mgogoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba China imesababisha mgogoro wa chakula duniani?

    Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa limetoa “Ripoti ya Mgogoro wa 2022 wa Chakula Duniani”, ikisema dunia itakabiliwa na uhaba wa chakula ndani ya wiki 10 zijazo. Hili ni suala kubwa linalohusisha usalama wa chakula wa mabilioni ya watu duniani, hivyo linafuatiliwa sana. Kwa mara...
  2. JamiiForums Tanzania Ugumu kwa NATO kuingiza majeshi moja kwa moja katika mgogoro baina ya Urusi na Ukraine

    Tofauti na nchi za Yugoslavia, Iraq, Afghanistan, Libya na hata Syria. Urusi ni nchi yenye jeshi kubwa sana hapa duniani na lililokamilika. Urusi Ina majeshi kamili ya Ardhini,angani na majini. Sio TU kamili,Bali pia Ina silaha za Kila aina na za kipekee,katika majeshi hayo matatu. Russia...
  3. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari wa Kiitaliano, Angelo d'Orsi adai Mgogoro wa Ukraine ni Vita kati ya NATO dhidi ya Urusi

    "Anyway, this is a NATO war against Russia..." ameyasema hayo mwanahabari na mwanahistoria Angelo D'Orsi kuhusu mgogoro unaoendelea Ukraine. Akizungumza na Italian TV, mwandishi huyo pia alikosoa vikwazo vya Magharibi dhidi ya Urusi, ambavyo vinaikumba Ulaya yenyewe. Pia alihoji "the fact"...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kama ukiitwa kusuluhisha mgogoro huu utausuluhisha vipi?

    Eti kwenye familia moja ukute kuna migogoro mitatu inayohitaji kusuluhishwa kwa wakati mmoja. Mgogoro wa kwanza, baba kauza shamba la familia pesa kaenda kuhonga malaya wake. Mgogoro wa pili, mama kapatiwa ujauzito na kibeniten tena kilichokuwa kimepanga nyumba ya jirani. Mgogoro wa tatu...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Sudan yakabiliwa na ukosefu mkubwa wa chakula au hata kuwa mgogoro wa chakula mwaka 2022

    Wataalamu nchini Sudan wameonya kuwa mwaka huu nchi hiyo inakabiliwa na ukosefu mkubwa wa chakula au hata kuwa mgogoro wa chakula, na idadi ya watu wanaoathiriwa na njaa inaweza kuongezeka na kufikia milioni 18 ambayo ni asilimia 45 ya jumla ya watu wa nchi hiyo. Mchumi wa Sudan Bw...
  6. JamiiForums Tanzania Chama na Morrison wana mgogoro na Pablo....?!

    Chama nimemuona hapa maeneo ya Bridge Ndola anaendesha gari na kweli hata kwenye kikosi hayumo! Morrison naye pia hayupo?! Pablo anaihujumu Simba?! Nb; Simba ya makaratasi uwanjani leo.
  7. JamiiForums Tanzania Togo yakubali kuwa msuluhishi wa mgogoro wa kisiasa nchini Mali

    Rais wa Togo Faure Gnassingbe amekubali kuwa mpatanishi katika mzozo wa kisiasa wa Mali huku serikali ya kijeshi ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi ikikabiliwa na shinikizo la kurudisha utawala wa kiraia, mawaziri wao wa mambo ya nje wamesema. Tangu Agosti 2020 wakati jeshi lilipochukua mamlaka...
  8. JamiiForums Tanzania Maaskofu KKKT wacharuka - Katibu Kitundu Aliwalisha Maneno Alipozungumzia Mgogoro wa Konde

    Kitundu si msemaji wa Baraza au Faragha ya Maaskofu Taarifa aliyoitoa kwenye vyombo vya habari, ilikuwa ya uongo kwa sababu maamuzi yaliyofanywa na Askofu Shoo kumuondoa Mwaikali kwenye Uaskofu, hayakufuata katiba ya KKKT Dayosisi ya Konde na wala hayakupewa baraka kwenye mkutano wa Maaskofu...
  9. JamiiForums Tanzania Sakata la JATU PLC lazidi kupamba moto, Serikali yaingilia kati mgogoro wake na wanachama

    Serikali imesema inaifuatilia Kampuni ya Jenga Afya Tokomeza Umasikini (Jatu PLC) baada ya baadhi ya wanachama wake kudai kutapeliwa mamilioni ya fedha waliyowekeza katika miradi ya kilimo. Kwa mujibu wa tovuti ya Jatu PLC, kampuni hiyo inayowaunganisha wakulima na kuwawezesha kulima kisasa...
  10. JamiiForums Tanzania Je, mgogoro wa Urusi na Ukraine,umetabiriwa kibiblia?

    JE MGOGORO WA URUSI NA UKRAINE,UMETABIRIWA KIBIBLIA? la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia. Leo tutajifunza juu ya mgogoro wa Urusi na Ukraine, Je Mgogoro huu umetabiriwa katika biblia? Awali ya yote, kabla hatujaendelea mbele, tusome kwanza mstari ufuatao.. Hapo...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Je, mawasiliano mfululizo kati ya China na Afrika yana uhusiano na mgogoro wa Ukraine?

