mechi

Mechi (Nepali: मेची अञ्चल Listen was one of the fourteen zones of Nepal until the restructuring of zones to provinces, comprising four districts; namely Ilam, Jhapa, Panchthar and Taplejung. Its headquarters are at Ilam. It comes under the Eastern Development Region of Nepal. The Indian state of Bihar is to the south, West Bengal and Sikkim in the east and Tibet to the north. The largest town is Damak in the Terai. The majority of the population in Mechi are Limbu, Chettri, Bharmin, or Meche.
Mechi is divided into four districts:

Among the four districts, Jhapa is in the Terai and it is more developed than the other three districts. Ilam and Panchthar are in the hilly region. Ilam is also in a developing stage, with many tourists visiting annually. Kanyam is popular for its tea garden. At Antu the rising sun can be viewed. Taplejung is the least developed of the four districts. Taplejung is in the mountainous zone.There are two airports within Mechi: one in Bhadrapur and one in Taplejung.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu mechi ya Simba na Yanga 29.04.2022

    Hello soka lovers JF Defence: Mafulbeki kwenye crosses &covering speed, na macho kwenye pasi mpenyezo kwa mabeki wa kati, na aerial duels kwenye through balls Midfield: Macho, kukaa kwenye nafasi, kuona hatari, physicality, upotezaji mpira na uhamishaji mpira na uchezeshaji wao, macho mepesi...
  2. JamiiForums Tanzania Hali Ya Usalama Kuelekea Mechi Ya Klabu Ya Simba Vs Yanga

    Jumamosi ya tarehe 30 Aprili 2022 kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa kutakuwa na mpambano wa soka wa watani wa jadi baina ya klabu ya Simba na Yanga za Dar es salaam utakaochezwa saa 11 :00 jioni. Katika kuelekea mchezo huo, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam litahakikisha usalama...
  3. JamiiForums Tanzania Mwamuzi Ramadhani Kayoko kuwa 'Pilato' mechi ya Yanga vs Simba

    SIKU chache baada ya Mwanaspoti kufichua juu ya waamuzi waliokuwa wakipewa nafasi kubwa ya kuchezesha mchezo wa Kariakoo Derby utakaofanyika April 30, 2022 katika dimba la Benjamin Mkapa saa 11 jioni, huku kikao kizito kikifanyika, ukweli umebainika kwamba mwamuzi Ramadhan Kayoko amepewa kazi...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini mpaka leo mwamuzi wa mechi ya Yanga Vs Simba hajatangazwa?

    Yaani bado masaa 48 lakini mpaka sasa mwamuzi bado hajatangazwa! TFF amkeni acheni kuongoza soka kizamani. Tunaomba alhamisi mumtaje mwamuzi ili tumjue
  5. Y

    JamiiForums Tanzania MECHI ya kufa mtu MANCHESTER CITY vs REAL MADRID nani anaenda fainali

    Ligi ya mabingwa ulaya inaendelea usiku hatimaye imefikia hatua nusu fainali , usiku huu kuna mtanange wa kufa mtu ukikutanisha miamba kati ya real manchester city vs real madrid ni mechi kali yenye mvuto wa kipekee itakuwa mechi ya kimbinu zaidi . Mtazamo wangu...
  6. JamiiForums Tanzania Kama unapenda timu usiyoipenda isishinde mechi fanya hivi...

    Kwanza kabsa kila mtu ajue KIFO ni KIFO tu haijalishi umekufaje.Mimi sinywi pombe,siyo malaya,kiufupi raha zangu zote nazipata kwa kucheza na kutazama Soka. Huwa napata raha ya ajabu sana timu kama SIMBA SC pamoja na MAN U either zikifungwa ama zikipatwa na kitu chochote kibaya.Nafarijika zaidi...
  7. JamiiForums Tanzania Mwamuzi wa mechi ya Yanga na Geita Gold apelekwa kwenye kamati ya waamuzi ya TTF kwa ajili ya kuchukuliwa hatua

    Hizi kanuni zibadilishwe maana hazitendi haki. Mwamuzi anachukuliwa hatua lakini matokeo yanabaki yaleyale. Kuleta haki ni bora kanuni zibatilishe matokeo kutenda haki kwa upande ulioumizwa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Simba ni moja ya timu mbili tu kati ya timu NANE (8), zilizofanikiwa kushinda mechi ya kwanza ya robofainal confederation cup.

