michango ya harusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kama Tulivyochangishana Michango ya Sherehe, Sasa Tuanze Kuchangishana Michango ya Maendeleo

    Katika maeneo ambayo Watanzania wameonesha ushirikiano wa hali ya juu mno, ni kwenye masuala ya sherehe. Wengi wanaoshirikishwa wamekuwa wakitoa ushirikiano murua kuanzia kwenye uuandaji kamati, kuchangisha michango na hata kula na kunywa. Miongoni mwa shughuli za sherehe ambazo zimekuwa...
  2. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Michango lukuki ya harusi zisizodumu

    Tabia ya kutuchangisha michango ya harusi halafu mnakaa mwezi mnaachana sio nzuri. Acheni kuchezea hela zetu wakuu. Kabla hamjaachana, fikirieni hela zetu na usumbufu mliotupa wakati wa ndoa yenu.
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Moshi: Afungua kesi kuzuia kadi na michango ya harusi

    Mfanyabiashara maarufu wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, James Mushi amefungua maombi madogo akiiomba Mahakama ya Wilaya hiyo itoe zuio la kusitisha usambazaji wa kadi na michango ya harusi ya mtu anayedaiwa kutumia jila lake na familia yake kuchangisha michango hiyo. Akiwasilisha maombi...
  4. balimar

    JamiiForums Tanzania Tunasubiria shauri lililopelekwa mahakamani kuhusu Michango ya Harusi

    Kwakuwa shauri lipo mahakamani ni vizuri tusubiri maamuzi ya mahakama. Lakini michango ya Harusi ni mingi kuliko hata Tozo tunazozipigia kelele kila uchao. Na hili nalo mkaliangalie. Na kesi ya msingi wakati inasikilizwa ni vizuri kusitisha michango ya harusi kwanza tupate muongozo wa...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Maisha Magumu sana, Serikali ikataze Michango ya Harusi hasa watumishi, wanandoa wajidhamini

    Hali ya maisha haifai, kila kitu juu huku mishahara ikiwa chini na biashara kuwa ngumu sana. Tozo kila mahali, mafuta ya nishati juu, yakupikia juu, pesa haionekani , athari ni kuzidi kuongeza gepu la matajiri na masikini, Hali hii inadidimiza zaidi masikini huku matajiri wakineemeka na kipanda...
  6. amadala

    JamiiForums Tanzania Toa neno lolote kuhusu michango ya Harusi

    Hello Wadau!! Naenda Moja kwa Moja kwenye topic. Mimi binafsi naenda kwenye style ya uombaji michango, Jana mishale ya mchana ghafla najikuta nimeungwa kwenye group la kuchangia mchango wa harusi ya classmate wangu ambae sijaongea nae Toka mwaka Jana japo Kila mtu ananamba ya mwenzake, naona...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Michango ya harusi ni mzigo kuliko Ada ya shule

    Nikiangalia kadi nilizonazo zinazodai michango Ni Kama kumi. Kiwango Cha chini Ni laki mojà. Hivyo nahitaji milioni Moja mpàka end of May kukidhi michango hiyo. Sawa ni hitaji la kijamii, lakini ni changamoto! Lazima michango iwepo ila, Swali langu kuu Ni Hili: Je tunawezaje kufanya harusi...
  8. byakunu

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya michango ya harusi

    Suala la michango ya harusi wenzangu limekua changamoto sana katika jamii na kwa baadhi ya wenzangu sijajua na nyie kwenu wana jamvi tusaidiane mawazo. Wakati unaoa wewe unaomba michango na una post kwenye magroup ya classmates, work mates na majirani kuna watu watakuchangia na wengine hawata...
  9. warumi

    JamiiForums Tanzania Kufuru michango ya harusi ya Dida, mazito yaibuka...

    Mmh! Shoga kidawa Aunty Ezekiel kwenye mitandao ya kijamii kasema ametoa mchango million nne kumbe katoa laki mbili, Uwoya nae alitangaza kalipa mil 8 kumbe laki tano, hawa wanapenda sifa hela hawana, na hapo bado Domo atasema anatoa mil 100.
Back
Top Bottom