millard ayo

Millard Ayo ni mwandishi wa habari na mjasiriamali wa kizazi kipya anayetumia vyema teknolojia ya kidigitali kuleta mapinduzi katika sekta ya habari Tanzania. Anajulikana sana kwa kazi yake ya kuripoti habari kupitia majukwaa ya kidigitali, hususan kupitia MillardAyo.com na akaunti zake za mitandao ya kijamii kama YouTube, Instagram, na X

Millard anafahamika sana kwa kipindi chake cha Amplifier katika redio ya Clouds FM, ambako alianza kutambulika baada ya kujiunga na ITV/Radio One mwaka 2008 kabla ya mwaka 2010 kujiunga Clouds FM.
  1. Heparin

    GE2025 Mwandishi wa Millard Ayo, Godfrey Thomas ashtakiwa kwa Uhaini Arusha

    Taarifa za ndani zinasema Mwandishi wa Habari wa Millard Ayo mkoani Arusha, Godfrey Thomas ameshtakiwa kwa makosa ya Uhaini na Uchochezi. Pamoja naye, lipo kundi kubwa la vijana ambalo idadi yake haijafahamika rasmi, lakini wote kwa pamoja walipandishwa kizimbani siku ya jana, Novemba 6, 2025...
  2. Heparin

    GE2025 Polisi wanaendelea kuwinda waandishi wa Habari jijini Arusha, baada ya Godfrey wa Millard Ayo, sasa ni Alphonce Kusaga

    Mwandishi wa habari wa Sunrise Radio Arusha ambaye pia ni Mmiliki wa Kusaga Tv Online Alphonce Kusaga Mwandishi wa Wananchi Kusaga Amekamatwa na Jeshi la polisi mkoani Arusha Leo Tarehe 4 /11/2025 na kisha kwenda kupekua nyumbani kwake,kisha kurudi nae tena Kituo kikuu cha kati Arusha. Mpaka...
  3. Agent-47

    Maskini Millard Ayo

    Alikataa kupost taarifa za maandamano sasa anawaza aanze vipi kupost taarifa za polisi kuwataka watu kuwa ndani saa 12.
  4. sanalii

    Kumtukana Millard Ayo kwa udhalimu wa serikali ni kumuonea na kukosa mbinu

    Hii kampeni ya kutukana Millard Ayo matusi makubwa haitasaidia katika harakati zetu, I think we are attacking the wrong or weak person. Huyu kijana hajawai kuongea jeuri kwa wananchi tofauti na watu kama kina diamond, hata kama kalipwa kupost baadhi ya vitu kama kampeni za CCM au kutopost baadh...
  5. Damaso

    Asante sana Chid Benz kwa kumpa jibu matata Millard Ayo

    Millard Ayo mara nyingi huibua mijadala ya ajabu sana kwa maswali yake, lakini swali alilomuuliza Chid Benz limezua mjadala mkubwa. Kumuuliza mtu kama Chid Benz ambaye kapitia matatizo ba shida awe na neno kwa wengine ni kichekesho. Wanaopitia mateso na shida ni nadra kuwaona wanakesha...
  6. Mkenye Mkuu

    Amplifaya ya Clouds FM

    Kwa miaka ya hivi karibuni kipindi cha Amplifaya kinachorushwa na Clouds Fm kuanzia jumatatu hadi ijumaa saa kumi hadi kumi na mbili jioni, kikiendeshwa na Millard Ayo na Frida Amani; kimekuwa kipindi kinachogusia mada mbalimbali kuhusiana na maisha yetu ya kila siku pamoja na desturi zetu kama...
  7. Waufukweni

    GE2025 Godbless Lema: Jambo na Millard Ayo msiogope kutoa ushahidi wa kweli kama Jamhuri itawataka. Mpango dhidi ya Lissu ni mchafu na unaua matumaini

    Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Godbless Lema ameandika kupitia mtandao wa X (zamani Twitter) amewataka Jambo na Millard Ayo wasiwe na hofu ya kutoa ushahidi wa kweli endapo Jamhuri itawahitaji, akisisitiza kuwa ukweli ndio kinga ya kwanza ya haki na kesi zinazohusu dhamiri ya taifa haziwezi...
  8. Benson Mramba

    Hivi ile interview ya Jesca Magufuli na Millard Ayo itaendelea lini?

