mhuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke anaemcontrol mumewe huyo hana mungu hata mume awe mhuni maskini kiasi gani ...

    Ntd Na hawa "Tutawafwatilia" https://www.facebook.com/share/v/1KeEJXEcwe/ Hahaha
  2. F

    JamiiForums Tanzania Sheikh anayetaka kutahiri watu bila ganzi kumbe ni mhuni, mwizi, tapeli. Ina maana CCM inawasapoti majambazi?

    Huyu anayejiita sheikh Mwaipopo alikamatwa akitapeli Kenya, akapelekwa mahakamani kwa kutapeli KES 1.3 Mil, hii ni sawa na TZS 26 Mil. Huyo Sheikh Ubwabwa alivyokamatwa akatuma salaam kwa waumini wa kiislaam waliopo Tanzania na Oman kuwa ameshtakiwa Kenya, na anashikiliwa kituo cha polisi cha...
  3. JamiiForums Tanzania Watanzania naomba kwa sasa tumpuuze Polepole, ni mhuni tu

    Kuna maswali mengi kuhusu Polepole na nafasi yake katika siasa za Tanzania, hususan baada ya taarifa kuhusu Captain Tesha kuibuka na kupata umaarufu mkubwa. Polepole ameonekana kuzingatia siasa za kivuli, na hatua zake zimekuwa zikichochea mashaka kuhusu nia yake halisi na ajenda anazozitetea...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo 'Mwizi wa Uchaguzi’ na ‘Kipenzi' cha wanasiasa Barani Afrika, ameshatia mkono na kwetu?

    Salam Wakuu, Huyu jamaa ana mpaka rekodi ya kufungwa kutokana na utapeli! Huwa anapewa tenda ya vifaa vya uchaguzi na huko ndio anapata na mwanya wa kutoa michoro ya kuharibu uchaguzi kwa kuhonga watumishi na viongozi kuhakikisha kura zinaibwa bila kuleta kelele na shida yoyote. Jamaa...
  5. JamiiForums Tanzania Rais ambaye atatatokea chama chochote lakini ana sifa hizi, tusimchague

    Rais akiwa na sifa hizi Mwoga, Muuaji, Malaya, Hajielewi, Mshirikina, Mlevi, Mhuni, Fisadi, Asiye na Uelewa/Elimu tusimchague Watanzania tugome kumchagua. Ni kwamba hafai hata kidogo. Pima mtu ambaye anagombea Urais. Ukimwona ana sifa hizo huyo ni Shetani. Haijalishi ana jinsia gani, elimu...
  6. JamiiForums Tanzania Polepole ni mhuni kama wahuni anaowatuhumu uhuni au tunafanyiwa machezo?

    Katika kutaka kujijengea umaarufu nchini, Humphrey Polepole alikuja na dhana ya wahuni. Japo alijitahidi kuifafanua dhana husika, hakufanikiwa. Kinachogomba ni ukweli kuwa wengi wa 'wahuni' anaojitahidi kuwaanika mbele ya umma ni wale wale aliokuwa nao kabla ya kuona kitumbua chake kikiingia...
  7. JamiiForums Tanzania Waswahili wanasema Muhuni hasusiwi,na akisusiwa yeye hajali anakula tu

    Waswahili wanasema Muhuni hasusiwi,na akisusiwa yeye hajali anakula tu! Ila muungwana akisusiwa anauliza,kwa nini mmesusa,ebu tuwasikilize na tufikie muafaka.
  8. JamiiForums Tanzania Polepole ni Mhuni namba moja kwenye CCM - Mafufu

    Polepole ni Mhuni namba moja kwenye CCM - Mafufu
  9. JamiiForums Tanzania Mhuni kakutana na gangwe

    Hakuna kitu kinamuuma mwizi kama kuibiwa Gangwe ni lugha kitaa ambayo ni almost inatoweka! Lakini kwa tafsiri rahisi gangwe ni mtu mtemi.. Nyakati hizo neno hilo lilimaanisha utemi kwenye mapigano.. Mhuni na gangwe ni watu wawili tofauti wasioiva hata kidogo.. Mhuni hupenda kufanya mambo...
  10. JamiiForums Tanzania Polepole ni mhuni na mwenye wivu sana,apuuzwe

