Yaani alikua ananisumbua kinyama Sasa nashangaa Sasa hivi anashobo na Mimi nishamchoka hata kabla sijagonga aisee yaani nashangaa tu sinamzuka nae hizi meseji za Jana sijamjibu mpaka Leo ananiambia piga ila nimekausha kiufupi Sina mzuka nae kabisa Sasa hivi wezangu mlishawahi kukutana na hii...
"Silaha zenu hazina thamani dhidi ya mashambulizi yetu ya anga.
Mnakufa katika mapigano ambayo tayari mmeyapoteza.
Makamanda wenu wamewauza.
Wanajificha katika anasa, wakichukua pesa walizoiba, huku nyinyi na familia haziambulii chochote bali makaburi"
Castle_Lite
mcTobby
Kampuni ya Mawasiliano Tanzania ya Vodacom, iimewataka wananchi ambao hawataki kutumiwa meseji za Uchaguzi, waende kushitaki au kulalamika TCRA.
Meseji utake usitake utapokea tu. Huna uhuru wala haki yoyote ya kuamua wala kuchagua kwa mtakwa yako.
Pumzika kwa amani Alfonce Mawazo. Muda huu...
Nasema live nawachukia nyinyi mnao jiita JITOKEZE tena nasema mnikome tafadhali sana staki mazoea na nyinyi
Mnaniambia nijitokeze KUPIGA kura wakatinajua hata mlo Mmoja sijala Nina siku ya NNE, alafu nikayachague majizi ya fedha za UMMA ?
Mbaya zaidi amezituma muda mfupi tu baada ya kumtumia vocha,
Kinachouma sana ni kwamba kazituma akiwa ndani ya gari anakuja kwangu baada ya kumtumia nauli (nilidhani atakuwa ananifikiria Mimi kumbe sivyo mbwa huyu).,
Inasikitisha amemshawishi jamaa ikiwezekana abadilishe dini hata kwa kuzuga...
Unakuta thead ina kichwa cha habari kinachokuvutia uisome,ila ukitaka kuifungua unakutana na "You do not have permission to view this page or perform this action",what the hell?.
Leo katika pita pita zangu , nilienda msalimia Dada mmoja age 38 ana mtoto wake wa kike umri 14 yupo secondary.
Huyu Dada ana shida ya macho kwahiyo maandishi ya kwenye simu hawezi kuyasoma hivyo huwa anamtumia mtoto wake kumuangalizia mambo mawili matatu.
Sasa iliingia Meseji akanipa nimsomee...
Aisee hii nchi sijui inaongozwa Kwa akili Gani yaani nimepiga simu nikaambiwa kitambulisho cha nida kimetoka ila mijitu haijatuma sms tunaenda kufuata vitambulisho vyetu tunaambiwa mpaka sms wakati Mimi ndio muhusika wa hicho kitambulisho na sura yangu inaonekana sio kwamba sionekani sura na...
Ukituma meseji yenye neno sex haiendi. Hii maana yake nini?
Kwamba ndio mnalinda maadili ama nini?
So mnataka tuwe tunaandika meseji kama watoto wa elfu2 sex tuandike sx au xex.
Acheni utoto nyie
Hivi karibuni watumishi katika idara mbalimbali wamekuwa wakipokea meseji kutoka NMB Benki zikiwataka kukopa hadi milioni 200 huku Benki ikijua kuwa watumishi hao hawakopesheki kutokana na mikopo walaiyo nayo.
NMB acheni kuwahadaa watumishi.
Nduguzangu wasalaamu, kuna namba ipo UK, inaanzia na +44, haipo Whatsapp wala telegram wala wapi, nalazimika kutuma meseji kwa normal text tu, naombeni mnisaidie ni kifurushi kipi kutoka laini yangu ya Airtel hapa Tanzania, kitaweza kufanikisha hilo, au ni muda wa maongezi wa kawaida? Au...
Wakuu ni muda Sasa nimekuwa nikimtumia mtu maarufu Instagram mweye followers zaidi ya 1M lakini meseji hazifiki!
Hivi ni kwanini? Nifanye vipi aweze kuona text zangu?
Naomba kuwasilisha
Asubuhi yote hii unamka umwache mtoto wa mtu mpweke amejikunyata kwa baridi hii unaenda wapi. Hali ya hewa ilivyo tamu kwa...
Hebu endelea kupata kumbato bana au huna uhakika ndio maana unataka ufanye usafi🙌🏿😀
Hebu rudi kulala, mkumbatie na kuengemee💕
BARUA KWA KIZURI CHANGU MTARAJIWA
Awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa hakika ya maisha na afya hii niliyonayo. Niko mahala napambana ili kuhakikisha mimi nasimama kama mume wako na baba pia
Kuzaliwa kwangu kulikuwa ni furaha ila kadri nilivyozidi kukua ndipo nikaanza kupevuka MWILI sasa...