The Order of the Lithuanian Grand Duke Gediminas is the Lithuanian Presidential Award which was re-instituted to honour the citizens of Lithuania for outstanding performance in civil and public offices. Foreign nationals may also be awarded this Order. The Order of the Lithuanian Grand Duke Gediminas was instituted in 1928. It features the Columns of Gediminas, one of the national symbols of Lithuania.
Ikiwa ni mara ya pili mfululizo, mwanariadha wa Tanzania Gabriel Geay, leo tena kashika nafasi ya kwanza kwenye mbio za Marathon (42km) za Daegu, Korea kusini. Katumia muda wa masaa 2:08:08. Huu ni ushindi mkubwa kwa kijana huyu na Tanzania kwa ujumla. Cha kufurahisha ni kuwa kijana atawekewa...
Mtanzania Alphonce Felix Simbu ameshika nafasi ya kwanza na kushinda Medali ya Dhahabu katika mbio za Marathoni Kilometa 42.195 upande wa Wanaume katika mashindano ya Dunia ya World Athletics Championships 2025 akimshinda Mjerumani Amanal Petros.
Simbu ametumia Saa 2:09:48 akipishana na Petros...
BANA WEWEE USITUKANE MAMBA UJAVUKA MTU
MSIKILIZEE MWAMBA ANAVYOSEMA
YANGA WALIVAA SHANGA
MEDALI BILA KOMBE KAMA SHANGA TUU
WAO WANALETA KOMBEEE
WAMEISSHIAA
KUJA NA SHANGA ZILE ZILE LOH
Alphonce Felix Simbu ni mwanariadha wa kimataifa kutoka Tanzania, amechukua medali ya fedha kwa kushika nafasi ya pili kwa muda wa saa mbili, dakika tano na sekunde nne ( 2:05:04) kwenye mashindano makubwa ya Boston Marathon huko Marekani Leo, huku nafasi ya kwanza akichukua mkenya John Korir...
Naaam! Medali ya fainali waliyoipata Yanga SC Baada ya Kucheza fainali kwenye michuano ya kimataifa (SHIRIKISHO) ni mzimu unaowatafuna Simba SC kwa kuwatia Hamasa, nguvu morali ya Kupambana ili kurejesha amani ya Mashabiki Wao Wenye ugwadu na uchu Wa kuona timu Yao imefika ama kuvuka hatua...
Mwanariadha wa kimaraifa Magdalena Crispin Shauri ameshinda medali ya DHAHABU 🥇 kwenye mbio za Shenzhen Marathon 2024 kwa muda wa saa mbili, dakika ishirini na tisa na sekunde thelathini (2:29:30) huko China leo 01/12/2024.
Magdalena ni mwanariadha kutoka jeshi la JWTZ na ni wiki moja tu...
Katika medani ya kimichezo Tanzania, historia ya kuletwa medali ya kwanza katika mshindano ya kimataifa ilitekelezwa na mwanamama Theresia Dismas
Watanzania hatukumjua na hata tukatabiri kwamba mama yetu Theresia Dismas hayupo duniani kama nilivyowahi kuandika katika blog hii.
Ukweli ni...
Mashindano ya Olympics yana michezo mingi sana na mingine ni nadra sana kwa mwanamichezo kutengeneza kipato nje ya mashindano yale. Umewahi kujiuliza wanamichezo wanaoshiriki michezo ya Olympics wanafaidikaje ukiacha nafasi ya kushinda medali?
Ngoja nikuwekee mkeka wa mifano ya nchi kadhaa...
Wakuu tuendelee kuvuta subra huku tukiwaomba jamaa waanzishe Vipengele tajwa hapo Juu!
Kama hawatoanzisha hivyo Vipengele na kama Taifa tutaendelea kujipa matumaini "Eti" ipo siku yetu,Hiyo siku tutaisubiria sana na haitotokea!
Nina Jeuri ya kusema hivyo kwasababu,kadiri miaka inavyozidi...
FAHAMU THAMANI YA MEDALI ZA MICHEZO YA OLYMPICS 2024
1. Medali ya Dhahabu
Thamani: Tshs. Mil 2.56
Uzito: Gramu 529
2. Medali ya Chuma
Thamani: Tshs. Mil 1.3
Uzito: Gramu 525
3.Medali ya Shaba
Thamani: Tshs. 35,077
Uzito: Gramu 455
=====For English Audience======
The Olympics gold medal...
Ikiwa Mashindano ya Olympics yamemalizika leo Agosti 11, 2024 Wawakilishi wa Tanzania katika Mashindano ya Olympics nchini Ufaransa watarejea nchini bila ushindi wa Medali yoyote
Tanzania ilipeleka timu ya Wanariadha 7 kwenye Mashindano hayo
Aidha mara ya mwisho Tanzania kupta Medali ya fedha...
Michezo ya Olympic inaendelea,Washindi katika kila michezo wanazidi patikana...
Angalia orodha ya nchi za Afrika zilizopata medali mpaka....
Kenya - Medali 6,Riadha
Afrika Kusini - 5,Kuogelea+Mbio fupi+Rugby+Baiskeli
Uganda - 2,Riadha
Algeria- 2,Ndondi + Gymnastics
Morocco- 2 , Mpira + kuruka...
Kama sio Alphonce Simbu ni Gabriel Geay ambao kesho Agosti 10 watakuwa katikati ya miamba ya dunia ya mbio ndefu kusaka medali ya Olimpiki msimu huu.
Nyota hao wa mbio ndefu nchini ndiyo tegemeo kubwa la medali kwa timu ya Tanzania ambayo kesho Jumamosi itakuwa barabarani ikichuana na magwiji...
Letsile Tebogo (21) kutoka Botswana amekuwa Mwafrika wa kwanza kushinda medali ya dhahabu mbio za mita 200 kwa wanaume kwenye Michezo ya Olimpiki Agosti 8, 2024.
Amefanikiwa kuvunja rekodi ya Kenny Bednarek na Noah Tyles na kutajwa kama “Mwanaume mwenye kasi zaidi duniani”
Alifanikiwa kushinda...
Mwanamieleka wa Cuba, Mijaín López Núñez, amekuwa mwanariadha wa kwanza kushinda medali tano za dhahabu mfululizo katika Michezo ya Olimpiki.
Baada ya kushinda kwa pointi 6-0 katika mieleka ya Greco-Roman huko Paris, aliondoa viatu vyake uwanjani kuashiria kustaafu kwake kutoka kwenye mchezo...
Nikiri katika màisha yangu Tangu nimeanza kushabikia soka hili ni tukio la Kwanza kwangu mchezaji kususia makusudi kuvalishwa medali bila sababu ya msingi.
Huwa nawaona Wachezaji majeruhi nao wanajitahidi kuwepo hata kama timu imeshindwa kuchukua Kombe. Hata Jana nimemuona mchezaji mmoja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.