medali

The Order of the Lithuanian Grand Duke Gediminas is the Lithuanian Presidential Award which was re-instituted to honour the citizens of Lithuania for outstanding performance in civil and public offices. Foreign nationals may also be awarded this Order. The Order of the Lithuanian Grand Duke Gediminas was instituted in 1928. It features the Columns of Gediminas, one of the national symbols of Lithuania.

View More On Wikipedia.org
  1. Melubo Letema

    Magdalena Shauri Ashinda Medali ya Dhahabu, Shanghai, China

    Mwanariadha wa Kimataifa Magdalena Crispin Shauri Ashinda Mbio za SPD BANK Half Marathon kwa kilomita 21 kwa Muda wa saa moja na dakika Tisa na sekunde hamsini na saba (1:09:57) zilizofanyika tarehe 21/04/2024 Huko Shanghai, China. Na Kujinyakulia zaidi ya Dollar Elfu Mbili na Dili mbalimbali za...
  2. Suley2019

    Wavuliwa Medali kwa kumuachia Mchina ashinde riadha

    Mshindi wa kwanza hadi wa nne wa Beijing Half Marathon wamepokonywa medali zao baada ya uchunguzi kuthibitisha kuwa wakimbiaji watatu toka Afrika walikula njama na kumwacha raia wa China, He Jie awe mshindi wa kwanza. Katika video wanaonekana wakimbiaji hao kutoka Kenya na Ethiopia wakimpisha...
  3. Melubo Letema

    Mwanariadha Alphonce Simbu awasili nchini na Medali ya Shaba kutoka Korea Kusini

    Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania toka (JWTZ) Sgt. Alphonce Felix Simbu awasili Tanzania Kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) na kupokelewa na Viongozi wa Michezo na Makocha kutoka Jeshi la ulinzi la wananchi la Tanzania (JWTZ) baada ya kushinda kwa kushika Nafasi ya Tatu...
  4. Melubo Letema

    Mwanariadha Alphonce Felix Simbu Ashinda Medali ya Shaba, Daegu Marathon Korea Kusini

    Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Felix Simbu ashinda medali ya Shaba kwa kushika nafasi ya Tatu , kwa muda wa (2:07:55) kwenye Mashindano ya DAEGU MARATHON yaliyofanyika usiku wa leo 7/04/2024 huko Korea Kusini. Mshindi alikuwa Stephen Kiprop ; 2:07:04 na pili alikuwa Kennedy...
  5. John Gregory

    Timu ambayo haijawahi kufika fainali mashindano yoyote makubwa kujilinganisha na timu yenye medali za CAF

    Huwa inashangaza sana kuona baadhi ya vilabu vya ukanda wa Afrika Mashariki kama FC Leopards, Azam, Gor mahia sijui Simba, APR n.k kuthubutu kujilinganisha na Yanga ambayo imepiga hatua kubwa sana katika bara la Afrika kiujumla kwa kutwaa medali na tuzo za kumwaga! Walau Yanga unaweza kuiweka...
  6. Melubo Letema

    Serikali yampokea Mwanariadha Magdalena Shauri baada ya kushinda Medali ya Shaba

    Mapokezi Makubwa ya Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Magdalena Chrispin Shauri (alie vaa bendera ya 🇹🇿) Jijini Arusha, katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Arusha, na Kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongela , Charles Maguzu kutoka BMT na Kiongozi wake Jeshini (JWTZ) Arusha. mara...
  7. BARD AI

    Tanzania yaichapa Libya 9-3, Yatwaa Medali za Shaba (Bronze) kwenye Michuano ya Soka la Ufukweni

    Timu ya Tanzania ya Beach Soccer imepata Medali ya Bronze baada ya kufanikiwa kuwachapa Libya Magoli 9-3. Morocco imetwaa Ubingwa baada ya kutoka Sare ya 3-3 dhidi ya Senegal, mchezo ulioishia kwenye Matuta ambapo Morocco imeibuka na ushindi wa Magoli 4-3. Mgawanyo wa Zawadi umekuwa kama...
  8. Mr Q

    Mabadiliko ya Sheria ya Usalama wa Taifa hatuyajadili tena. Sasa ni Feitoto, Yanga na Medali

    Nchi ambayo raia wake wanasombwa na matukio kila yanapo ibuka ni rahisi sana kuiongoza. Leo hii raia wamesahau muswada unaolenga kuleta mabadiliko kwenye aheria ya masuala ya USALAMA WA TAIFA. Kila mtu sasa ni; Yanga Medali za wachezaji Fainali Tukio la kuitwa Ikulu Mabishano yasiyo na tija...
  9. Expensive life

    Hatimaye Mabingwa wa medali CAFCC Yanga SC wamerejea nchini

    Baada ya kumchapa mwarabu nyumbani kwake hapo jana Yanga SC na kufanikiwa kutwaa ubingwa wa medali hatimaye wamerejea nchi na ubingwa wao.
  10. Mangi shangali

    Kumcheka mtu mwenye medali ya CAF wewe hata huna ya mapinduzi ni kisokorokwinyo

    Kama unaona kuchukua ubingwa wa CAF mwepesi,shiriki wewe ufike final..sio una ishia robo final tu. Unatuletea medali za chuma za 93 ..watu tuma medali mpya za jana. Unatuletea roho mbaya sisi nani aliyekuambia ushabikie kolo fc nanii. Acha roho mbaya wewe pushy.. Fika final usituretee roho...
  11. GENTAMYCINE

    Je, ni kweli kuwa CAF katika Kombe la CAFCC huwa hawatoi Medali kwa Mshindi wa Pili?

