michango ya harusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Michango ya harusi ni mzigo kuliko Ada ya shule

    Nikiangalia kadi nilizonazo zinazodai michango Ni Kama kumi. Kiwango Cha chini Ni laki mojà. Hivyo nahitaji milioni Moja mpàka end of May kukidhi michango hiyo. Sawa ni hitaji la kijamii, lakini ni changamoto! Lazima michango iwepo ila, Swali langu kuu Ni Hili: Je tunawezaje kufanya harusi...
  2. Changamoto ya michango ya harusi

    Suala la michango ya harusi wenzangu limekua changamoto sana katika jamii na kwa baadhi ya wenzangu sijajua na nyie kwenu wana jamvi tusaidiane mawazo. Wakati unaoa wewe unaomba michango na una post kwenye magroup ya classmates, work mates na majirani kuna watu watakuchangia na wengine hawata...
  3. Kufuru michango ya harusi ya Dida, mazito yaibuka...

    Mmh! Shoga kidawa Aunty Ezekiel kwenye mitandao ya kijamii kasema ametoa mchango million nne kumbe katoa laki mbili, Uwoya nae alitangaza kalipa mil 8 kumbe laki tano, hawa wanapenda sifa hela hawana, na hapo bado Domo atasema anatoa mil 100.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…