miaka 30

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Aaron Mujajati: Ni ngumu kwa mwanamke kupata watoto baada ya miaka 35

    Daktari msomi sana toka Zambia, Dr Aaron Mujajati kaweka wazi kuwa ni ngumu kwa mwanamke kupata mtoto akivuka 35years. Hajasema haiwezekani ila kasisitiza kupata mtoto huambatana na changaamoto nyingi. Ikumbukwe Dr Aaron Mujajati ndo yule aliyesema kuwa hakuna ushahidi wa kisayansi kuonyesha...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Uume Unashindwa Kusimama Vizuri Baada ya kufikisha Miaka 30?

    Kupiga punyeto (kujichua) mara nyingi huchukuliwa kama kitu cha kawaida, lakini ukweli ni kwamba ni tatizo linalosababisha madhara makubwa kiafya na kisaikolojia. Watu wengi wanaozoea kufanya hivi hawaoni dalili mapema, lakini baada ya muda hujikuta wakipoteza nguvu za kiume wakifika miaka 30...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanamke kama ameshafika miaka 30 na kuendelea waachie wazee

    Kama Mwanamke ana miaka kuanzia 30 , wewe Kama Kijana huyo Mwanamke achana nae atakusumbua . Wengi hasa Tanzania wanakuwa wametumika Sana kama hajazaa ujue ameshatoa mimba n, P2 n.k Nb nazungumzia wanaotafuta ndoa
  4. D

    JamiiForums Tanzania Miaka 30+ hupoteza nguvu za kiume kwa ugonjwa wa kisukari

    Kisukari na Nguvu za Kiume Ugonjwa wa kisukari ndio sababu kubwa ya kupungua au kupotea kabisa kwa nguvu za kiume. Tafiti zinaonesha kuwa kati ya asilimia 35–75 ya wagonjwa wa kisukari, hupitia changamoto hii. Wanaume wenye kisukari huanza kupata tatizo hili miaka 10–15 mapema zaidi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kijana wa miaka 30+ kukosa nyumba, gari na kipato cha kueleweka

    Kijana wa miaka 30+ kukosa kumiliki chombo cha usafiri, nyumba au kipato chako kwa siku ni chini ya elfu 30 ni aibu kubwa mno Ukivuka 30 hutoitwa kijana tena bali utaitwa mzee wa makamo na nguvu za utafutaji zitakuwa zinaelekea ukingoni. Unakuta mtu ana miaka 35 na zaidi ila anaishi maisha ya...
  6. JamiiForums Tanzania Ulimtia Mimba Mwanafunzi, Ukafungwa Miaka 30 umetoka jera, Unaambiwa mimba iliharibika! Ungefanyeje?

    Kwa mfano imetokea wewe kijana umefungwa kwa kumtia mimba mwanafunzi. Miaka 30 baadaye, ukarejea na kukutana na ukweli mchungu ambao hukutarajia. 📜 Kwa mfano, wewe ni kijana wa kiume na katika harakati za hapa na pale katika ujana wako, ukajikuta unamtia mimba mwanafunzi wa shule. Kwa kosa...
  7. JamiiForums Tanzania kuanzia miaka 30 kwenda mbele mwili hufika kikomo cha ukuaji, sasa apa mazoezi ndo yatakuokoa

  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume wa miaka 23 ahukumiwa kifungo cha miaka 30 kwa kumbaka mwanafunzi County ya Lamu

    Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 23, Lukman Ismail Athman maarufu kama Jelal, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na Mahakama ya Lamu kwa kosa la kumbaka mara kadhaa mwanafunzi wa Darasa la Tisa kati ya Novemba 14 na 24, 2024 katika eneo la Paradise, Langoni. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu...
  9. JamiiForums Tanzania Bora Mtu umalize form four na miaka 30 kama yule jamaa ambaye hazeeki kuliko kununua cheti kwakuwa utakuwa na cheti kizuri ila kichwani hamna kitu.

    Wanasiasa Ambao mnavyeti vyamagumashi kiukweli Mnaonekana kuwa hampo vizuri kiutendaji . Mimi nimeona hilo.
  10. JamiiForums Tanzania Jela miaka 30 kwa kuzini na mwanaye wa kumzaa mwenye miaka 9

    Mahakama ya Wilaya ya Mkinga, Mkoani Tanga imemuhukumu Waziri Iddi Kasimu (35), mkazi wa kijiji cha Mavovo, kata ya Bwiti, Wilaya ya Mkinga, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kuzini na mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 9. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje Baba miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji?

