mikumi

Mikumi is a town in the Morogoro Region of Tanzania, adjacent to Mikumi National Park. It is at the crossroads to the Great Ruaha River valley and Kilombero sugar factory, and the southern highland regions of Iringa and Mbeya. It is near the larger town of Kidodi. Kidodi is near a railway station and junction of the Tanzania Railway Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Barabara ya Iringa kushuka Mikumi imaliziwe kuwekewa kipande cha zege pembeni

    Barabara ya kutokea Iringa kushuka Mikumi kipande walichoweka zenge kina muda mrefu hakijamaliziwa chote, eneo hilo ambalo halina zege ni baya na hatarishi kwa wanaotumia vyombo vya usafiri. Breki ikifeli basi inaenda moja kwa moja kwenye nyumba za watu, nashauri wamalizie kwa kuweka zege...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali iufanye mji wa Mikumi kuwa mji mkuu wa mkoa wa Morogoro ili kukuza utalii mkoani humo.

    Mji wa Mikumi uko njiapanda ya maeneo mengi ya mkoa wa Morogoro pia uko katikati ya huo mkoa. Mji wa Mikumi umezungukwa na maeneo mengi ambayo ni vivutio vya utalii kama mbuga ya Mwalimu Nyerere, Mikumi, Ruaha na milima maarufu kwa mimea na viumbe pori kama ilivyo Arusha, pia ni mji uliofikiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuifungua Mikumi kwa njia mpya ya Utalii

    Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kikoboga, Mikumi – Morogoro umefikia asilimia 75. Uwanja huo wenye njia ya ndege yenye urefu wa kilomita 1.8 utakuwa na jengo la abiria lenye uwezo wa kuhudumia watu 160, pamoja na jengo la Kikosi cha Zimamoto. Mradi huo unalenga kurahisisha usafiri wa watalii...
  4. JamiiForums Tanzania 2 Days Mikumi Safari Package from Zanzibar

    The 2 Day Mikumi Safari from Zanzibar is a fly in adventure with minimal travel time, featuring exciting game drives in Mikumi National Park to see elephants, lions, giraffes and more, guided by experts, with a quick return to Zanzibar. Packages typically start around $600 to $900+ per person...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Shenena ya Kemikali hatarishi yamwagika barabara kuu ya Mikumi jirani na bwawa la Mindu

    Shehena ya kemikali hatarishi aina ya salfa imemwagika katika barabara kuu ya Morogoro-Iringa, karibu na eneo la Mindu Mikoroshini, baada ya lori lililokuwa likiisafirisha kupata ajali. Kwa mujibu wa taarifa za awali, tukio hilo limezua hofu miongoni mwa wakazi wa eneo hilo, kutokana na ukaribu...
  6. JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya Mikumi na Morogoro yakatika.. Barabara imekata Doma

    Mvua imeleta balaa. Mawasiliano ya Mikumi na Morogoro yakatika.. Barabara imekata Doma. Laleni tu ndugu zangu... Samia Hai au Hoi?
  7. JamiiForums Tanzania Morogoro: Wanaokwamisha ujenzi wa stendi ya Mikumi kuondolewa

    πŸ“MOROGORO - Mkuu wa Mkoa, Adam Malima, amesema hatua zitachukuliwa dhidi ya Watumishi wote wanaokwamisha utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa stendi ya magari ya mizigo (malori) ya Mikumi, Wilayani Kilosa, unaotarajiwa kuanza hivi karibuni. Malima ametoa kauli hiyo wakati wa kikao kazi cha...
  8. JamiiForums Tanzania Mikumi kuwa makini usiku huu, kuna lori linawaka moto

    π—§π—¨π—‘π—”π—’π—§π—¨π— π—œπ—” 𝗕𝗔π—₯𝗔𝗕𝗔π—₯𝗔 𝗬𝗔 π— π—•π—˜π—¬π—”, π— π—œπ—žπ—¨π— π—œ π— π—•π—¨π—šπ—”π—‘π—œ π—žπ—¨π—‘π—” π—Ÿπ—’π—₯π—œ π—Ÿπ—œπ—‘π—”π—ͺπ—”π—žπ—” 𝗠𝗒𝗧𝗒. π—§π—˜π— π—•π—˜π—” π—žπ—ͺ𝗔 𝗧𝗔𝗛𝗔𝗗𝗛𝗔π—₯π—œ
  9. JamiiForums Tanzania Kutafuta kazi mikumi

    Niko mikumi wadau naomba kazi yeyote ile aseee hali mbayaaa sana
  10. JamiiForums Tanzania Niko mikumi

