milipuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watu wavivu sana na wasiojua kuchangamkia fursa huwa na milipuko yao!.

    Mara nyingi njaa huwa kitu kibaya sana,binadamu kutokutafakari afanyeje ili kuweza kupambana na mazingira yake pamoja na kujiendeleza in short kutokujitambua yeye ni nani! Mlipuko wa watu wavivu baada ya njaa kuuma kupitiliza!... Hapa ni S.A MAJUZI.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Sauti ya Milipuko Sinza na Ubungo

    Kwema wakuu, Nasikia sauti ya milipuko maeneo ya Sinza, Shekilango au Ubungo, ni nini hii wakuu? NB Hata mwaka jana tarehe kama ya leo ilisikika pia https://www.jamiiforums.com/threads/hii-milipuko-inayosikika-eneo-la-ubungo-ni-nini.2370713/
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Milipuko ya mwekezaji kupasua mawe Mtaa wa Makutano – Sumbawanga unatukwaza Wakazi wa hapo

    Mimi ni mwananchi nipo mkoa wa Rukwa, Sumbawanga Municipal, Kata ya Sumbawanga, Mtaa wa Makutano. Tunapitia kero mtaani kwetu ya mwekezaji kulipua mabomu kila wakati wa kupasua mawe angali tayari kiwanda chake kimezungukwa na makazi ya watu. Nyumba zetu zinapata shida za nyufa na madali...
  4. JamiiForums Tanzania Hii milipuko inayosikika eneo la Ubungo ni nini?

    Hii milipuko inayosikika eneo la Ubungo ni nini?
  5. JamiiForums Tanzania Milipuko mingine ya moto yatokea usiku huu huko Tehran

    wakati Iran inahangaika na milipuko ya moto huko Bandar Abbas usiku wa kuamkia leo mjini Tehran kumę tokena milipuko miwili mikubwa ya moto chanzo cha milipuko hiyo bado haijajulikana moto unaendelea kuteketeza maeneo humo mjini. “My take” Hizi ni MAUA za rasha-rasha mvua za Masiaka bado!!!
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania isijiingize kwenye mtego wa upigaji kupitia magonjwa ya milipuko!

    Inawezekana na Iliwezekana huko kwa nchi za wakubwa wetu..kutumia Afya,magonjwa na milipuko ya magonjwa kama chanzo cha upigaji fedha. chondechonde tusiingie kwenye mtego huu. Makampuni ya dawa,vifaa tiba na other medical supplies yamekamata uchumi duniani na yapo katika ushindani wa kiuchumi...
  7. JamiiForums Tanzania Milipuko ya Magonjwa je kuna Upigaji na utakatishaji fedha ?

    Tumeshuhudia nchi isiyo na mwenyewe Ya DRC kila mlipuko mpya wa ugonjwa Africa lazima iingie. Halafu kifuatacho ni harakati za misaada "mingi" sina hakika kama ni yote.
  8. JamiiForums Tanzania James Mhilu: Yanapoibuka Magonjwa ya Milipuko kunaibuka wimbi la taarifa za upotoshaji

    Wizara ya Afya kupitia Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma imesisitiza juu ya umuhimu wa taarifa sahihi katika nyakati ambapo yanaibuka magonjwa mbalimbali ya milipuko nchini. Akizungumza leo October 4, 2024 katika mafunzo na Wanahabari yaliyoratibiwa na Kitengo Elimu ya Afya kwa Umma kuhusu...
  9. JamiiForums Tanzania Sababu gani hufanya Kongo iwe na visa vya milipuko ya magonjwa

    Naomba kujuzwa kwanini homa homa nyingi za milipuko huwa lazima kesi zitokee jamhuri ya kidemokrasia ya kogo..mfano ebola,homa ya nyani,n.k
  10. JamiiForums Tanzania Kabla ya milipuko sauti gani husikika ?

