meno

Meno (; Greek: Μένων, Ménōn) is a Socratic dialogue by Plato. Meno begins the dialogue by asking Socrates whether virtue is teachable. In order to determine whether virtue is teachable or not, Socrates tells Meno that they first need to determine what virtue is. When the characters speak of virtue, or rather arete, they refer to virtue in general, rather than particular virtues, such as justice or temperance. The first part of the work showcases Socratic dialectical style; Meno, unable to adequately define virtue, is reduced to confusion or aporia. Socrates suggests that they seek an adequate definition for virtue together. In response, Meno suggests that it is impossible to seek what one does not know, because one will be unable to determine whether one has found it.Socrates challenges Meno's argument, often called "Meno's Paradox" or the "Learner's Paradox," by introducing the theory of knowledge as recollection (anamnesis). As presented in the dialogue, the theory proposes that souls are immortal and know all things in a disembodied state; learning in the embodied is actually a process of recollecting that which the soul knew before it came into a body. Socrates demonstrates recollection in action by posing a mathematical puzzle to one of Meno's slaves. Subsequently, Socrates and Meno return to the question of whether virtue is teachable, employing the method of hypothesis. Near the end of the dialogue, Meno poses another famous puzzle, called "The Meno Problem" or "The Value Problem for Knowledge," which questions why knowledge is valued more highly than true belief. In response, Socrates provides a famous and somewhat enigmatic distinction between knowledge and true belief.

View More On Wikipedia.org
  1. Hizi teams ambazo tumegoma kuzipa Ufadhili msimu huu zikicheza nasi zinauma sana meno

    Tumeona... Kuna huo ujinga kuwa kwa sababu hatujazidhamini basi zinakomaa zinapocheza na Yanga. Ili sasa kuvutia GSM iweke dau. Huo ni ujinga mbwah nyie. Yanga bado ni team bora Afrika kwa sasa. Na ina uwezo mkubwa sana. Tupo nayo na tunatamba nayo. Msimu huu pia tunachukua Kombe. Mtake msitake...
  2. Rais Samia amzawadia Gari Mama Kanumba

    Katika kilele cha Siku ya Wanawake Duniani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemzawadia mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba gari jipya aina ya Harrier New Model. Hatua hii imekuja kama ishara ya kuthamini mchango mkubwa wa marehemu Kanumba katika kukuza...
  3. O

    China: Paper tiger (Mbwa asiye na meno) kaufyata wakati mwenzake anachezea kipigo.

    Paper tiger (Mbwa asiye na meno) kaufyata wakati mwenzake anachezea kipigo. China linapokuja suala la operesheni za kijeshi ni mchumba tu. Wairani walimuomba Trump awasaidie, naye akawaitikia. Xi na China yake yeye siku zote msimamo wake si kwa wananchi wa nchi husika, bali anasimama na...
  4. O

    Inapokuja kwenye operesheni za kijeshi, China ni "Paper Tiger" (Mbwa asiye na meno)

    Mara ya mwisho kwa PRC kupigana vita ilikuwa mwaka 1979, na ulikuwa ni mgogoro mdogo sana kule Vietnam. China imekuwa ikijificha nyuma ya kivuli cha soft power na propaganda, lakini inapokuja kwenye operesheni za kisasa za kijeshi, kwa bahati mbaya ni "Paper Tiger" (mbwa asiye na meno). Licha ya...
  5. Z

    Viongozi fisi! Walitangaza kuuza Meno ya Tembo na pembe za Faru. Sasa wametangaza kuuza dhahabu

    Pale Mpingo House walitunza meno ya tembo na pembe za faru. Ghafla wakatamani pesa, wakatangaza kuuza. Bahati nzuri kwa TZ, Kenya walivuruga mpango huo, wakashindwa. Sasa wamekuja na jipya. Wanatangaza kuuza dhahabu. Yaonekana wanaojiita ni viongozi ni kama fisi vile, hata akichomwa mkuki...
  6. Bunge lisilo na meno na hatari ya kuuza akiba ya dhahabu

    1/ Baada ya uchaguzi wa Oktoba 29 uliogubikwa na damu, hofu na tuhuma nzito za kukosa haki, Tanzania imejikuta ikipoteza imani ya mataifa na mashirika mengi ya kimataifa. Matokeo yake? Misaada na ushirikiano wa kifedha kusimamishwa au kupunguzwa. 2/ Badala ya serikali kuwa wazi kwa wananchi...
  7. Je unachangamoto meno yako kuoza au Kutoboka na hujui Wapi Utapata Suluhisho!? .

