milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna mtu kanunua umeme wa milioni 2 tumsaidiaje?

    Wakuu, Kuna mtu kanunua umeme wa milioni 2, Tumsaidiaje??
  2. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba mpya inauzwa ipo Bunju bei ni milioni 350

    #salesalesale NYUMBA MPYA NZURI NA YAKISASA INAUZWA INA HATI MILIKI #INA VYUMBA VINNE VYOTE NI SELF CONTAINED FULL AC & HEATER, SEBULE KUBWA ,STUDYING ROOM, DINNING NA JIKO LAKISASA #INA SERVANT KOTA, GARDENS, FENSI YA UMEME, GETI LA REMOTE NA PARVING #UKUMBWA WA ENEO SQMT 700 #BEI...
  3. JamiiForums Tanzania NYUMBA INAUZWA,IPO MAKUMBUSHO,BEI NI MILIONI 950,MAONGEZI YAPO

    #sale LUXURY 4 BEDROOMS MANSION FOR SALE ☀ ASKING PRICE::: 950,000,000 Tshs ☀ PLOT SIZE : 456 SQM ☀ CLEAN DOCUMENT TITLE DEED ✨ Location:: MAKUMBUSHO ✔️ 4 Bedrooms Fully Ensuit ✔️ 2 Sitting Room Area ✔️ Kitchen ✔️ 2 Public Toilets ✔️ Private luku. ✔️ Dawasco Water Service Available ✔️...
  4. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Dar es Salaam nipeni siri ya kuuza nguo za ndani kwenye fremu ya milioni moja au zaidi kwa mwezi, je mnawezaje kulipa kodi?

    Wafanyabiashara wa Dar es Salaam nipeni siri ya kuuza nguo za ndani kwenye fremu ya milioni moja kwa mwezi, je mnawezaje kulipa kodi? Hili jambo linanitatiza sana sipati majibu, wafanyabiashara wengi wa Dar hasa Sinza wanakodi fremu za bei ghali sana lakini bidhaa wanazouza hazilingani na kodi...
  5. JamiiForums Tanzania Mradi wa Dola Milioni 5.8 kuhifadhi Misitu ya Asilia wazinduliwa

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb), amezindua mradi wa 'Kuimarisha Ustahimilivu wa Bioanuai ya Misitu ya Mazingira Asilia Tanzania dhidi ya Athari za Mabadiliko ya Tabianchi', wenye thamani ya Dola za Kimarekani 5.8 milioni. Mradi huo umefadhiliwa na Mfuko wa Mazingira...
  6. JamiiForums Tanzania Mr Pimbi ameeleza umma kuwa Harmonize amemlipa Kajala milioni Sabini ili warudiane

    Mr Pimbi ameeleza uma kuwa Harmonize amemlipa Kajala milioni sabini ili warudiane Ameenda mbali na kusema kuwa Kajala alitaka kulipwa milioni mia moja lakini baada ya negotiation dau la Harmonize likaishia milioni sabini, hii ni dhahiri kuwa Harmonize anaendekeza sana chini bila kufahamu kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Watu Milioni 2.1 wahudhuria Tamasha la bure la Lady Gaga nchini Brazil

    Zaidi ya watu milioni 2.1 walihudhuria tamasha la bure la Lady Gaga katika ufukwe wa Copacabana, Rio de Janeiro, Brazil, lililofadhiliwa na jiji hilo kwa lengo la kukuza uchumi wa ndani, ambapo umati mkubwa wa watu ulijaza ufukwe huo siku ya Jumamosi wakati nyota huyo wa muziki wa pop alipopiga...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kufungua ofisi ya kuuza vifaa vya simu yaani phone accessories

    Poleni na majukumu wakuu. Macho yangu na akili sasa yanatazama hapa, nilikuja kuomba ushauri humu kuhusu biashara stationery na nilipata muongozo mzuri na sasa naendelea nayo vizuri ingawa bado sijawa na vifaa vyote muhimu. Leo hii naleta kwenu suala hili muweze kunisaidia, ninataka kufungua...
  9. JamiiForums Tanzania Abiria zaidi ya milioni 2.3 wasafiri na SGR; Makusanyo yakifikia Tsh. Bilioni 66.8

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania - TRC ndugu Masanja Kungu Kadogosa amesema kuwa TRC imeweza kusafirisha zaidi ya abiria milioni 2.3 tangu kuanzishwa kwa uendeshaji wa treni ya SGR June 14, 2024 hadi sasa Aprili, 2025. Akizungumza katika kipindi cha " One on one" cha Wasafi TV Ndugu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Niliuliza jina la mfalme wa Palestina kabla ya 1948, hakuna alieweza ! Naongeza dau milioni 2 mtaje himaya ya wapalestina iliyokuwepo kabla ya 1948

