidi ya Shilingi bilioni 29 kukamilisha jumla ya miradi 18 ya maji safi na salama katika maeneo mbalimbali ya wilaya ya Maswa, mkoani Simiyu. , Mkurugenzi wa MAUWASA, Mhandisi Nandi Mathias, amesema kiasi hicho cha fedha...
  4. Nipe Maji

    PreGE2025 Waziri wa Maji: Miradi ya maji 2331 imekamilika nchini

    “Jumla ya miradi ya maji 2,331 imekamilika ambapo 1,965 ni ya vijijini na 366 ni ya mijini na hivyo kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji vijijini kutoka wastani wa asilimia 70.1 mwaka 2020 hadi asilimia 83 mwezi Desemba, 2024 na maeneo ya mijini kutoka wastani wa asilimia 84 hadi asilimia...
  5. Nipe Maji

    PreGE2025 Kamati ya siasa ya CCM Kibiti yakagua miradi ya maji ya RUWASA ikihusisha visima 900 vya Mama, kwani mama anatoa hela mfukoni mwake?

    Wakuu Wananchi Wilayani Kibiti Mkoani Pwani Wametakiwa kuilinda vyema miradi ya maji ya wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira vijijini RUWASA waliyojengewa na Serikali ili iweze Kudumu na kuwanufaisha wengine na kuwa endelevu kwa kuitumia vizazi na vizazi. Wito huo umetolewa na Kamati ya...
  6. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Fredrick Lowassa: Serikali ya Rais Samia imetoa takribani shilingi Bilioni 37 kwaajili ya kutekeleza miradi ya maji wilayani Monduli

    Mbunge wa Jimbo la Monduli mkoani Arusha Mhe. Fredrick Lowassa amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imetoa takribani shilingi Bilioni 37 kwaajili ya kutekeleza miradi ya maji wilayani Monduli na hivyo kuwaondoa wananchi wengi kwenye adha ya kusafiri umbali mrefu na kutumia muda mrefu...
  7. Ojuolegbha

    MIRADI YA MAJI ARUSHA:Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) inaendelea na Mradi wa Majisafi wa Mirerani

    MIRADI YA MAJI ARUSHA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) inaendelea na Mradi wa Majisafi wa Mirerani. Mradi huu unagharimu shilingi bilioni 4.3 na utahudumia wakazi wapatao 57,607 wa Kata za Endiamtu na Mirerani zinazounda mji mdogo wa Mirerani na kwa sasa...
  8. Blasio Kachuchu

    RC Queen Sendiga aweka Jiwe la Msingi Katika Mradi wa Uvunaji Maji ya Mvua Shule ya Sekondari Malimbika

    Katika kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga, leo tarehe 4 Machi 2025 ameweka jiwe la msingi kwenye mradi wa ujenzi wa miundombinu ya uvunaji wa maji ya mvua kupitia paa la jengo katika Shule ya Sekondari Malimbika, wilayani...
  9. Mzee wa Code

    Miradi ya maji 17 Chemba (Dodoma) ni kichomi, hadithi isiyokamilika, bajeti ilipitishwa tangu Mwaka 2020/21

    Mbunge wa Chemba, Mohammed Moni ameuliza Swali leo bungeni ambapo amelalamikia asilimia 80 ya miradi ya Maji haijakamilika akiitaja miradi hiyo kwa idadi Isiyopungua 17, Mbunge huyu wa Chemba amesema miradi hiyo kushindwa kwake kukamilika kwa kipindi kirefu kutokana na ukosefu wa fedha hali...
  10. Waufukweni

    Responded Waziri Aweso: Maji yapo, aagiza wafanyakazi wa DAWASA kutokaa ofisini "Wananchi wanahitaji maji"

    WaziriI wa Maji, Jumaa Aweso amewahakikishia wakazi wa Dar es Salaam na Pwani, upatikanaji wa maji safi na salama katika mikoa hiyo kwani changamoto ya hitilafu ya mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu juu tayari imerekebishwa. Waziri Aweso ameyasema hayo leo Oktoba 28, 2024 katika ziara ya kukagua...
  11. Roving Journalist

    Wizara ya maji na benki ya maendeleo ujerumani (KfW) kuendeleza ushirikiano katika kutekeleza miradi ya maji

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso akiwa jijini Frankfurt nchini Ujerumani leo tarehe 09 Oktoba 2024 amepata wasaa wa kufika makao makuu ya Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) na kukutana na Viongozi wa Benki hiyo kwa lengo la kuboresha na kukuza mashirikiano baina ya Serikali ya...
  12. J

    Dkt Mpango aipongeza Wizara ya maji kwa usimamizi na utekelezaji wa miradi ya maji Nchini

    DKT MPANGO AIPONGEZA WIZARA YA MAJI USIMAMIZI NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAJI NCHINI BAHI-DODOMA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Philip Isdori Mpango Leo Agosti 19, 2024 ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Maji Ibihwa, Wilayani Bahi, Jijini Dodoma. Mhe...
  13. Blasio Kachuchu

    Benki ya CRDB kushirikiana na Water.Org kuborosha miradi ya maji na usafi

    Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile (wapili kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Water.Org, Eng. Francis Musinguzi kwa pamoja wakionesha mikataba ya ushirikiano mara baada ya kusaini makubaliano ya ushirikiano katika hafla fupi iliyofanyika makao makuu ya Benki ya CRDB...
  14. L

    Mradi wa usambazaji maji uliojengwa na China wawanufaisha Watanzania

    Kampuni ya Ujenzi ya China (PowerChina) imejenga mradi wa mfumo wa usambazaji maji katika jiji la Arusha nchini Tanzania, ambao unawasaidia wakazi wa jiji hilo kupata maji safi karibu na makazi yao. Mmoja wa wakazi wa jiji hilo, Anna Emmanuel, mama wa watoto wanne anayeishi eneo la Njiro...
  15. ACT Wazalendo

    Yasinsta Cornel: Ubadhirifu na Ucheleweshaji wa Miradi ya maji; Tatizo kwa upatikanaji wa maji nchini

    Waziri Kivuli wa Maji wa ACT Wazalendo Ndg. Yasinta Cornel Awiti amesema kuendelea kwa vitendo vya uzembe na ubadhirifu katika miradi ya maji ni chanzo cha tatizo la upatikanaji duni wa huduma ya maji nchini. Hivyo, ametaka uwajibishwaji wa watu wote wanaohusika na vitendo vya uzembe na...
  16. J

    Waziri Aweso abainisha miradi ya maji iliyokamilika na inayoendelea

    WAZIRI AWESO ABAINISHA MIRADI YA MAJI ILIYOKAMILIKA NA INAYOENDELEA "Wizara ya Maji imekamilisha miradi mikubwa na ya kimkakati ikiwemo mradi wa maji Arusha ambao umeongeza uzalishaji wa maji kutoka lita milioni 40 hadi lita milioni 200 kwa siku na muda wa upatikanaji wa huduma ya maji kutoka...
Back
Top Bottom