    Millard Ayo alisema interview ile ameigawa katika sehemu 4 ambazo zitatujia kwa awamu. Sijaona awamu nyingine yoyote tangu ile awamu ya kwanza itoke. Kulikoni? https://youtu.be/SsJYpX5saMM?si=yubCESsoyvMKCJxo
  9. DexterLab

    Millard Ayo kutopost habari za press ya Polepole ina maana gani?

    salamu wakuu, mbona jamaa yetu wa mawinguni hajagusa chochote kuhusu habari inayoshika nafasi kubwa hivi sasa ya bwana Polepole, nini shida? anaogopa? au anaona akippst, hatopiga picha na rais.?
  10. R

    Kuna kitu nimegundua: Millard Ayo hajaripoti habari za Humphrey Polepole kujizulu Ubalozi

    Nimepitia mitandao yote sijaona ripoti yake kuhusu Polepole kujiuzulu.. Kama ni kweli, kwanini ? I STAND TO BE CORRECTED AND APOLYGIES IN ADVANCE IF I AM WRONG/MISTAKEN
  11. upupu255

    SI KWELI PreGE2025 Millard Ayo amechapisha taarifa ikisema "CHADEMA iko kipindi cha kupotea kisiasa"

  12. Mto wa mbu

    PreGE2025 Uhasama wa kisiasa Milllard Ayo apoteza wafuasi laki tatu ndani ya masaa 12

    Hii hali siyo ya kawaida for the national stability. Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania. Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza...
  13. Planet Data bundles

    Kwai hyo Millard Ayo ameshindwa kulipia server ya blog?? Nyie kweli blog hazilipi

    Katika pitapita yangu kwene blog nimekutana na hii. Nilikua nataka niangalie design ya blog ya huyu nguli wa bongo .. nilichokikuta ni HISTORIA
  14. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Millard Ayo amechapisha taarifa ikisema 'Sugu kujiunga rasmi CHAUMMA

  15. Fbn

    Millard Ayo Bwana hivi unafahamu maanda ya kuunda kweli .Ndio maana CCM wanatuona sisi hatuna Akili

    Pitapita yangu nikakutana na habari za huyu millard ambaye kwa sasa uwezi kumuona mambo ya ukweli yupo na kusubiri matukio tu. Nisioongee sana kwa mtu mwenye akili ya utanda wazi hapa kaunda nini zaidi ya kununua na kuboresha. kwani ukisema kabuni mfumo kwenye robot ni kosa.
  16. Richard

    Je, ni kweli tovuti ya Millard Ayo (millardayo.com) haijalipiwa ada ya internet kwa miaka mitano ilopita?

    Leo nimejaribu kuingia katika tovuti ya MillardAyo.com na nimepata ujumbe huu: Overdue Hosting Payment - Site SUSPENDED! This website is down due to the client's failure to pay for hosting for the past 5 years. It will be back online once this is resolved! Kama ni kweli kwanini Millard Ayo...
  17. Binti wa zamani

    Tuchambue kwa upana Part 1 ya interview ya Jesca Magufuli na Millard Ayo

    Ushabiki wa kisiasa pembeni, nafikiri mahojiano haya yametupa taarifa nyingi mpya za maisha binafsi na ya kifamilia ya Hayati Magufuli ambazo zilikua hazifahamiki hapo kabla. Kipi umejifunza kuhusu hayati Magufuli na familia yake kupitia hii interview? Binafsi kwa mara ya kwanza nimejua...
  18. Just Pray

    SI KWELI PreGE2025 Millard Ayo amechapisha taarifa inayosema Lissu adai wanawake ni dhaifu sana

    Wakuu wa JamiiCheck ni kweli Millard Ayo amechapisha taarifa inayosema Lissu adai wanawake ni dhaifu sana?
Back
Top Bottom