Syria kunaendelea kuwaka moto, milipuko kote

hii vita inaenda kuchukua sura mpya sasa from bad to worse raia wasio na hatia wa kila upande wajiandae kupelekwa kwenye hizo pepo kula raha
 
Aliyekuwa akitafutwa, ni rasimi sasa kapatikana! Anataka kutupa ndoano kwente bahari aone iwapo ataambulia chochote!

Mahasimu hawa wawili, wamejipata sasa, Iran ndio basi tena 🖐
vita haina mwenyewe Israel pia hatamani ku mess up with Iran kuna raia wengi watalipia hii gharama ya vita kama Iran atafanya total retaliation
 
vita haina mwenyewe Israel pia hatamani ku mess up with Iran kuna raia wengi watalipia hii gharama ya vita kama Iran atafanya total retaliation

Israel anapigana kitu kinachoitwa existential war, kwamba amezungukwa na mazombi ya kidini ambayo yameaminishwa na 'mungu' wao kuifuta Israel, hivyo yupo tayari kulipa gharama zozote na kwa vyovyote.
 
Mbona urusi ilienda kuwalinda lakini kila siku wanabutuliwa,ziko wapi S400 zilizopelekwa siria kwa mbwenbwe
 
Back
Top Bottom