Full text:
Ticha Mashamba: Sawa, Leo tuna sayansi na teknolojia kubwa sana tofauti na zama zako.
Yesu: Na bado Kuna vita, njaa, hofu, Mashaka, upweke, magonjwa na matatizo chungu nzima.
Ticha Mashamba: Kwa hiyo maendeleo hayajatatua Kila kitu?
Yesu: Maendeleo yametatua mengi, lakini...