    Kama Jibu ni ndiyo basi kuna Watu Medali pekee watakazorudi nazo nchini Tanzania ni Tiketi zao tu za Ndege ya Msaada waliyopewa na Kuipanda. Kudadadeki....!!
  12. GENTAMYCINE

    Mashabiki Mazuzu Yanga SC: Hata kama hatutakuwa Mabingwa wa CAFCC, ila bado Medali tutavaa

    Kwahiyo kumbe muda Wote mlioshiriki Mechi zenu za CAFCC Lengo lenu Kuu ( Mama ) lilikuwa siyo kuwa Mabingwa bali kuwa Washindi wa Pili na mvae Medali za Fedha badala ya zile za Dhahabu za Mabingwa? GENTAMYCINE muda Wote nilikuwa simwelewi aliyekuwa Msemaji wa Simba SC ( sasa ni Mhamasishaji...
  13. M

    Nazi nzima ni Agharabu ya Mbovu. Waliocheza Fainali ya Afrika wanachekwa na waliokosa kila Medali kwa Misimu 2 mfululizo

    Ni ajabu na kweli ya kwamba kuna mashabiki, viongozi na wanachama wa klabu moja hapa nchini wamefanya sherehe ya kufurahia baada ya Yanga kupoteza mchezo wa mkondo wa kwanza wa fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya USMA Alger ya Algeria. Watu hao ambao chuki na wivu wa maendeleo...
  14. msela wa mbagala

    Tetesi: Fainali waliyofika makolo ya kombe la Comred Abiola hawakutoa medali za mshindi wa pili

    Mwenye ufafanuzi wa hili jambo atupe elimu kidogo. Inawezekanaje mshindi wa pili wa kombe akakosa medali??
  15. Kilimbatzz

    Kombe la Robo fainali, hivi huwa lina medali?

    Kuna timu tangu maisha ya soka yaanze hapa bongo wameishia kugota hatua ya Robo Fainali. Asikuambie mtu! Hakuna kitu wanalingia kama hiyo hatua year in year out. Ningependa Leo nionyeshwe medali au silverware inavyopewa timu baada ya kutinga hatua hiyo?
  16. Mohamed Said

    Dossa Aziz Aliposahauliwa Kupewa Medali 1985

    DOSSA AZIZ ALIPOSAHAULIWA KUPEWA MEDALI 1985 Tarehe 27 Aprili, 1985 Julius Kambarage Nyerere, sasa akijulikana kama Baba wa Taifa, katika sherehe kubwa katika viwanja vya Ikulu, alitoa jumla ya medali 3979 kwa Watanzania waliochangia katika maendeleo ya taifa. Kati ya wale ambao walipewa...
  17. DELETED ACCOUNT

    Musonda atunukiwa medali na mtoto wa miaka 8

    Mchezaji wa Yanga Kennedy Musonda leo ametunukiwa medali aliyopewa na mtoto wa kutoka huko Spain aitwaye Lucas Gomez. Medali hiyo ilikabidhiwa kwa Musonda na Balozi wa Spain kwa niaba ya mtoto huyo. Musonda alipata zawadi hiyo kutokana na kuwa man of the match wakati akichezea club yake ya...
  18. J

    India yawapa Medali mashujaa wa Madola

    INDIA YAWAPA MEDALI MASHUJAA WA MADOLA Na John Mapepele Serikali ya India imewapongeza mashujaa wa Tanzania waliorejea na medali kutoka kwenye mashindano ya Jumuiya ya Madola yaliyomalizika hivi karibuni nchini Uingereza. Zawadi na Medali hizo zimetolewa na Ubalozi wa India kwa wachezaji...
  19. Melubo Letema

    Tanzania tumeambulia Medali 3 Jumuiya ya Madola Uingereza

    Baada ya Medali ya Kwanza ya Fedha kutoka Kwa Mwanariadha Alphonce Felix Simbu aliyoipata kwenye Mbio Ndefu Marathon Tarehe 30/07/2022, Leo Jioni Tanzania imehitimisha ngwe ya ndondi kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwa kupata medali mbili za shaba baada ya bondia wake wa pili Kassim...
  20. JanguKamaJangu

    Jumuiya ya Madola 2022: Tanzania yajihakikishia medali, Bondia aingia nusu fainali

    Bondia Yusuf Changalawe amemtoa kwa TKO, Arthur Lingelier kutoka Visiwa vya St Lucia na kutinga Nusu Fainali katika michezo ya Jumuiya ya Madola Jijini Birmingham Nchini Uingereza. Kutokana na matokeo hayo, Tanzania imepata uhakika wa medali katika michezo hiyo. Kabla ya hapo, Changalawe...
Back
Top Bottom