    Je, mawasiliano mfululizo kati ya China na Afrika yana uhusiano na mgogoro wa Ukraine? Hivi karibuni, wakati macho ya watu wengi yanaelekezwa kwenye mgogoro wa Ukraine, mawasiliano ya ngazi ya juu kati ya China na Afrika pia yamekuwa ya mara kwa mara. Sadfa hiyo imetafsiriwa na baadhi ya watu...
  12. JamiiForums Tanzania Uzi wa kumtafuta Ex wake wasababisha mgogoro katika familia

    Kuna mdau aliandika uzi hapa akimtafuta x wake, na jmleta uzi ameandika kila kitu kwa uwazi pasipo kutumia code. Huyo x wa mleta mada ameandika hadi utam aliokuwa akiuoata kwa kutoka kwa mwali "tena kamsifia sana". Kumbe yule mwali alisha olewa na jamaa ni member mtiifu hapa JF na ameuona ule...
  13. JamiiForums Tanzania Maaskofu Wastaafu wa KKKT Wapinga hatua zilizotumika kutatua mgogoro wa Dayosisi ya Konde

    Wakati Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) likitoa tamko la kufafanua mgogoro wa Dayosisi ya Konde mkoani Mbeya, baadhi ya maaskofu wastaafu wametoa waraka wa kupinga hatua zilizochukuliwa na uongozi wa kanisa hilo kwa mgogoro huo. Mgogoro wa Dayosisi ya Konde umekwenda mbali na...
  14. JamiiForums Tanzania UN: Raia 1,471 wameuawa kutokana na mgogoro wa Urusi na Ukraine

    Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Haki za Binadamu (UN-OHCHR) limeripoti raia 1,417 kuuawa tangu kuanza kwa vita vya Urusi na Ukraine, Raia wengine 2,038 wamejeruhiwa 121 kati ya waliouwa ni Watoto. UN-OHCHR imesema idadi ya vifo inaweza kuwa kubwa kuliko iliyoripotiwa. === As of...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Russia na Ukraine umeonyesha unafiki wa nchi za magharibi

    Fadhili Mpunji Wakati dunia inaendelea kutafakari kuhusu changamoto zinazosababishwa na mgogoro unaoendelea kati ya Russia na Ukraine, kumekuwa na maswali mengi yanayoibuka, na kufanya watu watafakari udhati na kinachoitwa maadili ya nchi za magharibi (western values), na hata msimamo wa nchi...
  16. JamiiForums Tanzania Siri: Kiini cha mgogoro unaofukuta ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde

    SIRI imefichuka, kwamba kiini cha mgogoro unaofukuta ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde, Mbeya, kinatajwa kuwa ni kuficha udanganyifu kwenye mkopo uliochukuliwa na Kanisa hilo, takribani miaka minane iliyopita. Raia Mwema ilielezwa kuwa baadhi ya viongozi...
  17. JamiiForums Tanzania Manaosubiri NATO kuingiza majeshi Ukraine katika mgogoro huu mtasubiri sana.

    Kwanza kabisa tukubali kuwa Urusi ni mwamba. Pia tukubali kuwa ni kweli hii ni operation maalumu kama Wanavyoiita wao Urusi. Ni kweli lengo la Urusi ni kuiodhiofisha kijeshi Ukraine na ni kweli Sasa Ukraine imedhoofika kabisa kijeshi kwa sababu kambi zake zote muhimu zimeharibiwa na miundimbinu...
  18. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kuwa Urusi haichukiwi na nchi nyingi katika mgogoro huu

    Mgogoro huu kati ya Ukraine na Urusi unaongoza kwa propaganda kuliko mgogoro wowote ule toka vita kuu ya pili ya Dunia. Ukisikiliza propaganda za nchi za west unaweza kudhani Urusi imechukiwa na Dunia nzima. Lakini ukweli sio hivyo. Hali halisi Iko hivi. Nchi zinazoichukia ama kuonesha...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa ailaumu NATO kwa mgogoro wa Urusi na Ukraine

    Wachambuzi wa masuala ya siasa wanasema Rais wa Afrika kusini, Cyril Ramaphosa amepunguza ushawishi wake kama mpatanishi wa mgogoro wa vita nchini Ukraine akiwa na pendekezo lenye utata kwamba hatua za NATO ndizo za kulaumiwa kwa uvamizi wa Russia dhidi ya jirani yake wa magharibi. Ramaphosa...
  20. JamiiForums Tanzania Mgogoro KKKT Dayosisi ya Konde nani alaumiwe?

    Kanisa la kiinjili la kiluteri Tanzania KKKT dayosisi ya konde limeingia majaribuni baada ya mgogoro wa muda mrefu uliotokana na uamuzi wa askofu wake Dkt. Mwaikali kuhamisha kiti cha askofu kutoka Tukuyu kulipokuwepo makao makuu ya dayosisi ya konde kuyapeleka Mbeya mjini uamuzi uliozua mgogoro...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…