miili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    TAHARUKI yazuka baada ya miili mingi iliyoharibika kufukiwa Msae, Kibaha

    Baba Askofu Mwamakula! Jana, 22 Februari 2026, tukio la ajabu liltokea Kibaha Mkoani katika Mtaa wa Uhuru. Ilikuwa hivi: Ilipita pikipiki ya miguu mitatu na ilibeba viroba vyeusi vingi kama uchafu vikitoa harufu kali. Kuifuatilia ile Toyo, ikasimama katika eneo la Makaburi ya Msae. Na palikuwa...
  2. Carlos The Jackal

    Tetesi: Askofu Mwamakula: Kuna Miili iliyoharibika zaidi ya 20, ilifukiwa eneo la MSAE, KIBAHA. Miili ilikuwa kwenye Viroba

    Hii Miili kwa Mujibu wa Mtoa taarifa, ilikua inatoa harufu Kali sanaaaa , maana yake Kama imefukiwa na Serikali, ni kwamba sehemu ilipokua miili hiii, Serikali haikua na uwezo wa kuihifadhi , Je Serikali inakoswa uwezo wa kuhifadhi miili ??? TAHARUKI YAZUKA BAADA YA MIILI MINGI ILIYOHARIBIKA...
  3. M

    Ni kwanini mkoa unaoongoza kwa watu wenye miili mikubwa upo nyuma sana kwenye maendeleo

    Mkoa ulikuwa na Airport ikafa Mkoa ulikuwa na Bandari haipo tena Mkoa ulikuwa na shule nzuri lakini zimebaki stori Mkoa ulikuwa na Viwanda vingi vya nguo, samaki, n.k. vimekufa Ni mkoa ambao hauna hata stendi Mkoa hauna chuo, tunasikiaga tu kipo kinachojengwa miaka mingi sasa Lawama hawawezi...
  4. Etwege

    Kuna haja ya kuitisha maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu

    Yanahitaji maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu. Ukisikiliza watu wanaofika mbele ya tume kutoa ushahidi wa jinsi wapendwa wao walivyouawa na miili yao kupotezwa kwa kweli inasikitisha sana. Rais Samia huwezi kuuwa ndugu zetu kama panya alafu pia utuzuie kuwazika kwa heshima...
  5. Kipenzi Changu

    Padri ahoji Je hii ndio Kazi na Utu? Alihesabu miili 13 ya waliouawa MO29 mbele ya Kanisa

    Kwa nini ionekane ni kosa kwa Kanisa kukemea mauaji? Kwani nini
  6. Superbug

    Unaombaje maridhiano na watu ambao miili ya ndugu zao uliowapoteza hutaki kuwapa waliowapiga risasi na kuwateka unawalinda?

    Hivi maridhiano yanayobembelezwa ni yapi? Labda mtupatie miili ya kina soka mdude nk pamoja na ile miili ya 2910 na waliomshambulia LISSU wafikishwe mahakamani otherwise Bora muanguke wote nyie watesi tuanze upya. Tunaridhiana nini wakati mdude na polepole hamsemi wako wapi pamoja na kelele...
  7. Genius Man

    Tunasherekeaje skukuu wakati ndugu zetu wametwa na kuuwawa na miili hatujapewa tukazike hili suala samia na genge lake lazima watalipa.

    Tunasherekeaje skukuu wakati ndugu zetu wametekwa na kuuwawa na miili hatujapewa tukazike hili suala samia na genge lake lazima watalipa.
  8. Genius Man

    Watanzania wote tutarudi barabarani 25D kuna familia hazijapewa miili ya ndugu zao hadi sasa kwa maandamano wata toa

    Watanzania wote tutarudi barabarani 25D kuna familia hazijapewa miili ya ndugu zao hadi sasa kwa maandamano wata toa
  9. DuaZaMama

    PostGE2025 Rais Samia: Nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo. Ilikuwa tuwaangalie waandamanaji waliojiandaa kufanya mapinduzi mpaka wafanikiwe?

    “Tunaapa kuilinda nchi hii na mipaka yake, kulinda usalama wa raia na mali zao. Na katika hali hiyo, nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo.” - Rais Samia Suluhu akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
  10. Lord Denning

    PostGE2025 Kinachoendelea Serikalini Muda huu. Tukisema tukafukue kusema hakuna miili wananchi watauliza mmewaweka wapi ndugu zetu?

    Mnyetishaji wangu mmoja ameniambia hili. Kuna mijadala mikali inaendelea Serikalini. Kuna watu wanataka kwenda kufukua sehemu fulani ya kubumba ili kuendeza propaganda kuwa taarifa ya CNN haiko sawa. Hofu kuu iliyopo ni kuwa hata wakitafuta eneo kusema wafukue bado Wananchi watauliza ndugu...
  11. Koffi Annan

    PostGE2025 Maeneo ilipozikwa miili ya watanganyika wenzetu yaanza kufichuliwa

    Hivi kweli walidhani watazika watu na makaburi yasije kufukuliwa? Hao watu wote mliowazika watafukuliwa na kuzikwa kwa heshima kwenye makaburi ya mashujaa, na hiyo ndio itakua alama yenu chafu kwenye hili taifa itakayodumu milele. Binafsi hii ni taarifa ya pili kuiona juu ya hili sakata, nina...
  12. G Sam

