Kigoma, Julai 20, 2026 – Mbunge wa Kigoma Mjini, Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo, amesema hataogopa kuwahoji na kuwashinikiza mawaziri kuhakikisha miradi ya maendeleo inatekelezwa kwa manufaa ya wananchi wa Kigoma.
Akizungumza mbele ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi...