milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania ina uhitaji wa zaidi ya nyumba milioni 26 ifikapo 2050

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Tanzania inauhitaji mkubwa wa nyumba kutokana na kasi ya ukuaji wa miji nchini ambapo inakadiriwa kuwa na mahitaji ya nyumba 26,840,909 ifikapo 2050 ili kukidhi mahitaji wa watu milioni 118.1. Akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kufungua semina...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa unapata hela kila DAWASA na TANESCO wanapoomba radhi kwa kukukosesha huduma, ungekuwa na milioni ngapi saivi?

    Wakuu, Nadhani saivi ningekuwa na mjengo wangu wa maana huku Mbezi Beach, pamoja na ndinga kaliiiiiii. Jamani, hakuna taasisi/shirika la kiserikali linakera kama DAWASA Wizara ya Maji na TANESCO 😫😫😫, yaani mtu ungekuwa na mamlaka unazifutilia zote mbali kila kitu kinaanza upya kwa kuwa na...
  3. I

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wapiga kura milioni 37 kushiriki uchaguzi mkuu 2025

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza rasmi kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 utafanyika tarehe 29 Oktoba. Tangazo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa INEC, Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele, tarehe 26 Julai 2025, alipokuwa akitoa ratiba ya uchaguzi. Uchaguzi huo utahusisha kuchagua Rais...
  4. JamiiForums Tanzania Billnas: Nililipa 700 milioni kama kodi ya magari yangu ya kutembelea mwaka jana tu

    Msanii bilnas amedai KUWA anamiliki gari la MILIONI mia SITA, IKIWA ni MOJA ya magari yake aliyo nayo HUKU akidai MWAKA JANA pekee kalipa Kodi ya magari yake MILIONI mia Saba. HUKU akilipia MILIONI KUMI na mbili HADI MILIONI ishirini KWENYE bima TU ya hayo magari. Kwishaaa Bro Alex on la...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Msanii chipukizi yupo hodi akijiuguza maumivu baada ya kurekodi audio milioni 1 na video ya milioni 5 halafu kapata views 200

  6. JamiiForums Tanzania Rasmi nimemaliza chuo, bila mshahara wa milioni moja sifanyi kazi. Tumshauri au tumuache!

    KWEMA WAKUU NA WAKURUGENZI, mambo nadhani yanaenda fresh. Kuna wale hujanasibu pindi wanapomaliza chuo kuwa bila kiasi fulani hapigi kazi, bora asikilizie deal lingine. Una lipi la kuwashauri wahitimu wa design hii? Courtesy: MwananchiNews
  7. JamiiForums Tanzania Hata Mimi pia si tu ningemshangaa bali ningemdharau sana Pacome kama kweli angekuja Simba SC yenye Matatizo Milioni

  8. T

    JamiiForums Tanzania Bajeti Milioni 5. Nyuchi zake sasa! Hapo chini

    i
  9. JamiiForums Tanzania Milioni 200 Jackpot. The formula is here

    Habari mwanaJf.... Ipo hivi ili ushinde milioni 200 za jackpot betpawa ni lazima utumie Bilioni 12,914,016,300 Na ili upate milioni 10 lazima utumie milioni 159,432,300 Ipo hivyo maana yake ni 3^17 = 129,140,163 hii ni idadi ya machaguo unatakiwa ufanye ili upate tokeo moja correct kwa pick...
  10. J

    JamiiForums Tanzania DIRA2050: Tanzania kumiliki uchumi wa TZS2,600Trilioni pesa hii inaweza kugawiwa kwa Watanzania wote na kila mmoja hadi watoto akapata TZS44 milioni

    DIRA2050: Tanzania kumiliki uchumi wa TZS2,600Trilioni pesa hii kwa hesabu za leo inaweza kugawiwa kwa Watanzania wote na kila mmoja hadi watoto akapata TZS44 milioni Ifikapo mwaka 20250, Tanzania inatarajiwa kuwa ni nchi yenye pato la taifa la $1Trilioni kufikia mwaka 2050 sawa na...
  11. JamiiForums Tanzania Hayo makanisa 2,000 na waumini milioni 4 wa Gwajima wako wapi?

    https://www.youtube.com/live/jINnZ9eLnwE?si=GDIRDB1V7Sl-7kpn Kwenye hotuba yake ya youtube ya leo anadai Serikali imefunga makanisa 2,000 ya Ufufuo na Uzima, na wafuasi wake milioni 4 hawana mahali pa kusali. Kwa mujibu wa majibu ya AI CHATGPT, wafuasi wa madhehebu ya Pentecostal ni kama...
  12. JamiiForums Tanzania Ulipata Tsh. milioni 200 yako ukiwa na umri gani?

