miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jela miaka 7 kwa kumuua mwanaume bila kukusudia, alimkuta amesimama na mtalaka wake

    Mahakama Kuu Kanda ya Morogoro imemhukumu kifungo cha miaka saba jela Donati Phabian baada ya kupatikana na hatia ya kumuua bila kukusudia Alfred Damas kwa madai ya kumkuta akizungumza na mtalaka. Phabian alifanya kitendo hicho baada ya kuwakuta wawili hao barabarani katika Kijiji cha Lugangwa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Je, Biden anasuka mpango gani anapofanya mkutano mwingine wa viongozi kati ya Marekani na Afrika baada ya miaka minane?

    Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza kuwa mkutano wa pili wa viongozi kati ya nchi yake na Afrika utakafanyika kuanzia tarehe 13 hadi 15, Disemba mwaka huu. Alisema mkutano huo utaonyesha “ahadi ya kudumu” ya Marekani kwa Afrika, kusisitiza umuhimu wa uhusiano kati ya pande hizo mbili na...
  3. JamiiForums Tanzania Mzee Omary Muhando Shangali, miaka 102, Shujaa aliepigana vita ya pili ya dunia na bado anadunda mtaani

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kwa wale mliofatilia kipindi cha mashujaa wetu huko Dodoma, bila shaka mmemuona mzee huyu mwenye umri wa miaka 102, akiwa anadunda kwa ukakamavu wa hali ya juu tena kwa kujiamini. Mzee huyu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kama una miaka 40+ na hauna maambukizi ya HIV/AIDS mshukuru Mungu marijali tumepitia kipindi kigumu sana

    Kwa nini miaka 40+? Kwa sababu kwa umri huo hata ukiupata ukipiga dawa unaweza kutoboa miaka 60 ambao ni life expectancy ya mtanzania. Tumepitia kipindi kigumu sana, nakumbuka nikiwa O level dispensary ya shule sindano zinachemshwa kama Mayai, hakukuwa na disposable syringe, nesi akipitiwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Alinizungusha miaka mitatu nikajifanya nimepata ajali mbaya sana alipokuja kuniona tu nikamla

    Kuna mrembo alinizungusha miaka mitatu. Sms anajibu, story kwenye simu poa, kukutana maeneo tunakutana ila home hataki kuja. Gheto langu ningeliita tu kwa Mkapa maana ukiingia hutoki. Kuna basi la xxxxx liliwahi kupinduka na kuua watu kibao na majeruhi pia, nikamfata mshkaji wangu anafanya...
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Ni mpango kazi wa miaka 100-50

    Ati tujifunze Kwa Kiswahili masomo ya sekondari, icho Kiswahili chenyewe mnakijua? au mnataka kuzalisha kizazi cha lomolomo? Je, kwani tumesahau visa na Mikasa ya vijana wadogo maarufu kama panya road? Kwa idadi wapo wangapi au tunahitaji wangapi zaidi Ili kujua kua swala la ajira ni changamoto...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa zaidi ya miaka 60 Tanzania haijawahi kutenga bajeti ya TZS 985Bl kwa ajili ya Elimu wala kuisamehe HESLB TZS 1.1 Trl ni Rais Samia tu 2025

    KASI YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA ELIMU, CCM YATOA NENO KWA RAIS SAMIA KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya elimu, unaendelea kutoa matunda mazuri katika sekta hiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Sisi tuna watu, walifungiwa miaka mitano kocha wa Mbeya kwanza na sasa kasemehewa sembuse Manara?

    Yaani nyie mnaumiza vichwa na adhabu za TFF? 1: Bumbuli alifungiwa miaka mitatu 2: Mwakalebela miaka 5 3: Kocha wa Mbeya Kwanza na meneja walifungiwa maisha lakini saivi wapo free Manara je ???
  9. JamiiForums Tanzania Haji Manara afungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa Miaka 2. Atakiwa pia kulipa faini Tsh milioni 20

    Msemaji wa Yanga, Haji Manara amefungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa muda wa miaka 2 na kupigwa faini ya Tsh milioni 20. Manara amekumbwa na adhabu hiyo kutokana na sakata lake na Mwenyekiti wa TFF. ==== Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)...
  10. JamiiForums Tanzania Video: Dogo wa miaka 15 ampeleka rafiki yake kwa mganga ili amtoe kafara ya utajiri