    Ndugu waanza kuona miili ya wapendwa wao ambao hawakuonekana, wakiwa kwenye video ya mlundikano wa maiti iliyovuja ndani ya mochwari ya Mwananyamala

    Hatusemi mengi. Huyu mwamba ni dereva na aliuawa huko Salasala. Hakukuwa na ushirikiano kwa ndugu kupewa maiti ya mtu wao mbali na ukweli kuwa aliuawa kwa kupigwa risasi. Ndugu walikuwa wameshakata tamaa walaamua kusahau Leo ameonekana ndani ya ile video ya Mwananyamala. Serikali bado inasema...
  13. Carlos The Jackal

    PostGE2025 Tetesi zinadai kua Makaburi ya Pamoja yalichimbwa katika Kambi za Jeshi , Miili mingine iliteketekezwa Kwa Matunuri ya moto Viwandani!!

    Kila kitu kitakufa Wazi. Jambo pekee nalowahakikishia Watanzania wenzangu !. Alichokifanya Samia na Genge lake, Hukumu yake haitaishia Kwao tu, Bali Kwa VIZAZI vyao yaan Ikijijua ni mtoto, mjukuu ,kituuu wa Hili Genge, wewe jihesabie Hukumu yako. Haw wasengee wameua sana
  14. G Sam

    PostGE2025 Ulinganisho wa picha za hivi karibuni ukionyesha ukweli wa miili yenye majeraha iliyorundikwa kwenye sakafu ya mochwari ya Mwananyamala kama magunia

    Wakuu, ni kweli kuwa ile miili ni ya ndugu zetu waliuawa na kwenda kutupwa kwenye sakafu ya mochwari ya Mwananyamala. Kama hukupata ndugu au kama una ndugu ambae hujui kama ni mzima au alishatangulia fanya kufika hapo kudai ukweli wake! Tazama ulinganisho wa picha mbili za matukio tofauti...
  15. Genius Man

    PostGE2025 Maridhiano yalipaswa kufanyika kabla ya ndugu zetu kuuawa miili kutupwa baharini

    Maridhiano yalipaswa kufanyika kabla ya ndugu zetu kuuwawa miili kutupwa baharini na kabla yeye kujiteuwa kuwa rais. Hakuna cha maridhiano wala bibi yake na maridhiano
  16. The Palm Beach

    PostGE2025 AFP: Siri yafichuka, Kondo na Mabwepande ndiko yaliko makaburi ya halaiki ilikozikwa maelfu ya miili waliouawa wakati wa MO29

    https://youtu.be/B1QPlZM3_og?si=GqpjmHKa1Z6nkMB6 Wameanza kutajana wao wenyewe na kutoa Siri walizodhania ni siri; Shirika la habari la Ufaransa (AFP) limeongea na baadhi ya viongozi waandamizi ndani ya serikali ya Samia na CCM na kufichua Siri kuwa, maelfu miili ya halaiki ya waliouwawa...
  17. mr mkiki

    PostGE2025 Nchi ya 'smash and grab' wengine wanagawana miili, wengine wanagawana Madaraka

    Nchi ya maigizo, maagizo, maridhiano, matamko, na mataarifa. Mtakumbuka kabla ya 2015, waandishi wa habari TZ walikuwa wakipata tuzo nyingi za Kimataifa kwa uandishi na ujasiri wao; mtawakumbuka kina Suzan Mungi na wengineo. Baada ya 2015, TZ tuzo za Kimataifa za uandishi ni kama zilienda na...
  18. W

    GE2025 BBC Swahili: Wahudumu wa afya ikiwemo madaktari wameeleza kuna magari yamekuwa yakichukua miili na kuipeleka kusikojulikana

    Wakuu BBC wamezungumza na watu kutoka kada ya afya ikiwemo Madaktari kutoka hospitali binafsi na za serikali ambao awameeleza kuwa kumekuwa na magari yanayoenda kuchukua miili na kuipeleka kusikojulikana. === Toka kutokea kwa vurugu za maandamano wakati wa uchaguzi mkuu nchini Tanzania, baadhi...
  19. figganigga

    Kama Polisi hawahusiki na mauaji, sasa kwanini hawaokoti miili ya Watanzania waipeleke Mochwari? Imezagaa mitaani

    Miilli ya Watu imezagaa mitaani, Polisi wanajifanya hawaoni walla hawajui... Hawa wameuawa Mbezi karibu na nyumba ya Mkurugenzi wa Usalama wa taifa Bw. Suleiman Abubakar Mombo. Binadamu mnakuwa na hasira hadi na maiti? Mombo anapita hapo kama haoni maiti kisa tu wanapinga ifisadi wake
  20. The Father of All

    Damu, damu, damu, CCM, mikono na miili Samuya na Kikwete vimejaa damu atatawalaje damu damu damu?

    Siombi msamaha. Urais wa Samia, chama chake na nchi vimejaa damu. Ni ubatili. Ni ukatili, Ni unyama, Ni ujambazi. Ni udikteta. Ni dhuluma Ni mauajai, Ni unyang'anyi. Je, Samuya atatawalal damu? Je, damu isiyo na hatia iliyomwagwa itawaacha? Je, wahanga na ndugu zao na taifa visamehe na...
Back
Top Bottom