  11. JamiiForums Tanzania Serikali tunaomba ufafanuzi wa milipuko ya kila siku katika Milima ya Uluguru

    Nikiamini kwamba ulinzi wa taifa unaanza na sisi raia. Na kila raia ana wajibu wa kulilinda taifa. Ninaomba kuiuliza serikali hii milipuko mikubwa inayosikika kila siku nyuma ya milima ya uluguru ni ya nini? Kila siku kwa muda wa miezi miwili sasa kuna milipuko mikubwa sana nyuma ya Milima ya...
  12. JamiiForums Tanzania Syria kunaendelea kuwaka moto, milipuko kote

    Israel inaendelea kutamba..... https://twitter.com/Jerusalem_Post/status/1775634263309783456
  13. JamiiForums Tanzania Kipindi cha Covid-19 ilipunguza magonjwa ya milipuko kama kipindupindu, red-eyes na typhoid sababu ya kila sehemu kulikuwa na ndoo za kunawa mikono

    Ugonjwa wa covid19 ulipoingia tulijaribu kuweka mbinu nyingi kila mtu kujua atajisaidia vipi ili kujiokoa na gonjwa ili sitosahau mpaka malimau yakapanda bei. Serikali ikaweka mpango maalumu wa kila sehemu kuhakikisha kuna ndo ya maji safi na kila sehemu utakapo kwenda kunawa mikono kabla ya...
  14. JamiiForums Tanzania Idadi ya raia walioathirika kwa milipuko yaongezeka kwa 112% mwaka 2023

    2023 umetajwa kuwa Mwaka ulioshuhudia idadi kubwa zaidi ya vifo na majeruhi ya raia kuliko wakati mwingine wote ndani ya kipindi cha miaka 10 iliyopita, hiyo ni kutokana na Utafiti wa Shirika la Kutoa Misaada Kuhusu Vurugu za Kivita (AOAV) la England ambapo Utafiti wake unatumiwa na majukwaa ya...
  15. JamiiForums Tanzania Moscow, Urusi ndani kunawaka moto mkubwa baada milipuko,

    Muendelezo wa alichoahidi Zelensky, Moscow wakae mkao wa kupokea salamu za madude yanayopaa juu yao.... August 10, 20233:54 AM GMT+3Updated 9 hours ago Aug 10 (Reuters) - Russia's emergency service said early on Thursday that an auto repair shop caught fire in Domodedovo outside Moscow...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ukraine yasikitika kuwapoteza kwa mpigo wataalamu wake sita wabobezi wa vilipuzi/mabomu

    Kimbunga cha dhahama cha makombora ya Russia kilichopita Kherson kimewakumba na kuwaangamiza wataalamu sita wa jeshi la Ukraine ambao walikuwa ni magwiji na wabobezi wa kutegemewa katika fani ya vilipuzi (mabomu). Jeshi la Ukraine linasikitika kwa kuondokewa na wabobezi hao kwani pengo lao...
  17. JamiiForums Tanzania Drones zaendelea kufanya mambo ndani ya Urusi, matukio ya moto na milipuko

    Supapawa alingia cha kike, haitokuja aishi kwa amani baada ya udhulumaji wake Ukraine.... Two separate fires were reported in the Russian region of Begorod on Monday. A thermal power plant caught fire in Belgorod, Russia, causing an electricity blackout on Monday. Russian propaganda reported...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Japan anasurika kifo baada ya kutupiwa Bomu

    Vyanzo vya habari vinasema Waziri Mkuu wa Japani, Kishida Fumio, hajajeruhiwa na ameondoka kwenye eneo la bandari ya magharibi mwa Japani baada ya milipuko mikubwa kusikika kabla hajatoa hotuba. Kishida alikuwa anazuru bandari ya Saikazaki mkoani Wakayama leo Jumamosi asubuhi. Waziri Mkuu wa...
  19. JamiiForums Tanzania Bungeni: Milipuko ya mabomu Mbagala yatafuna Tsh. Bilioni 17.4

    Waziri George Simbachawene amesema Serikali ilitumia kiasi hicho kuwapa pole waliothirika na milipuko iliyotokea Aprili 29, 2009 katika Kambi ya JWTZ KJ 671 na kuua zaidi ya watu 29. Amesema wananchi 12,647 waliathirika na mlipuko huo uliosababisha huku watu kujeruhiwa na familia nyingi kukosa...
  20. JamiiForums Tanzania Somalia: Watu 100 wauawa kwenye mlipuko wa mabomu ya kutegwa kwenye magari

    Rais wa Somalia amesema kuwa takriban watu 100 waliuawa katika mashambulio mawili ya mabomu yaliyofanywa kwenye barabara kuu ya Mogadishu na idadi ya vifo huenda ikaongezeka. Katika taarifa yake, Rais Hassan Sheikh Mohamud akiwa katika eneo la milipuko amewaambia waandishi wa habari kwamba watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…