Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Serikali inatakiwa iwe inatoa ajira kwa miaka 10 tu baada ya hapo mfanyakazi astaafu.
Kuna kada nyingine sio za kuongelea tu eti kwa sababu baba yako hana ajiraserikali inatakiwa iwe inatoa ajira kwa miaka 10 tu baada ya hapo mfanyakazi astaafu
Hapana kwa kutumia rationality, kuna sectors zinafaa kuajiri watu kwa muda mrefu na sectors zingine zinapaswa kuajiri watu kwa muda mfup.Kuna kada nyingine sio za kuongelea tu eti kwa sababu baba yako hana ajira
Madaktari bingwa wanapatikana kwa njia ngumu sana sio rahisi kuwastaafisha kwa miaka 10 tu kijana
thats wastage of precious materials
Mtaalam wa mionzi mfano yuko mmoja tu katika hospitali flani, umstaafishe ili iweje?
waalimu wa Sayansi hawatoshi kabisa huko katika idara za Elimu msingi na sekondari, bado uwastaafishe, ili iweje?
SERIKALI INAPASWA KUPAMBANA NA HILI TATIZO LA AJIRA KWA NAMNA YA TOFAUTI, sio hivi ulivyoandika
Hilo sio sawa, huwezi kuwatoa watu wenye uzoefu.serikali inatakiwa iwe inatoa ajira kwa miaka 10 tu baada ya hapo mfanyakazi astaafu
sasa ndugu nikuulize,Hapana kwa kutumia rationality, kuna sectors zinafaa kuajiri watu kwa muda mrefu na sectors zingine zinapaswa kuajiri watu kwa muda mfup.
Hicho unachokisema kipo sahihi ila umeegemea katika upande wa watu wanaopaswa kupewa muda katika nafasi za kiutendaji,
Lakini pia tukitizama hao hao madaktari bingwa waliokuwa wachache muda wa miaka kumi ni mingi kazini wanaweza kufanya kazi then baada ya hapo wakawa wakufunzi katika vyuo vikuu vya madaktari hapa nchini na wakasaidia kuzalisha madaktari bingwa wengine wengi, Mbona ni swala linalowezekana kama serikali ikiamua.
SahihiHakika watu tupeane nafasi za ajira bana watu wanakula cake 🍰 ya taifa wenyewe mtu anakaa miaka 30+ kazini wengine waajiriwe lini sasa 😡
Bullshit 😡Hapa lengo ni lipi kwamba ufanisi?, Wote tupate? Au nini?
Kama umechukulia kama njia ya kuongeza ufanisi kiutendaji ni kwambie hakuna positive impact utapata
Kama ni kusema wote tupate? Jibu ni jepesi,hakuna taifa lolote chini ya jua ambalo watu wake wako katika madaraja sawa.Wapo ambao watapata na wakukosa pia.
Sijui uliwaza nini, lakini hakuna uwiano sawa kati ya mda uliowekeza kwa huyo mtu na time uliyoweka mtu huyo kuproduce(Someone has to spend 17+ years in training and ask them to produce for 10 years only.Don't you see mismatch here?Will you profit from your investment?) Au mada yako ni kuongelea ubinafsi wa mtu nasio kwa malengo ya wengi
Tuanze na ww Madam, mwisho iwe mwakani huu!Sahihi
Unataka kuniua🙆Tuanze na ww Madam, mwisho iwe mwakani huu!
Tafuta kazi ya kufanya achana hizi fikra za kibinafsi ,acha aliyepata afanye kazi.Hizi habari za tugawane keki ya taifa unajidanganyaBullshit 😡
We umeajiriwa that’s why unaongea hivyo hujui watu wanavyopitia magumu na wamegharamia elim zao pia, ukiniuliza me nnamchango gani na wewe unamchango upi tofauti na hiyo uliyosema hapo!?Tafuta kazi ya kufanya achana hizi fikra za kibinafsi ,acha aliyepata afanye kazi.Hizi habari za tugawane keki ya taifa unajidanganya
Anyway,wewe unamchango gani katika hili taifa tofauti na hiyo indirect tax(VAT) unalipa?Sasa kama kodi yenyewe unalipa hii ya added value tax,hii keki unayotaka mgawane ni hipi?
Umeajiriwa serikaliniserikali inatakiwa iwe inatoa ajira kwa miaka 10 tu baada ya hapo mfanyakazi astaafu
Hacha kupoteza muda hicho kitu hakiwezekani, serikali haina hella ya kuwalipa na kwenye hesabu za uchumi hilo haliwezekani. Wewe tia juhudi na muombe Mungu upate ajira.We umeajiriwa that’s why unaongea hivyo hujui watu wanavyopitia magumu na wamegharamia elim zao pia, ukiniuliza me nnamchango gani na wewe unamchango upi tofauti na hiyo uliyosema hapo!?
Cha tofauti kati yangu me na wewe ni kwamba we upo ni position monger, hutaki kuachia nafasi wengine na hujajipanga kustaafu mana unajua huna mida specific wa kukaa kwa office uliyopo.
Wacha tuongee huenda ipo siku Sauti zetu zitafika pale ambapo tunahitaji, leo Kuleni tu ila aliyemleta JPM atamleta mwingine mwenye maamuzi ya kiume zaidi na mtatafutana tu, mmekuwa waroho wa mali za umma, mmejawa hila tamaa na ubadhilifu pamoja na dharau.
Ety fanya kazi Acha aliepata apate kauli ya kipuuzi mno hii.
Hii kauli sitoiacha nitaplead sana tu na nitazisema waajiriwa wapewe mda specific wa kufanya kazi tupishane, we unataka kuhold possession kwa zaidi ya miaka 30+ kwani hiyo office ulijengewa wewe na familia yako?Tafuta kazi ya kufanya achana hizi fikra za kibinafsi ,acha aliyepata afanye kazi.Hizi habari za tugawane keki ya taifa unajidanganya
Anyway,wewe unamchango gani katika hili taifa tofauti na hiyo indirect tax(VAT) unalipa?Sasa kama kodi yenyewe unalipa hii ya added value tax,hii keki unayotaka mgawane ni hipi?
Najua linawagusa waajiriwa 😂, but it’s okay.Hacha kupoteza muda hicho kitu hakiwezekani, serikali haina hella ya kuwalipa na kwenye hesabu za uchumi hilo haliwezekani. Wewe tia juhudi na muombe Mungu upate ajira.
Trust me! Niwe nafanya kazi(employed) au sifanyi kazi(unemployed)lakini hii mentality yenu(hasa wewe) sio kweliWe umeajiriwa that’s why unaongea hivyo hujui watu wanavyopitia magumu na wamegharamia elim zao pia, ukiniuliza me nnamchango gani na wewe unamchango upi tofauti na hiyo uliyosema hapo!?
Cha tofauti kati yangu me na wewe ni kwamba we upo ni position monger, hutaki kuachia nafasi wengine na hujajipanga kustaafu mana unajua huna mida specific wa kukaa kwa office uliyopo.
Wacha tuongee huenda ipo siku Sauti zetu zitafika pale ambapo tunahitaji, leo Kuleni tu ila aliyemleta JPM atamleta mwingine mwenye maamuzi ya kiume zaidi na mtatafutana tu, mmekuwa waroho wa mali za umma, mmejawa hila tamaa na ubadhilifu pamoja na dharau.
Ety fanya kazi Acha aliepata apate kauli ya kipuuzi mno hii.
Serikali yako ina hela za kulipa mafao ya watumishi kila baada ya miaka 10?serikali inatakiwa iwe inatoa ajira kwa miaka 10 tu baada ya hapo mfanyakazi astaafu