Advocate Rwankomez Bushoke Batamuzi, Mhaya wa Ruita Muleba ameenda kwenye harusi ya Muganyizi Byejumula Mulokozi, alivyotaka kuegesha gari yake ikawa hivi:-
Mhaya – nionyeshe wenye Harrier wanapaki wapi?
Mlinzi (Bageni Bigacho) – lete huku nikuonyeshe. Paki palee…
Mhaya – maweee! Wewe Tarishi...