mhuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    Watanzania naomba kwa sasa tumpuuze Polepole, ni mhuni tu

    Kuna maswali mengi kuhusu Polepole na nafasi yake katika siasa za Tanzania, hususan baada ya taarifa kuhusu Captain Tesha kuibuka na kupata umaarufu mkubwa. Polepole ameonekana kuzingatia siasa za kivuli, na hatua zake zimekuwa zikichochea mashaka kuhusu nia yake halisi na ajenda anazozitetea...
  2. P

    Chivayo 'Mwizi wa Uchaguzi’ na ‘Kipenzi' cha wanasiasa Barani Afrika, ameshatia mkono na kwetu?

    Salam Wakuu, Huyu jamaa ana mpaka rekodi ya kufungwa kutokana na utapeli! Huwa anapewa tenda ya vifaa vya uchaguzi na huko ndio anapata na mwanya wa kutoa michoro ya kuharibu uchaguzi kwa kuhonga watumishi na viongozi kuhakikisha kura zinaibwa bila kuleta kelele na shida yoyote. Jamaa...
  3. Mtu Asiyejulikana

    Rais ambaye atatatokea chama chochote lakini ana sifa hizi, tusimchague

    Rais akiwa na sifa hizi Mwoga, Muuaji, Malaya, Hajielewi, Mshirikina, Mlevi, Mhuni, Fisadi, Asiye na Uelewa/Elimu tusimchague Watanzania tugome kumchagua. Ni kwamba hafai hata kidogo. Pima mtu ambaye anagombea Urais. Ukimwona ana sifa hizo huyo ni Shetani. Haijalishi ana jinsia gani, elimu...
  4. The Father of All

    Polepole ni mhuni kama wahuni anaowatuhumu uhuni au tunafanyiwa machezo?

    Katika kutaka kujijengea umaarufu nchini, Humphrey Polepole alikuja na dhana ya wahuni. Japo alijitahidi kuifafanua dhana husika, hakufanikiwa. Kinachogomba ni ukweli kuwa wengi wa 'wahuni' anaojitahidi kuwaanika mbele ya umma ni wale wale aliokuwa nao kabla ya kuona kitumbua chake kikiingia...
  5. Mwande na Mndewa

    Waswahili wanasema Muhuni hasusiwi,na akisusiwa yeye hajali anakula tu

    Waswahili wanasema Muhuni hasusiwi,na akisusiwa yeye hajali anakula tu! Ila muungwana akisusiwa anauliza,kwa nini mmesusa,ebu tuwasikilize na tufikie muafaka.
  6. Ojuolegbha

    Polepole ni Mhuni namba moja kwenye CCM - Mafufu

    Polepole ni Mhuni namba moja kwenye CCM - Mafufu
  7. Mshana Jr

    Mhuni kakutana na gangwe

    Hakuna kitu kinamuuma mwizi kama kuibiwa Gangwe ni lugha kitaa ambayo ni almost inatoweka! Lakini kwa tafsiri rahisi gangwe ni mtu mtemi.. Nyakati hizo neno hilo lilimaanisha utemi kwenye mapigano.. Mhuni na gangwe ni watu wawili tofauti wasioiva hata kidogo.. Mhuni hupenda kufanya mambo...
  8. kyagata

    Polepole ni mhuni na mwenye wivu sana,apuuzwe

    Huyu jamaa anajiona yeye ni genius sana. Ana chuki za waziwazi na Rais Samia, anaona wivu Rais Samia kuwa Madarakani. Nashauri apuuzwe kwa nguvu zote.
  9. Jidu La Mabambasi

    Diwani ashindwa jaribio la kumchafua kwa makusudi Waziri Mstaafu Kawambwa huko Bagamoyo

    Diwani mstaafu wa Kiromo anayeitwa Hassan Wembe, ambaye hana historia nzuri sana, amefanya jaribio la kihuni na kuudhi kwa kumzushia tuhuma za uongo aliyekuwa waziri Awamu ya Nne, mh. Shukuru Kawambwa. Clip iliyorushwa mitandsoni na kusambaa kama moto wa nyika, ilikuwa ikimtuhumu ati Kawambwa...
  10. Lycaon pictus

    Jinsi rafiki mhuni wa Malcom X "Sammy The Pimp" alivyokuwana anapata makahaba wa kuwauza.

    Nip kwenye kutafsiri kitabu cha Malcom X, jamaa maishani mwake kapitia uhuni mwingi sana. Pia alikuwa na marafiki wahuni balaa. mmoja wa rafiki yake huyu aliitwa Sammy The Pimp(Kuwadi Sammy). Hivi ndivyo alikuwa akipata makahaba wa kuwauza. Sammy alikuwa amempa mimba msichana mmoja huko kwao...
  11. S

    Doctor Ishola Oyenusi, mtoto wa mjini, mhuni, na jambazi sugu asiyeishiwa tabasamu usoni

    "Maafande naomba kusema jambo unajua nini ama wazazi wangu wangekuwa na uwezo ningefika hadi kidato cha tano na sita hivyo basi ningekuwa daktari. Moja ya ndoto yangu iliyofifia. Na hata nisingekuwa jambazi sugu namna hii" "Licha ya hayo ninakubali kupokea hukumu kwa uhalifu niliotenda. Mimi ni...
  12. Frumence M Kyauke

    Tofauti kati ya mhuni na mhalifu

    Watu wengi wanashindwa kutofautisha kati ya mhuni na mhalifu na kuleta mkanganyiko pale wanapotaka kufahamu tofauti ya watu hawa wawili. Mhuni ni mtu yeyote aliyeamua kwenda kinyume na maadaili mema au utamaduni huku mhalifu ni mtu yeyote aliyevunja sheria. Mhuni anakosa maadili mema na...
  13. Suzy Elias

    Polepole: Kwenye group letu la Viongozi mmoja wetu kasema waziwazi yeye ni mhuni kati ya wale waliobaki

    "...inashangaza sana,mfano tuna group letu la Viongozi ajabu mmoja wetu bila aibu amethubutu kabisa kusema yeye ni mmoja wa wahuni waliobakizwa na awamu ya 5." "...INASIKITISHA sana!" "...hata mimi naona aibu ya kwanini yule aliachiwa akafikia ngazi ya uongozi aliyonayo." Chanzo Dar 24. Polepole.
  14. Suzy Elias

    Polepole: Bulembo si tu ni mhuni bali pia ni tapeli

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter Polepole ameandika hayo huku akidai hana hata huo muda wa kufanya mdahalo na na tapeli. "...vilevile aliifilisi Jumuiya yetu moja ndani ya CCM."Ameandika Polepole.
  15. N

    Dkt. Musukuma ni muongo asiye na aibu

    Huyu mtu kwanza huwa ni kigeugeu. Kama unakumbuka Wenyeviti wa CCM waliokuwa Timu Lowasa naye alikuwa ni mmoja wao. Ikaja Lowasa alipotemwa akahamia kwa JPM na ili kumpendezesha JPM hadi akampakazia Lowassa kujinyea! Au MMESAHAU? Sasa MUSUKUMA kwenye Wasifu wake siku zote alikuwa anadai...
  16. Analogia Malenga

    Wahariri wa Magazeti ya Musiba wasema Musiba ni mhuni

    Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu. Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu. Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia...
Back
Top Bottom