    Tena kafara yenyewe sio kama hizi zenu za kiswahili ya kwenda kwa mganga akwambie umtoe ndugu yako kafara ukikubali ndugu yako anaumwa tumbo anakufa la hasha ila ni kafara kama ile ya kumtoa kondoo wa sadaka yani mtolewa kafara anachinjwa damu yake ina mwagwa kwenye madhabahu ya mganga husika...
  11. JamiiForums Tanzania Tarehe kama ya leo miaka 45 iliyopita, Simba 6-0 Yanga

    Abdallah Kibadeni akaishia kupiga zake hat trick ya kwanza na ya pekee katika derby ya kariakoo. Utopolo mpaka leo wameshindwa kulipa kichapo hiki. Naambiwa baada ya mechi hii, bakora za kutosha zilitembea sana jangwani! Kwahyo sio mbaya wakati tunaenda mbele tusisahau na tulikotoka, Utopolo...
  12. JamiiForums Tanzania Pitio la Kitabu Cha Khamis Abdulla Ameir: Maisha Yangu Miaka Minane Ndani ya Baraza la Mapinduzi Khaini au Mhanga wa Mapinduzi?

    ''Yupo lakini huisikii sauti yake. Hasemi lakini yuko wala huhisi kuwepo kwake. Lakini yupo ila wewe humuoni. Anasikiliza zaidi ya yeye kuzungumza. Huisikii sauti yake. Utamfahamu na kumtambua katika yale atakayofanya.''
  13. S

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Ukomo wa Utumishi wa Umma uwe miaka 10

    Utumishi wa uwe mwisho miaka 10 Habari za majukumu wana jamii forum, andiko langu la leo ni juu ya ukomo wa utumishi wa umma, kwa mtazamo wangu ni bora zaidi ukomo wa kutumikia serikali upunguzwe hadi kifikia miaka 10, kwa maana ya kwamba serikali itengeneze utaratibu wa wahitimu wa vyuo...
  14. JamiiForums Tanzania Wahukumiwa kwenda Jela miaka 70 kwa wizi wa mifugo

    Watu sita ambao ni majambazi sugu wa mifugo wamehukumiwa kifungo cha miaka 70 jela kwa kosa la unyanganyi wa kutumia silaha aina ya bunduki na mapanga katika mahakama ya wilaya ya Tarime Mkoani Mara. Hukumu hiyo imetolewa na hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Tarime Hakimu Yohana...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Hussein Mwinyi arudi bara 2025, awe Rais wa JMT, miaka kumi tunaaga umasikini

    Huyu dogo ana maamuzi ya kiume na ana nia ya kweli yakutuondolea umasikini na kuleta maendeleo tumpe fursa 2025 awe Rais wa JMT,
  16. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI CEO wa Simba kufungiwa miaka mitano 5 au maisha kujihusisha na mpira

    CEO wa Simba sports club Barbara Gonzalez kuna tetesi akafungiwa miaka mitano 5 au maisha kujihusisha na michezo haswa football Hii imetokea baada ya yanga kupeleka malalamiko TFF kuhusu tuhuma alizozitoa kwa team hiyo inapokea wageni ambao Simba ilikua ikicheza nao champion league na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Eduardo Camavinga alipata mtoto wake wa kwanza akiwa na miaka 11

    Kulikuwa na uvumi kuwa kiungo wa Real Madrid, Eduardo Bamavinga ana umri wa miaka 19 na mwanaye ana miaka 8. Hali inayooonesha kuwa alimpata mtoto huyo akiwa na miaka 11. Picha1: Camavinga akiwa na mtoto aliyehisiwa ni mwanaye Picha2: Camavinga akiwa na wazazi wake na ndugu zake
  18. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Fiston Kalala Mayele amesaini miaka 3 Kaizer Chiefs

    Kwa mujibu wa vyanzo , Mwana habari Nuhu Adam amevujisha habari ya Mchezaji Fiston Mayele kusaini kandarasi mpya na club ya Kaizer Chief ya S.A.
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kuifahamu Dawa ya mapunye kwa mtoto

    Habari zenu jamani naombeni mnisaidie dawa ya mapunye, mtoto wangu katokewa na punye mkononi. Ana miaka 4 na miezi 7
  20. JamiiForums Tanzania Muigizaji Nchini Nigeria ahukumiwa Miaka 16 jela kwa kumnyanyasa mtoto kingono

    Muigizaji wa Nigeria, Olanrewaju Ominyika (49), maarufu kama ‘Baba Ijesha’ amepatikana na hatia ya kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 14 kati ya mwaka 2013 na 2014 Mnamo Mwaka jana, Omiyinka alikiri mahakamani kumlawiti mwathiriwa, lakini akasema ni katika muktadha wa nafasi aliyokuwa akiigiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…