    Haya tuchangamke wadau uzi tayari🤣
  13. W

    JamiiForums Tanzania Nilitoa shilingi milioni 14 dirisha la benki nimekatwa elfu 2 tu kwenye statement, wamesahau makato yao au ?

    Kwenye statement ya benki naona kuna makato ya elfu 2 tu,
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 RC- Chacha Agomea Millioni 5 za mtia nia amchana Makavu

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, ameibua mjadala mkali wa kisiasa baada ya kudai kuwa baadhi ya wagombea wa kisiasa wamekuwa wakijaribu kumshawishi kwa fedha ili waweze kufanikisha ushindi katika kura za maoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Akizungumza mbele ya viongozi wa serikali...
  15. JamiiForums Tanzania Unalalaje na zaidi ya milioni 100 ndani?

    Jamaa karudi na milioni 80 nyumbani, kiunoni ana bastola lakini kakuta majambazi wameshafika kwake tena wapo chumbani na mkewe wameshamfunga kamba na plasta mdomoni. Jamaa kaingia na begi lake kapigwa kisu cha Moyo kafa Jamaa wakachukua pesa wakasepa. Polisi kufika na taratibu zao, walipoanza...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Kwa Takwimu za Jumuiya , Wakatoliki wapo Milioni 24, KKKT mil 12, Madhehebu na dini nyingine sifahamu

    Hii Si Muhimu Sana, Lakini Wakristu wa Madhehebu ya Katoliki na Kkkt kupitia Jumuiya zao , wanazo takwimu za idadi ya waumini wao ,ambazo accuracy ya taarifa zao ni asilimia 94-100. Inaonesha Kwa madhehebu ya Kikristu Kanisa Katoliki ndio linaongoza Kwa idadi ya waumini wengi likiwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Je, gharama za kuchukua Fomu kugombea Ubunge kwa Chama Babu ingekua ni Shilingi Milioni 5 hata Wavuta Bangi, Wehu, Wezi na Drug Dealers wangechukua?

    Kazi yangu kubwa sana leo baada ya kuanzisha huu Uzi ni kusoma tu Comments zenu mkiwa mmeshakijia Chama Babu.
  18. JamiiForums Tanzania Nipo tayari kutoa milioni 5 kwa mtu atakayenionyesha hili andiko

    Habari Wakuu. Nimekuwa nikifuatilia mafundisho mbalimbali katika makanisa kuhusu somo la Ubatizo (Baptize), kwa sehemu kubwa kila inaonekana kila kanisa Lina namna yake ya uelewa juu ya ubatizo. Hoja yangu ni hii, Kama dini ya kikristo muongozo wake ni Biblia. Nipo tayari kutoa kiasi cha Tsh...
  19. JamiiForums Tanzania Inawezekanaje kutengeneza Dollar milioni 1 kwa mwaka kwenye biashara?

    Kuna watu ni very smart asee, ama tuseme nibaraka, kuna sehemu nilipitia historia flani mzee akieleza biashara yake ya kwanza aliingiza faida ya dollar milion 1 kwa mwaka miaka hiyo ya 90s Kwangu nimeona sio kawaida kwakuwa kupata japo $2000 kwa mwaka kama faida ningumu🤣 Kuna watu ni very...
  20. JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi kilichogharimu Shilingi Milioni 798 chazinduliwa Namtumbo Mkoani Ruvuma

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Aly Senga Gugu, amezindua rasmi kituo kipya na cha kisasa cha polisi cha daraja B Wilaya ya Namtumbo, kilichojengwa kwa gharama ya shilingi milioni 798. Uzinduzi huo umefanyika tarehe 20 Juni 2025 katika eneo la Namtumbo, mkoani Ruvuma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…