    Hivi inakuaje baba Zima miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji huwa nawashangaa majitu kama haya aisee Tanzania ilivyokua na ardhi kubwa hivi watu tunajimegea tu aisee nyie wazee acheni ujinga jengeni muishi na familia zenu sio mnakaa mnanig'inia kwenye nyumba za kupanga nyie Sasa ni...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna video inatrendi mtandaoni ya wanafunzi wa like wakiwa na vibe la hatari na mwingine kifua wazi:Kifungo cha miaka 30 kiangaliwe upya

    Hii video inaonenya ni moja ya shule mojawapo hapa Tanzania kwa sababu eneo walilokuwa kwa juu limeandikwa "Samia Suluhu Hassani Domitory Hawa ndo Taifa la leo na la kesho wanacheza wakionesha maungo yao na kujidhalilisha Tunamtaka Waziri Gwajima atoe tamko hii ni shule gani na hatua gani za...
  13. JamiiForums Tanzania Iwekwe sheria umri wa Mwanaume kuoa uanzie miaka 30

    Ndio, umri wa mwanaume kuoa uanzie miaka 30. Ndoa sio jambo dogo, ni uamuzi mkubwa sana. Ndoa ni mkataba ule. Iwekwe kwenye sheria kabisa kama mwanaume hujafika 30 marufuku kuishi na mtoto wa mtu. Umri wa 30 walau mtu anajitambua anachofanya. Mwanaume ndo baba wa nyumba lazima ajitambue...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maswa: Baba jela miaka 30 kwa kuzini mwanaye wa miaka 14 na kumpa mimba

    Maswa:MAHAKAMA ya wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu imemhukumu,Daud Mabele(38)mkazi wa kijiji cha Kakola-Shishiyu kwenda jela miaka 30 na kumlipa fidia ya Sh 200,000 mhanga baada ya kupatikana na hatia ya kuzini na binti yake wa kumzaa(jina limehifadhiwa) mwenye miaka 14 na kumpatia ujauzito...
  15. JamiiForums Tanzania Kijana chini ya Miaka 30 anayemiliki Bilioni (TSh) kwenye akaunti yake? Siyo za kurithi!

    Kuna post nimeona dogo mmoja huko X (zamani twitter) anajisififu kuwa kaingiza milion 100 kwa hustle zake na anamiaka 26. Nimeshtuka sana. lakini nahisi aliandika kuongeza likes si kweli. Ingawa uwezekano wa ukweli upo. Swali langu kama kuna kijana mpambanaji chini ya miaka 30 mwenye Bilion...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa unadhani utakuwa umeshanunua vitu gani na kukamilisha nini maishani ukiwa na miaka 30 lakini mpaka sasa hola?

    Kuna wale tulikuwa nikifikisha miaka 30 ntakuwa nimejenga nyumba nzuri, nna kazi nnayolipwa mshahara si chini ya Mil. 5 au nimeajiajiri na biashara yangu inaingizia si chini ya mil. 10 kwa mwezi, aloooo 🤣🤣🤣. Nna familia yangu na mtoto mkaliii na watoto wangu wawili wako international schoo...
  17. JamiiForums Tanzania Jela miaka 30 kwa kuzini na Mwanae wa kumzaa

    Mahakama ya Wilaya ya Temeke Jijini Dar es salaam imemhukumu ALLY SELEMANI IDDI kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la Kuzini na Maharimu (mtoto wake ) Hukumu hiyo imetolewa tarehe 25 Machi, 2025 na Hakimu Mkuu wa Mahakama ya Wilaya ya Temeke Mhe. Janeth Kaluyenda...
  18. JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Kanisa (Sinza, Dar) aliyeshtakiwa kwa kumlawiti mtoto kwenye vyoo vya Kanisa, atupwa jela Miaka 30

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni imemuhukumu Baraka Benedicto (23) kifungo cha Miaka 30 jela ikiwa ni baada ya kumtia hatiani kwa kosa la ulawiti. Akisoma hukumu hiyo leo Machi 14, 2025, Hakimu Nabwike Mbaba amesema ushahidi ambao umetolewa kwenye kesi hiyo umetosha kumtia hatiani mshtakiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Live From Golden Jubilee Hall, DSM, Miaka 30 ya VETA, Kongamano la Wadau Sekta Nguo na Mavazi: "Watanzania Vaeni Nguo za Tanzania" Made in Tanzania!.

    Wanabodi https://youtu.be/OSGYViDqx8Yhttps://youtu.be/oqwZRhin8ek https://youtu.be/EEMSp2L7MZk Niko hapa jengo la PSSSF Golden Jubilee Hall, DSM, Wadau Sekta Nguo na Mavazi wa Kitanzania, wamewataka "Watanzania kuvaa, zilizobuniwa na wabunifu wa Kitanzania, na nguo za kushoneza zaidi, na kuvaa...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanza: Ahukumiwa miaka 30 Jela kwa kubaka mjukuu wake

    Mahakama ya Wilaya Sengerema, mkoani Mwanza, imemuhukumu Lucas Maselele (56), mkazi wa kijiji cha Lugata kwenda jela miaka 30 baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mjukuu wake (13) (jina linahifadhiwa) kwa sababu za kisheria. Hukumu hiyo imesomwa Jana Machi 13, 2025 na Hakimu Mkazi Mwandamizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…