miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni tokea Kikwete apandishe pension ya wastaafu wa Hazina toka 25,000 hadi Laki moja miaka 20 iliyopita hajatokea tena

    Mtu katumika maisha yake ya ujana kwa taifa, wengine wamepigana hadi vita ndani na nje ya nchi kwa uaminifu mkubwa lakini ndani ya miaka 20 hakumbukwi na hapo kazidi kuwa kikongwe lakini hakuna kiongozi au wabunge (ukiacha Esta Bulaya, Mungu ampe maisha marefu) anaye jali. Ni tokea Kikwete...
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maaskofu wapinga Pendekezo la kuongeza muda wa Urais hadi miaka 7

    Kongamano la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limepinga vikali pendekezo la kuongeza muda wa Urais kutoka miaka 5 hadi 7 wakidai ni pendekezo la kibinafsi kutokana na tamaa ya viongozi wa kisiasa nchini humo Novemba 14, 2024 Seneta Samson Cherargei amefadhili Muswada wa Marekebisho ya Katiba...
  3. JamiiForums Tanzania Kikongwe miaka 72 auawa na mkwe wake Moshi,mwingine ajinyonga kwa msongo wa mawazo

    Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Deogratius Evarist Mbuya(40) mkazi wa Legho Kilema wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kumuua Baba mkwe wake, Tibrus Camil Mneney(72). Mbali na mauaji hayo,mtuhumiwa pia anadaiwa kumjeruhi mama mkwe wake, Beritha Tibrus Mneney (58)ambaye amelazwa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nchi imekuwa tamu sana. Mzunguko wa pesa mzuri mno na pesa iko mtaani tofauti na miaka mitano iliyopita. Hivi mama ulikuwa wapi?

    Tumeteseka sana miaka mitano iliyopita mtaani kulikuwa kugumu sana kiasi ambacho pona pona yetu ikawa ni kusaka ajira ambazo zilikuwa hazipo both private and public sectors. Watu kila siku walikuwa wanafunga biashara zao na automatically wafanyakazi wanaondolewa wote. Mfano uchumi super...
  5. B

    JamiiForums Tanzania UTATA: Kazi ya kampuni mkataba miaka miwili 50 milioni versus laki 7 serikalini mkataba wa kudumu

    Ungelikua ni wewe mkuu ungeenda ipi? kati ya hizi mbili Mimi binafsi ningeenda hiyo private company kwa sababu Najiamini naweza kufanya biashara. Mara kibao huwa naona zinatoka kazi kama hizi za short term lakini vijana wanakimbilia serikalini. 👉huwa sijui ni kwanini ni uoga? wakuogopa...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali ya Kiislamu ya Iraq yapendekeza sheria Watoto Miaka tisa kuolewa

    Sheria mpya inayopendekezwa nchini Iraq inayolenga kupunguza umri wa ridhaa ya Ndoa kwa Wanawake hadi miaka tisa jambo linalolenga kuruhusu Wanaume Nchini humo kuoa Wanawake wakiwa na Umri mdogo, imepingwa vikali na Wanaharakati Nchini humo wakidai kuwa ni yenye kuhalalisha udhalilishaji wa...
  7. JamiiForums Tanzania Hakuna tena sababu ya kukaa kwenye mahusiano kwa miaka 5 halafu mwanaume anakwambia anataka kuoa mwanamke mwingine!

    Hakuna tena sababu ya kukaa kwenye mahusiano kwa miaka 5 halafu mwanaume anakwambia anataka kuoa mwanamke mwingine! Dalili zote za mwanaume ambaye anakutumia zinaanza kuonekana ndani ya miezi 3 ya mahusiano. Shida inakuja tu kuwa, baada ya miezi 3 ya mahusiano, wanawake wengi ni vigumu kuona...
  8. JamiiForums Tanzania Dada iko hivi, maisha ni magumu, kijana wa miaka 28 hana kazi au kapata kazi lakini ana ndugu zake kibao wanamtegemea.

    Dada iko hivi, maisha ni magumu, kijana wa miaka 28 hana kazi au kapata kazi lakini ana ndugu zake kibao wanamtegemea. Kama akikupa hata elfu kumi ya saluni au nauli ya kurudia ridhika maana naye anatafuta. Wewe unalalamika halafu unajilinganisha na wale rafiki zako ambao kila siku wanakula...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi Arusha OCCID wa Miaka 2010-2012 Alikuwa Nani Mbona Wizi wa Panya Road. Ulizagaa

    Nakumbuka miaka hio maeneo ya mianzini Panya Road kama 20 hivi wanavamia nyumba kadhaa Kila mtu anakuwa mdogo wanachukua wanachotaka kwenye compound nzima let's say apartment 5 basi wanavuruga kote na mnavhezea panga yente yente kama zote kama kawaida. Enzi hizo makao mapya yote haikuwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa

    Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa. Kuna mwanaume niliwahi kuzaa naye kabla ya kuachana, na baadaye yeye akaoa mwanamke mwingine, ndipo mimi nikampata mume wangu wa sasa. Maisha yangu yanaendelea vizuri...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Generali Ulimwengu: Miaka 60 baada ya uhuru tuna rais mfalme hawajibiki kwa mamlaka yoyote

    Nimemsikia akiongea mahali mchambuzi huyu wa mambo ya kisiasa anasema Tanzania ina Rais jina tu lakini kiuhalisia mamlaka ya rais wa Tanzania ni ya kifalme. Sii Baraza la mawaziri wala bunge lenye mamlaka ya kumfanya chochote rais wa Tanzania. Kwa maana hiyo rais yuko juu ya Sheria
  12. JamiiForums Tanzania Kwa watoto wale wote wa miaka ya 70 mwishoni na 80, munakumbuka mchezo wa "KISIKIO POO!"?

    Kwa watoto wale wote wa miaka ya 70 mwishoni na 80, munakumbuka mchezo wa "KISIKIO POO!"? Enzi hizo hamna T.V. kwa hiyo, watoto wanajibunia michezo mbali mbali... 'Tupinge kisikio poo!" 😂😂😂 Unamvizia rafiki yako asubui tu, "KISIKIO POO!" Kama ni jumapili, unavuta sikio lake kwa nyuma na...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 40, naweza kupata mshangazi?!!!

    Au Ili awe mshangazi wako inabidi uwe chini ya miaka mingapi?!!
  14. JamiiForums Tanzania Polisi: Faini milioni 5 mpaka 20 ukibainika kupekua simu ya mwenza wako

    Mkuu wa Polisi wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Selestin Luhende amewataka wanandoa kuacha kupekua simu za wenza wao ili kuepuka madhara yanayoweza kupatikana ikiwemo ugomvi unaoweza kuvunja ndoa pamoja na adhabu zinazoweza kutolewa kwa mujibu wa sheria. Amesema pia endapo mwanandoa utabainika au...
  15. JamiiForums Tanzania Ajira Serikalini iwe miaka 10 tu, baada ya hapo watu wastaafishwe

    Serikali inatakiwa iwe inatoa ajira kwa miaka 10 tu baada ya hapo mfanyakazi astaafu.
  16. JamiiForums Tanzania Rasmi, Adidas na Kanye West (Ye) wakubaliana kumaliza mgogoro wa takriban miaka miwili

    Rasmi kampuni ya Adidas imetangaza kufikia makubaliano ya nje ya mahakama na rapper Ye kwa lengo la kumaliza mizozo yote ya kisheria iliyokuwepo baina yao. Kiongozi wa Adidas, Bjorn Gulden, alisema kuwa hakuna pesa iliyotumika kusuluhisha mgogoro huo. Soma pia: Adidas yavunja mkataba na...
  17. JamiiForums Tanzania Tujifunze kwa Uganda, reli yao kilometa 227 wataijenga kwa miaka minne, sisi Tanzania kilometa karibu 2000 tunalazimisha ziishe ndani ya miaka mitano

    Wa Tanzania, tujivunie hata hapa tulipofikia, reli yetu ni moja kati ya reli ndefu sana. Uganda wana kilometa 227 ambazo watajenga kwa miaka minne. Kwa wastani wa reli yetu, Uganda wangejenga kwa miaka karibu 20. Tena anayejenga ni jenerali wa vita Kaguta Museveni. Tuwe na uvumilivu na...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Engineer aliyekuwa akifanya kazi Nje ya Nchi amerudi, ameambiwa alipie leseni yake madeni ya miaka yote aliyokuwa nje. Je hii ni Sawa au ni Upi

    Huyu Ni Mdogo wangu Mtoto wa Mjomba. Alikiwa Injinia wa ujenzi akifanya kazi Nchini Kenya kwa miaka 10 sasa. Akiwa huko alikuwa akilipia ada ya usajiri na leseni kama kawaida. Sasa amerudi Nchini miezi miwili iliyopita. Kwa kuwa amepata kazi shirika lingine la kimataifa la Ujenzi ametakiwa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Ni nini Siri ya wabunge wa upinzani haohao kudumu kwenye majimbo kwa miaka.?

    Tukianza na Sugu Lema Lisu Zito Mbowe na kama msigwa asingetoka na mdee kujichanganya basi walikuwa wanarudi vilevile. Nilitegemea kuona sura mpya baada ya miaka takribani 15 lakini hakuna dalili yoyote bado zitarudi sura hizohizo.
  20. JamiiForums Tanzania Miaka 50 imetimia Tangu Dunia Isimame kushuhudia Pambano Kubwa La Ngumi Kutokea

    Ilikua jumatano kama ya leo Tarehe hii hii mwezi huu huu mwaka 1974, Ndio miaka 50 pale Dunia iliposhuhudia mpambano mkubwa wa ngumi haukuwahi kutokea kati ya bondia George Foremen (Big George) na Muhammed Ali (The Greatest). Pambano hilo la aina yake lililopewa jina la Rhumble in the Jungle...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…