Mgodi (English: Hole) is the fourth studio album by South African musician Zahara. It was released on October 13, 2017, through Warner Music. It features production from Mojalefa Thebe.
The album was a best-seller, attained gold certification in six hours and then achieving platinum status 20 hours after release by the Recording Industry of South Africa (RiSA).At the 24th ceremony of South African Music Awards Mgodi was nominated for best Afro-pop Album category.
Sisi Wafanyakazi 160 tuliopo katika Mgodi mdogo ambao unapatikana Mkoani Mara, Wilaya ya Musoma, Kata ya Kigera, Kijiji cha Kwitope chini ya Kampuni ya IDERA au GDM tuna changamoto ambazo tunatamani jamii izisikie na ujumbe ufika kwa mamlaka husika ili utatuzi upatikane.
Tunacheleweshewa sana...
Takribani watu 200 wamepoteza maisha baada ya mvua kubwa kusababisha mfululizo wa maporomoko ya ardhi katika mgodi wa coltan wa Rubaya uliopo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
Eneo hilo limekuwa chini ya udhibiti wa waasi wa kundi la M23 tangu mwaka 2024.
Msemaji wa gavana...
Mimi ni Mwekezaji mdogo kwenye sekta ya uchimbaji (mchimbaji mdogo) kuna mazingira ya unyonyaji na uonevu unaoendelea kwenye Mgodi wa Msasa Gold Mine kwenye Mji wa Runzewe ambao umefumuka au kuibuka kipindi cha Uchaguzi Mkuu 2025, ukiwa unaendeshwa kama rush.
Awali, baada ya uvumbuzi wa...
Serikali imelitangaza eneo ulipokuwa mgodi maarufu wa dhahabu wa Buzwagi kuwa sehemu ya kujengwa eneo maalumu la kongani ya viwanda “Buzwagi Special Economic Zone” baada ya kuhitimishwa kwa shughuli za uchimbaji katika eneo hilo.
Hatua hiyo imewekwa wazi na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya...
Habari Tanzania !
Nimejiwazia hapa, hawa JKT kwa ubora wa huduma zao, umakini na uwezo wa nguvu kazi nawaomba mamlaka hapa Tanzania wawape maeneo yenye rasilimali za kuchakata Saruji watuletee Saruji safi na bora, bei nafuu na yenye uwezo mzuri na iitwe (JKT Cement) .
Jeshi la Kujenga Taifa...
Kama kichwa cha habari kinavyosema nahitaji muwekezaji au mnunuzi WA mgodi, mgodi huu umefanyiwa drilling hivyo sample na majibu ya sample vyote vipo. Alie na connection anitafute DM
Rostam ni muhindi kama walivyo wengine
Ni miongoni mwa magenge ya wahuni walioingia kwenye siasa
Ni miongoni mwa wanasiasa wapiga dili
Najiuliza serikali ya ccm iliyoshindwa kuendesha mradi wa MWENDO Kasi wangeweza kuendesha Mgodi, ni mradi Gani uliwai simamiwa na serikali ujafanikiwa...
Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.
Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.
Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO
Ama...
Huduma za uokoaji zinaendelea kuwaokoa takribani watu 22 waliofukiwa na kifusi, katika machimbo ya dhahabu ya Nyandolwa, Shinyanga Tanzania.
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mboni Mhita amesema tukio hilo limetokea wakati mafundi wakiufanyia ukarabati mgodi huo na kwamba mpaka jana usiku watu watatu...
Jumla ya wachimbaji wadogo 25 kutoka katika mgodi mdogo wa Nyandolwa unaomilikiwa na kikundi cha Wachapa Kazi, uliopo kijiji cha Mwongozo Halmashauri ya Shinyanga, wamefukiwa na kifusi baada ya mgodi kutitia.
shughuli ya uokoaji imefanywa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa kushirikiana na...
Mmiliki wa mgodi wa Ikombo Hill uliopo katika Kijiji cha Matonya, Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Bi. Doreen Kissia, ameibuka kuwa mfano wa kuigwa katika sekta ya uchimbaji wa madini ya shaba, akiwa mwanamke pekee anayeongoza mgodi unaotoa ajira kwa zaidi ya asilimia 98 ya wakazi wa vijiji vya...
Katika sherehe ya Uzinduzi wa Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu Mapya ya CCM yanayojengwa Mkoani Dodoma, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi alisikika akisema Kampuni yao ya JITEGEMEE Holdings inayochimba na kuuza madini ya Makaa ya Mawe Mkoani Ruvuma imelipa kodi kiasi cha Shilingi BIlioni...
▪️Mradi wa ujenzi wa mgodi kugharimu Trillioni 1.4
▪️Mgodi kuzalisha Ajira na mapato kwa serikali
Kampuni ya Perseus ya Nchini Australia yatoa tangazo rasmi la kuanza ujenzi wa mgodi wa dhahabu wa Nyanzaga uliopo Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza utakaomilikiwa na Kampuni ya Ubia ya Sotta...
Wana Jamvi kuna Mkopo wengi wetu tulikuwa hatujui kuwa ni tatizo na ni kwa sababu ya kutokaa na kufikiria mara mbili. Nimefanya tafiti za riba kupitia watu 4 wanao chukua mikopo ya mtandao nikabaini mengi na mfano moja wapo ni huu, lazima kila mtu akae afikirie mara 2 kabla ya kuchukua mkopo wa...
MGODI wa Dhahabu wa Manda, unaomilikiwa na Wakinamama chini ya uenyekiti wa Asha Msangi umechangia Shilingi Milioni 800 katika maduhuli ya Serikali kwa mwaka huu wa fedha 2024/2025.
Mgodi huo ambao kwa kiasi kikubwa unaendeshwa na wakinamama upo Kahama Kijiji cha Mwime Kata ya Zongamela ambao...
UONGOZI wa mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu uliopo Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga umeihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya Ukimwi kwamba mbali na kushiriki kuchangia miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ya afya, pia itaelekeza nguvu katika kusaidia jamii inayozunguka...
ZAIDI ya leseni 4,000 zipo katika utaratibu wa kutolewa katika maeneo manne ya Mkoa wa Kimadini Mbogwe mkoani Geita, huku wazawa na wawekezaji kutoka nje wakitakiwa kuchangamkia fursa zilizopo mkoani humo.
Akizungumza katika mahojiano, Afisa Madini Mkazi wa Mbogwe, Mhandisi Jeremiah Hango...
Serikali imewapa siku tatu wawekezaji wote wa kigeni kuondoka katika maeneo ya mgodi wa madini Nditi uliopo wilayani Nachingwea mkoani Lindi na kuwaacha wachimbiji wadogo katika eneo hilo kwani ni eneo la rashi.
akizungumza mkuu wa wilaya ya Nachingwea Mohamed Moyo akiwa ameambatana na kamati...
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigella amewamuru Watendaji watatu ambao ni Wafanyakazi wa Kampuni ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) kutoka nje ya ukumbi wa kikao cha Kamisheni Cha Mkoa (RCC).
Uamuzi wa Shigela unakuja kufuatia kutoridhishwa na majibu ya maofisa hao wa GGML juu ya malipo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.