    Mikumi wadau vip niko mikumi natafuta kazi yeyote ile nisaidieni wadauuu
  11. JamiiForums Tanzania Natarajia kwenda Mikumi National Park kutalii

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Niko Morogoro kwa sasa, natarajia kwenda kesho kutwa Mikumi National Park. Kwa wajuzi wa mambo,naombeni mchanganuo wa gharama za usafiri na malazi kwa siku mbili kwa mtu mmoja. NB: Mtu mmoja tu kwasababu nakwenda peke yangu.
  12. JamiiForums Tanzania Wakuu nipo Mikumi, naomba kujuzwa sehemu salama za kutembelea

    Kikazi nimepata tuor makini sana, tafadhali wakuu ni maeneo gani muhimu ya kuzuru? mana kuna session 1 ya kupewa utawala binafsi nikaona niwacheki familia humu. Asante
  13. B

    JamiiForums Tanzania KERO Foleni ya magari Mizani Mikumi ni kero kubwa, mbona haipati β€˜solution’ au kuna watu wananufaika?

    Sisi Wakazi wa Mikumi Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro tuna kero ya muda mrefu ya foleni ya magari makubwa ya mizigo katika Mizani ya Mikumi, hali ambayo inatufanya kuhofia kutokea kwa ajali katika eneo hilo. Foleni hiyo inatokana utaratibu wa askari wakati wa ukaguzi wa magari hayo mpaka...
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mikumi: Kata 8 hazijaanza kupiga kura, msimamizi adaiwa kutopokea simu

    Wakati zoezi la upigaji wa kura za kuchagua viongozi mbalimbali wa serikali za mitaa likiwa limeanza tangu saa 02:00 asubuhi nchini, hali ni tofauti kwa jimbo la Mikumi, wilayani Kilosa, mkoani Morogoro ambapo inadaiwa kuwa kata nane (8) kati ya 15 za jimbo hilo zoezi la upigaji wa kura...
  15. JamiiForums Tanzania LGE2024 Joseph Haule (Professor Jay) arudi kwenye ulingo wa Siasa, azindua Kampeni Mikumi kwa kishindo

    Wakuu Yule Mbunge wa Binadamu na Wanyama kashika kipaza cha Siasa tena. Msanii na mwanasiasa maarufu, Profesa J, amerudi tena kwenye ulingo wa siasa kwa uzito, akizindua kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa leo Novemba 20 katika Kata ya Mikumi na Kata ya Ruaha. Pia, Soma: β€’ Morogoro...
  16. JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yamtaka Mkandarasi kumaliza ujenzi wa Uwanja wa Ndege Mikumi kwa wakati

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imemuelekeza Mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa kiwanja cha ndege Kikoboga katika Hifadhi ya Taifa Mikumi, Badr East Africa Enterprises Ltd. wenye gharama ya Sh. Bilioni 20.6 kuongeza kasi ili kukamilisha mradi huo kwa wakati. Ujenzi huo...
  17. JamiiForums Tanzania Huu ndio Muonekano wa Daraja la Ruaha Mkuu (Mita 133) katika barabara ya Mikumi- Kidatu - Ifakara

    Muonekano wa Daraja la Ruaha Mkuu lenye urefu wa mita 133 katika barabara ya Mikumi- Kidatu - Ifakara sehemu ya Kidatu - Ifakara kilometa 66.9 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Morogoro. Daraja hilo limejengwa na Mkandarasi Reynolds Construction Company - RCC ya Nigeria na...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutembelea Mikumi from Dar es salaam

    Habari? Wadau wa utalii na wote wanaoweza kunisaidia kuhusu utalii wa mikumi. Nina Mtalii Mume&Mke tumefanya nao kazi ila wanataka kuona wanyama in cheap and convenient way, nikawaambia mbuga ya kwenda ni mikumi sasa naombea msaada wa gharama ya kutoka morogoro mpaka mikumi,kulala mbugani siku...
  19. JamiiForums Tanzania Barabara ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe kupandishwa hadhi kuwa Barabara Kuu β€œTRUNK ROAD”

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kuipandisha hadhi barabara ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe kuwa barabara kuu 'Trunk Road' ili kuinua uchumi wa mikoa ya Tanga, Morogoro na Njombe. Bashungwa, ameyasema hayo mkoani Morogoro wakati akikagua...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Barabara Ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe Kupandishwa Hadhi Kuwa Barabara Kuu β€œtrunk Road”

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kuipandisha hadhi barabara ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe kuwa barabara kuu 'Trunk Road' ili kuinua uchumi wa mikoa ya Tanga, Morogoro na Njombe. Bashungwa, ameyasema hayo mkoani Morogoro wakati akikagua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…