minara

Minara Resources Pty Ltd is one of the major mining companies of Australia, specializing in the mining of cobalt and nickel. It is one of the top ten nickel mines in Australia.
It is wholly owned by the Swiss commodities trading firm, Glencore plc as of November 2011. Based in Perth, Minara Resources was founded in 1994 as the successor to Anaconda Nickel Ltd. which was founded by Fortescue Metals Group chief Andrew Forrest. In 2006, it had a capitalization of approximately $1.3 bn. At the time of takeover, it was valued at a total of $1.02 billion (Australian). Minara applied on October 14, 2011 to have its stock (MRE) suspended from trading on the Australian Stock Exchange.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kufikia 2030 tutahitajika kujenga minara ya viongozi hawa wawili ingawa tutafika tukiwa tumechoka sana

    Habari JF, Nchi kuanzia mwaka 2015 ilianza kupitia mabadiliko makubwa sana ya kimipango na kimiradi, madilikohaya yameletwa na watu wawili ambapo by 2030 kuna uwezekano mkubwa baadhi ya matatizo yakawa ni historia. 1. Hayati Magufuli ,alianzisha mipango/mifumo na miradi ambayo hata yeye...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Edward Ole Lekaita Asisitiza Matumizi ya Uchumi wa Kidigitali & Apongeza Ujio wa Minara ya Mawasiliano kwenye Kata 12 za Jimbo la Kiteto

    MBUNGE EDWARD OLE LEKAITA ASISITIZA MATUMIZI YA UCHUMI WA KIDIGITALI & APONGEZA UJIO WA MINARA YA MAWASILIANO KATIKA KATA 12 ZA KITETO "Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuweka fedha nyingi sana kwenye Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Nampongeza Waziri Nape na Naibu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Aibu ya Tanzania. Mkuu wa nchi anazindua minara ya bil 270+ huku wananchi vijijini hawana maji wala huduma za afya za uhakika

    Watu wa vijinini hawana uhakika wa huduma za afya na maji ya uhakika. Kati ya watu kumi ni mmoja tu anaweza kuwa na smart phone huko vijjini. Hizi pesa kwa nini zisitumike kwa mambo ya muhimu
  4. kajamaa kadogo

    JamiiForums Tanzania Watu wanaoishi karibu na minara ya simu wengi wao hawana Akili?

    Naomba mnisaidie hii kitu maana nimekuwa wakubwa eti kuna ukweli wowote?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Zumaridi aviponza Vyombo vya Habari. TCRA yatoa onyo na kuvitaka kusimamia misingi ya utoaji habari

    Hii Taarifa ya TCRA ni taarifa nzuri na inayotoa katazo Kali Kwa wamiliki wa VYOMBO VYA HABARI KUTOA TAARIFA za kufikirika. Kweli chombo Cha habari kinatoa taarifa ' eti Mtu kaenda Mbinguni kakuta Kuna Magorofa Marefu kama minara' haya mambo tukiyachekea Sasa madhara yake makubwa Kwa vizazi...
  6. James Hadley Chase

    JamiiForums Tanzania TTCL imezindua Minara sita ya Mawasiliano katika Wilaya ya Mlele mkoani Katavi

    TTCL imezindua Minara sita ya Mawasiliano katika Wilaya ya Mlele mkoani Katavi ili kuimarisha huduma ya upatikanaji wa Mawasiliano kwa Wananchi. Uzinduzi huo umefanywa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye (Mb) ambaye pamoja na mambo mengine amesema Serikali...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CAF huenda wakaikataa Jezi Majengo, Vifusi, Minara na Machinjio ya Vingunguti ya Klabu Moja Tanzania

    Jezi za Klabu Bingwa na Shirikisho zonatakiwa ziwe na Uhalisia wa Soka ( Mpira ) tu na siyo kuwa na Jezi zenye Picha za Vifusi, Maghorofa na Machinjio ya Vingunguti. Kuna Timu Moja hapa Tanzania ( siyo Simba SC ) inaweza Kucheza Kifua Wazi ( Kidali Po ) Mechi zake za Klabu Bingwa Afrika ( hatua...
  8. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Katavi: Wananchi wa Mishamo waomba kuwekewa minara ya simu, mawasiliano ya Radio

    Baadhi ya wananchi kutoka katika vijiji tofauti tofauti katika makazi ya Mishamo mkoani Katavi katika wilaya ya Tanganyika, wanakosa huduma muhimu za mawasiliano ya Radio na simu. Wanakijiji hao kutoka katika vijiji vya Mgansa, Isubangala, Bujombe na vijiji vingine jirani wamekuwa wakikosa...
  9. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Wanakijiji waomba malipo ya minara ya simu iliyopo kijijini kwao wapewe kwa ajili ya ujenzi wa zahanati

    Wakazi wa kijiji cha Mazwe, wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wameomba viongozi wa Minara ya simu ya Tigo na Airtel walioweka minara yao kijijini hapo tangu 2013 malipo ya minara hiyo iwanufaishe wanakijiji wa kijiji hicho kwa kujenga zahanati kutokana na kuwa malipo hayo hayafiki katika ofisi...
  10. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Minara ya radio na simu

    Habari wakuu, kwa wanaohitaji Mnara wa radio au simu. Nauza mnara napatikana Mbezi, Kimara Suca. Dar es Salaam. Mnara una kila kitu chake. Machine zote. 0783985530
  11. L

    JamiiForums Tanzania Jengo la minara pacha la Chengdu lafanya maonyesho ya taa

    Jioni ya Machi 8, huko Chengdu, Twin Towers katika mji huo zilifanya maonyesho ya taa ya kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Wanawake.
  12. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania Mwenye uhitaji wa betri zilizotumika kwenye minara ninazo

    Mwenye uhitaji wa BETRI ZILIZOTUMIKA KWENYE MINARA ninazo. Usafiri kwa kahama, Singida,Dodoma, morogoro, Mwanza, geita bure mpaka inakufikia no utapeli ushahidi upo kwa wateja wote waliozipata. BETRI ni 160N/ah BEI 330,000. 0629945110. Bukoba. ULIZA WANAOZJUA HUNA HAJA YA KULALA GIZA UMEME...
  13. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Betri za minara

    Wadau mwenye connection ya kupata betri ya mnara
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Nini kimeikumba Airtel? Wameuza minara yake yote na kugeuka wapangaji!

    Kampuni ya simu za mikononi ya Aitel imeuza minara yake yote 1,400 iliyoko nchini Tanzania kwa kampuni ya mawasiliano kutoka Uingereza ya SBA inayoongoza duniani kwa kuendesha mifumo ya 'wireless' kwa dola za Kimarekani milioni 175. Katika taarifa yake Airtel imesema itatumia baadhi ya fedha...
Back
Top Bottom