    Huyu jamaa anajiona yeye ni genius sana. Ana chuki za waziwazi na Rais Samia, anaona wivu Rais Samia kuwa Madarakani. Nashauri apuuzwe kwa nguvu zote.
  11. JamiiForums Tanzania Diwani ashindwa jaribio la kumchafua kwa makusudi Waziri Mstaafu Kawambwa huko Bagamoyo

    Diwani mstaafu wa Kiromo anayeitwa Hassan Wembe, ambaye hana historia nzuri sana, amefanya jaribio la kihuni na kuudhi kwa kumzushia tuhuma za uongo aliyekuwa waziri Awamu ya Nne, mh. Shukuru Kawambwa. Clip iliyorushwa mitandsoni na kusambaa kama moto wa nyika, ilikuwa ikimtuhumu ati Kawambwa...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi rafiki mhuni wa Malcom X "Sammy The Pimp" alivyokuwana anapata makahaba wa kuwauza.

    Nip kwenye kutafsiri kitabu cha Malcom X, jamaa maishani mwake kapitia uhuni mwingi sana. Pia alikuwa na marafiki wahuni balaa. mmoja wa rafiki yake huyu aliitwa Sammy The Pimp(Kuwadi Sammy). Hivi ndivyo alikuwa akipata makahaba wa kuwauza. Sammy alikuwa amempa mimba msichana mmoja huko kwao...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Doctor Ishola Oyenusi, mtoto wa mjini, mhuni, na jambazi sugu asiyeishiwa tabasamu usoni

    "Maafande naomba kusema jambo unajua nini ama wazazi wangu wangekuwa na uwezo ningefika hadi kidato cha tano na sita hivyo basi ningekuwa daktari. Moja ya ndoto yangu iliyofifia. Na hata nisingekuwa jambazi sugu namna hii" "Licha ya hayo ninakubali kupokea hukumu kwa uhalifu niliotenda. Mimi ni...
  14. JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya mhuni na mhalifu

    Watu wengi wanashindwa kutofautisha kati ya mhuni na mhalifu na kuleta mkanganyiko pale wanapotaka kufahamu tofauti ya watu hawa wawili. Mhuni ni mtu yeyote aliyeamua kwenda kinyume na maadaili mema au utamaduni huku mhalifu ni mtu yeyote aliyevunja sheria. Mhuni anakosa maadili mema na...
  15. JamiiForums Tanzania Polepole: Kwenye group letu la Viongozi mmoja wetu kasema waziwazi yeye ni mhuni kati ya wale waliobaki

    "...inashangaza sana,mfano tuna group letu la Viongozi ajabu mmoja wetu bila aibu amethubutu kabisa kusema yeye ni mmoja wa wahuni waliobakizwa na awamu ya 5." "...INASIKITISHA sana!" "...hata mimi naona aibu ya kwanini yule aliachiwa akafikia ngazi ya uongozi aliyonayo." Chanzo Dar 24. Polepole.
  16. JamiiForums Tanzania Polepole: Bulembo si tu ni mhuni bali pia ni tapeli

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter Polepole ameandika hayo huku akidai hana hata huo muda wa kufanya mdahalo na na tapeli. "...vilevile aliifilisi Jumuiya yetu moja ndani ya CCM."Ameandika Polepole.
  17. N

    JamiiForums Tanzania Dkt. Musukuma ni muongo asiye na aibu

    Huyu mtu kwanza huwa ni kigeugeu. Kama unakumbuka Wenyeviti wa CCM waliokuwa Timu Lowasa naye alikuwa ni mmoja wao. Ikaja Lowasa alipotemwa akahamia kwa JPM na ili kumpendezesha JPM hadi akampakazia Lowassa kujinyea! Au MMESAHAU? Sasa MUSUKUMA kwenye Wasifu wake siku zote alikuwa anadai...
  18. JamiiForums Tanzania Wahariri wa Magazeti ya Musiba wasema Musiba ni mhuni

    Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu. Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu. Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…