MKOSI JUU YA MKOSI
1. Nimeenda zangu kunywa uji kwenye chimbo moja jipya ila kwa kuwa nilikuwa na wana ng'ambo ya barabara, nikaamua nibebe uji ili nikajumuike nao.
Mhudumu akaniambia bei ya uji ni mia tatu na kama nilitaka KUONDOKA na kikombe basi niache chenji, mfukoni nilikuwa na jero...