    Meno yaliyooza au kuvunjika yanaweza pata tiba ya kuziba ( kujaza dawa/ kofia jino ) ili kuondoa harufu mbaya kinywani, Maumivu, uvimbe ili kukuwezesha kutafuna chakula vizuri , kuondokana na maumivu , pia uweze kuwa na afya bora ya kinywa na meno Baadhi Ya kazi Za Kuziba meno na kofia...
  8. Poleni wanaCCM mnaolia na kusaga meno

    Naona kila kona Tanzania mnalalamika kukatwa watu wenu mliowapogia kura na kuwataka wawe wawakikishi wenu Huu ni utaratibu mbovu na usiofaa maana ....
  9. Ukweli Mchungu: Sasa kila Mwananchi ajipambanie kivyake

    Uzi huu utajieleza kwa picha
  10. Nimeota nimetoka meno mawili

    Jino moja la mbele na moja la pembeni yametoka tu yenyewe japo yalionekana kama yamelegea ghafla na kutoka Je inamaana gani.
  11. Tetesi: Asante Rais Trump mapendekezo yaliyotolewa na Marekani Kwa Tanzania ni Kilio na kusaga meno kwa CCM

    Watu wanakichukulia poa chama Cha republican kwenye kusimamia haki uku ulimwengu wa tatu ila, Republican administration wako vizuri sana . Nimepata habari kutoka State department kuwa Marekani walitoa maazimio kadhaa Kwa Tanzania kabla strong measures kuchukuliwa. Maazimio yalikuwa. -Vyama...
  12. Kanuni mpya za kupata mgombea wa ubunge CCM ni kilio na kusaga meno kwa mawaziri na wabunge waliokaa bungeni muda mrefu

    Kipindi cha nyuma kumpata mgombea ubunge wa Jimbo kupitia CCM ilikuwa inahusisha wajumbe wachache, hii ilitoa mwanya Kwa wenye Hela, mawaziri na wabunge wazoefu kuhonga wajumbe. Kanuni mpya za CCM wajumbe wa kupiga kura za kumpata mgombea wa ubunge wa CCM idadi Yao imeongezwa,unakuta jimbo Moja...
  13. Kama chadema wameanza kutoa maelekezo wanachama watoke mbali kuhudhuria mikutano yao, kwa kweli CHAUMA kina meno, kimewauma mpaka kwenye mfupa

    Chaumma kimekamata siasa za nchi. Taarifa niliyopata ni kwamba chama kimeagiza viongozi wake waitishe wana chama kutoka maeneo ya mbali na hata wilaya jirani wahudhurie mikutano yao. Lengo ionekane imejaa. Chauma wanawauma kwa meno makali, wanawajua kwa mbinu zao na wanawapigia hapohapo. Kuna...
  14. Kumekucha.....na najua sasa hivi Mwamposa na Mwacha huko waliko meno yote Kicheko tu kama Ngiri, kwani Masalia ya Gwajima yatahamia Kwao

    Serikali imetangaza kulifutia usajili Kanisa la Ufufuo na Uzima, linalomilikiwa na Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, ikiwa ni siku moja tangu kiongozi huyo wa kiroho atangaze msimamo wake wa kuendelea kukemea vitendo vya utekaji na watu kupotea. Chanzo: mwananchi_official Gwajima kama...
  15. Tembo hazikwi na meno yake: wanachadema wanaojiunga CCM mnakaribishwa kwa mikono miwili

    Kwa kuwa chadema inakufa, haimaanishi hata watu wazuri waliokuwa huko wafe nayo. Tunawakaribisha CCM muendelee kujenga nchi. Tembo akifa, meno yake yanatolewa, yeye anaachwa aendelee kuoza. Meno ya tembo ni mali
  16. Ukipoteza Meno huna Ulazima wa Kubaki na Mapengo Kuna Suluhisho la Kudumu

    Iwapo Umepoteza Meno halisi unaweza pata huduma ya meno bandia ya kudumu kutoka offisini kwetu Faida za Meno bandia .Kulinda meno mengine yasiharibike .Kulinda Mfupa Wa Taya usipotee . utatafuna Chakula Vizuri . Muonekano Mpya Na Kujiamini .Uimara /Ubora wa Meno utaongezeka Tunapatikana...
  17. Tunataka Rais na Tanzania ya kufunga mkanda na kuuma meno

    Ukweli tunaujua, tumechelewa sana, tulizubaa sana, tuliibiwa, tulidanganywa sana na tuliporwa sana. Sasa hivi tunataka kiongozi wa matokeo ya leoleo bila kungojea tena. Tunataka Rais ambae atatuambia ukweli na anaefahamu kuwa tuliibiwa sana, tumechelewa sana na tulizembea sana. Tunataka Rais...
  18. Tatizo la meno

    Wakuu naombeni msaada wa namba ya kutibu hali hii.
  19. Fun Fact: Unajua kuwa firigisi ni meno ya ndege?

    Ndege hawana meno ya kusagia chakula kama binadamu. Hivyo tumboni mwao wanafirigisi inayofanya kazi kama meno. Firigisi ina misuli yenye nguvu ambayo ikijikunjakunja, pamoja na mawe yaliyomo ndani yake, mawe yale husaga chakula kama vile mbegu ngumu. Kwa watu wa machimbo, firigisi ni kama...
  20. Miaka ya 1990s timu yetu ilikuwa na golikipa muathirika wa Ukimwi,timu pinzani waliogopa kumsogelea wakawa wanapiga mashuti ya mbali ili asiwaume meno

    Leo nimekumbuka kisa cha timu yetu miaka ya 1990,kipindi hicho ukimwi ni ugonjwa hatari kweli kweli ,hakuna cha ARV wala nini. Tulikuwa na golikipa muathirika na yeye alijijua kuwa ameathirika ikitokea umemsogelea anatishia kukuuma na meno. IKipigwa kona wachezaji wa timu pinzani wanakaa mbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…