miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Y

    JamiiForums Tanzania Ningejua mapema ningeoa

    Habari Wana JF Kwa maisha ya sasahivi ya vijana wakiume na utandawazi uliopo yanaelekea hatarini Nakumbuka kipindi nakuaa nilipoanza form 3 katika kupigapiga story darasani ziliingia story za mahusiano ambazo zilianzishwa na kijana mmoja. Inshort katika story hizo mada iliyobadilisha maisha...
  2. JamiiForums Tanzania Ukimwi wa miaka ya tisini unamtesa Rapper Camron, anaropoka kama kichaa

    Natambua kuna kundi la wamarekani weusi wanajiita Foundational Black Americans ( FBAs) , hawa ni " CULT" ambao wana amini kwamba mababu zao ( watumwa weusi walio tumikishwa kwenye utumwa) hawakutoka Africa bali walikuwa indigenous to the Americas kama tunavyo waona Australian aborigines...
  3. JamiiForums Tanzania Nitakua wa Mwisho kukubali na kuamini mwanamke wa Africa aliekulia Africa, eti ana uwezo wa kuongoza Nchi.

    Mimi sio mbaguzi wa kijinsia ila ukweli kwa Africa hii Gender iliyoumbwa kupitia Ubavu wa Mwanume bado haina uwezo wa kuongoza Taifa. Hii ni kutokana na Mazingira wanayokulia na kulelewa hawa watu wakiwa watoto. Africa Mwanamke hafundishwi kuongoza wala kuelekeza yeye kila kitu anasikiliza kwa...
  4. JamiiForums Tanzania TUCHEKE TUONGEZE MIAKA, tupunguze majonzi... maisha yamekuwa crazy tosha

  5. JamiiForums Tanzania Kwakweli CCM kwa miaka ya hivi karibuni mnatuletea viongozi wa hovyo na wa ajabu ajabu sana sana! Chama kimekumbwa na nini?

    Swali linajitosheleza kwenye sredi
  6. JamiiForums Tanzania Imetimia miaka 20 tangu tukio la kuabisha linitokee hadi nikahama Kijiji

    Leo nimetimiza miaka 20 tangu tukio lilinishushia heshima linitokee hadi nikahama Kijiji. Ilikuwa July 25, mwaka 2006 ambapo nilikumbwa na mkasa ambao sitoweza kuusahau. Mara baada ya kumaliza form six nilirudi Kijijini kwetu na Kwa kipindi kile mtu aliyefika advanced Level pale Kijijini...
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: "Pambaneni Mpate Katiba Mpya ya Mwafaka Itakayodumu Miaka 50" | Rasimu Kamili Ipo www.katibampya.com

    Katika Mkutano Mkuu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) uliofanyika jijini Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa kauli nzito kuhusu Katiba Mpya. Alisema ikiwa angepewa nafasi ya kutoa ujumbe mmoja wa mwisho kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Msanii Mr. II aka Sugu akataa "posho" ya TSh. 2m kutumbuiza kwenye tamasha la miaka 30 ya Bongo Flava

    Sugu anadai: Walianza kuniita kwenye wimbo, Madee alinipigia simu tukaenda studio, sasa tunatoka studio aliponishusha akanitumia mkwanja Milioni 2, I was like mimi sijawahi kulipwa hela kufanya featuring na nimefanya featuring na watu wengi nikwambia Madee..... Sugu akaongeza: Hii game naijua...
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Rhimo Nyansaho: Miaka 99 ya Jeshi la China iwe chachu ya kuimarisha ushirikiano wa Ulinzi na Tanzania

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb), amesisitiza umuhimu wa kuendeleza ushirikiano kati ya Tanzania na China katika diplomasia ya ulinzi ili kuimarisha usalama, maendeleo na uchumi endelevu wa mataifa hayo. Dkt. Nyansaho amesema hayo tarehe 21 Julai, 2026...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Hivi watu waliendaje mbinguni miaka ya nyuma kabla ya ujio wa yesu ambaye ndiyo njia ya kwenda mbinguni?

    Tujitafakari!!
  11. JamiiForums Tanzania Kuanzia miaka ya 27 mpaka 31 sijawahi hata kuumwa homa. Hivi kinga ya mwili nayo huwa inaingia "prime" halafu baadaye inaanza kushuka?