    Niliweka humu uzi wa kugawa milioni 1 ikiwa kuna mtu atataja hata kiongozi mmoja tu wa kiarabu aliewahi kuongoza nchi inayoitwa palestina (kama ilikuwepo) hakuna hata moja kaweza Watu waliojaribu kwa mbali wamemtaja “Haj Amin al-Husayni” Hata hivyo huyu hakuwa kiongozi wa kitaifa wa Palestina...
  11. JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Mashujaa kulamba Milioni 100 wakimfunga Simba

    Wachezaji wa Kikosi cha Mashujaa FC wamewekewa kiasi cha shilingi millioni 100 kama wataifunga Simba SC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC ambao utachezwa Ijumaa Mei 2. Wachezaji hao wameahidiwa milioni 100 kwa ushindi na milioni 50 kwa sare dhidi ya Simba SC. Source: Nassib Mkomwa kupitia...
  12. JamiiForums Tanzania Cairo: Jiji lenye wakazi zaidi ya milioni 23 bila kuwa na miti hata ya kivuli

    Maisha ya Cairo ni tofauti na Dar es salaam au Nairobi kijiografia na uoto wa asili. Ni jiji wakazi milioni 23 na ukame wa nyasi hadi miti. Hali ya hewa ni joto kali na Bado wenyeji wana utamaduni wa kunywa kahawa na chai mchana bila kusahau shisha..Ni Bora zaidi kuishi miji ya East Africa kwa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hussein Machozi: Nilitaka nimpige risasi Ruge, show nililipwa milioni 12 akanipa milioni 1 tu

    Msaani wa kitambo wa Bongo Flava anayejulikana kwa jina la Hussein Machozi ambaye kwa sasa anaishi nchini Italy anasema mwaka 2015 almanusura 'ampige chuma' aliyekuwa boss wa THT Ruge Mutahaba Machozi alisema hivyo alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio Machozi...
  14. JamiiForums Tanzania APARTMENT MPYA ZINAUZWA,ZIPO MBWENI MPIJI DAR🇹🇿,BEI NI MILIONI 850, 0758844717

    #sale APPERTMENT ZINAUZWA “”” ZIPO ZA VYUMBA VITATU “” ZIPO ZA VYUMBA VIWILI ZOTE ZINA WAPANGAJI VYUMBA VITATU NI LAK 700K VYUMBA VIWIL UWA ZINAPANGISHWA KWA LAKI 600K UKUBWA WA KIWANJA NI SQMT 1200”” KUNA HATI MILIKI OFFER MILLION 850 MAONGEZI YAPO LOCATION MBWEN MPIJI...
  15. JamiiForums Tanzania APARTMENT MPYA ZINAUZWA,ZIPO MBWENI MPIJI DAR🇹🇿,BEI NI MILIONI 850, 0758844717

    #sale APPERTMENT ZINAUZWA “”” ZIPO ZA VYUMBA VITATU “” ZIPO ZA VYUMBA VIWILI ZOTE ZINA WAPANGAJI VYUMBA VITATU NI LAK 700K VYUMBA VIWIL UWA ZINAPANGISHWA KWA LAKI 600K UKUBWA WA KIWANJA NI SQMT 1200”” KUNA HATI MILIKI OFFER MILLION 850 MAONGEZI YAPO LOCATION MBWEN MPIJI...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa, ipo Kiluvya Madukani. Bei milioni 110, maongezi yapo

    Nyumba inauzwa. Ipo Kiluvya Madukani. Eneo lake 60x20. Nyumba ina vyumba 2 vya kulala na master 1. Ina sebule kubwa. Jiko, stoo na choo cha jumuiya. Parking ya kutosha. Kwa nyuma kuna nyumba ndogo, ina vyumba viwili na choo. Mambo yote ni ndani ya fensi ya matofali. Bei: Tsh.110, mazungumzo...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa, ipo Kiluvya Madukani makabe. Bei milioni 110, maongezi yapo

    Nyumba inauzwa. Ipo Kiluvya Madukani. Eneo lake 60x20. Nyumba ina vyumba 2 vya kulala na master 1. Ina sebule kubwa. Jiko, stoo na choo cha jumuiya. Parking ya kutosha. Kwa nyuma kuna nyumba ndogo, ina vyumba viwili na choo. Mambo yote ni ndani ya fensi ya matofali. Bei: Tsh.110, mazungumzo...
  18. JamiiForums Tanzania Kiwanja chakukata,sqm.600,Tshs.70 milioni, Mbezi-Afrikana

    Hapa
  19. JamiiForums Tanzania CAG asema amebaini TANROADS wameilipa kampuni ya Kichina malipo ya ziada ya Tshs Milioni 586.43

    Wakuu, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amesema amebaini Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) alimlipa mkandarasi malipo ya ziada kwa wakandarasi ya Sh.milioni 586.43. Amesema katika ukaguzi wake alibaini Agosti mosi mwaka 2023, TANROADS ilimlipa Kampuni ya M/S China...
  20. JamiiForums Tanzania Nyumba, msingi wa ghorofa na maduka, inauza na bank, Tshs.30 milioni, Pugu-Kinyamwezi

    ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…