    Sio kwamba naiombea homa irudi, Mungu aniepushe nayo mbali. Ila kuna jambo nimeligundua kuhusu maisha ya binadamu, sijui na kwenu ipo hivyo. Nikiwa mtoto wa shule ya msingi nilikuwa mtu wa kuumwa mara kwa mara. Kuna zile siku unaishiwa nguvu kabisa, mwili unalegea, macho yanakuwa mazito...
  12. JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: CCM Hatujachoka, Mabadiliko Hayaletwi na Miaka

    DAKIKA 45, ITV "CCM hatujachoka, tumechoka na nini?" Mabadiliko hayaletwi na miaka ya kuwepo madarakani, kama ni miaka hata CHADEMA imechoka maana yenyewe ina miaka 30, tena haijatawala..."- Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira
  13. JamiiForums Tanzania Miaka minne ya Uhamisho-Utumishi yatuumiza kichwa

    Wapendwa habari! Mimi na mume tumejikuta njiapanda kwa kutokuelewa tuamuaje. Mimi ni mama wa mtoto wa mwaka mmoja na ndoa ya mwaka na miezi kadhaa. Mimi ni muajiriwa katika taasisi fulani hapa DSM, mume wangu miezi kadhaa iliyopita alipata nafasi ya kazi katika Halmashauri fulani mkoa wa...
  14. JamiiForums Tanzania Miaka 10 JF nimeona , nimejifunza mengi sana. Miaka yenye Sura na Kurasa mbalimbali

    Nimekuwa JF toka 2016. Nimekutana na mambo mengi. Nimewahi pigika vibaya sana na nikaja pata rafiki ambaye hatukuwahi onana ila tumebaki marafiki. Nimewahi chukiwa na watu na kutukanwa nao na mpaka sasa mmoja ni rafiki yangu sana. Alikuja nifahamu akaomba radhi na maisha yakaendelea Humu kuna...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanamume Aishi Kama Mama Yake Aliyekufa kwa Miaka Mitatu Ili Kuendelea Kuchukua Pensheni Nchini Italia

    Mwanamume mwenye umri wa miaka 56 nchini Italia anakabiliwa na tuhuma za kufanya udanganyifu wa kipekee baada ya kudaiwa kujifanya kuwa mama yake aliyefariki kwa takribani miaka mitatu ili kuendelea kupokea pensheni yake. Kwa mujibu wa wachunguzi, mama huyo alifariki mwaka 2022, lakini kifo...
  16. JamiiForums Tanzania "Nilitumia bangi ya 7000 kwa siku kwa miaka 29 sasa nimeacha"

    Baada ya kutumia bangi kwa kipindi cha miaka 29, mwanaume mmoja ametoa ushuhuda mbele ya Mtume Boniface Mwamposa katika Mkutano wake mkoani Morogoro akieleza jinsi alivyokuwa ametumbukia kwenye uraibu huo kwa muda mrefu. Akitoa ushuda huo amesema alikuwa akitumia bangi yenye thamani ya Shilingi...
  17. JamiiForums Tanzania Rafiki Wa kike anahitajika kuanzia miaka 35 kuendelea tuienjoy tu akiwa sio mwanasiasa itakuwa vizuri zaidi dm me

    urafiki ni upendo, mawazo na utulivu.
  18. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume umri kuanzia miaka 34 hadi 45 ili tumalizie pamoja maisha yetu yaliyobaki hapa duniani

    Mimi ni mwanamke mwenye miaka 34 sina mtoto na sijawahi kuolewa Naishi Dodoma, nimeajiriwa Elimu yangu ni ngazi ya shahada Dini yangu ni Mkristo Mwili wangu ni kawaida Afya yangu ni njema Mume wangu awe na umri kuanzia 34 hadi 45,asiwe mume wa mtu nahitaji wa kwangu Dini yake awe mkristo Mwili...
  19. JamiiForums Tanzania Miaka zaidi ya 30 ya bongo flava: Hizi ndio biti kali ambazo siku hio majani alikuwa ameamka vizuri na hakuwa na hangover za billcanas

    1: nini mnataka mazee - piggy black https://youtu.be/dCOyQ05vS68?si=uECRMWaSnpW4Q9CI 2: sonia - juma nature https://youtu.be/uA9-zhfpUjM?si=QhUUlDaEV8M1T-kh 3: ya leo kali - wachuja nafaka https://youtu.be/sB1mDNApBMk?si=M3SI1vQAvIa5ucy4 4: Mitungi/Mikasi - Ngwair...
  20. JamiiForums Tanzania Namba za NAPA za Mwanafunzi chini ya miaka 18 (asiye na NIDA)

    Habari Jf. Kuna kesi ya mwanafunzi mwenye miaka 17 anayepaswa kujiunga na Chuo Kikuu mwaka huu. Nashindwa kusajili namba yake ya NAPA. Msaada tafadhali
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…