    Wale wanaobeza ushindi wa goli moja wa Simba dhidi ya Orlando Pirates ya Afrika ya kusini, ni vizuri wakafahamu kuwa: 2. Kati ya timu NANE zilizoingia robo fainali ni timu MBILI tu zilizoibuka na ushindi kwenye mechi ya kwanza ya robo fainali, timu hizo ni SIMBA na Al Masry. Al Masry iliifunga...
  9. JamiiForums Tanzania Natabiri yatakayotokea kwenye mechi ya leo Kati ya simba na orlando pirates

    Mohammed hussein atang'ara sana Pia atahusika kwenye bao lao kwanza la Simba. Lwanga atapewa kadi mbili za njano Kapombe au sakho mmoja atapata injury Kennedy juma atachomesha goli 1 Mugalu atakosa magoli mengi ya wazi huku mechi ikiisha Simba 1 : 1 Orlando pirates
  10. JamiiForums Tanzania Kuelekea mechi ya kesho dhidi ya Simba Orlando pirates wamepata advantage kubwa ya match fitness kutoka kwa Mamelodi Sundowns.

    Save water drink beer. 🥃🥃 Pasaka njema mimi nimeshaanza kuzitwanga.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Siombei lakini natarajia vimbwanga siku ya mechi ya Simba Jumapili

    Naam nawaza utaratibu gani utatumika kuhakikisha kila aliyeingia uwanjani kwa ajili ya mashindano ya quran aweze kutoka kupisha waliolipia viingilio vya mechi baada ya mashindano hayo kuisha. Kumbuka mashindano hayo ya quran kiingilio ni buure kabisa. Lakini bado nawaza, kweli nchi nzima yenye...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mechi ya Yanga SC na Namungo FC imelazimishwa ili Kocha Nabi atumikie Red Card yake na Mechi ya Derby awepo Benchini?

    TFF tambueni kuwa wakati nyie mkijifanya kuwa mna Akili tambueni kuwa kuna Watanzania wenye Akili kuwazidi halafu ni Wajanja kuliko nyie. Kwahiyo Matajiri wa Yanga SC wamewashawishi kwa kila namna huku wakiwapa chochote kitu ili muwapangie Mechi kabla ya kukutana na Simba SC ili Kocha wao Mkuu...
  13. JamiiForums Tanzania George Job: Simba haiwezi mechi za mtoano

    Mchambuzi wa michezo kutoka Wasafi Fm, George Job amesema klabu ya Simba bado haijajiandaa vema katika mechi za mtoano. Kikosi cha Simba ilkinaweza kupambana vizuri kwenye mechi za makundi ila linapokuja suala la mechi mbili za mtoano hapo ndipo ulipo mtihani kwa Simba SC. Kwa kauli hiyo ni...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje Kenya iliyosimamishwa na FIFA kujihusisha na shughuli za kimichezo imetoa muamuzi wa kisimamia mechi ya CAF CC ya Simba Vs Orlando Pirates?

    Habari wana jukwaa. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu, Mnamo tarehe 22/02/2022 shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) lilizipiga marufuku nchi za Kenya na Zimbabwe kujihusisha na shughuli zozote za soka kutokana na Serikali zao kuingilia mashirikisho ya soka ya nchi hiyo kitu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ismail Aden Rage, Yanga inaendelea kuzitafuna mechi zako

    Nafikiri ni muda muafaka wa kujitokeza tena kutaja mechi nyingine ambazo yanga atapoteana maana ulizotaja zote yanga kaokota point kibabe, ulianza na mtibwa, kmc,geita gold na azam vipi kuna nyingine🤣🤣🤣🤣
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini mechi CAF Klabu Bingwa Afrika zichezwe siku ya Pasaka?

    Yaan siku ambayo Wakristo wanaadhimisha mateso, kufa na kufufuka kwa Mwokozi wa ulimwengu Yesu Kristo, wenywe wameamuru zichzwe mechi kati ya tareh 15 - 17 mwezi huu. Hii ni dharau ya waziwazi kwa Wakristo. Simba isipofuzu Kateni rufaa.
  17. JamiiForums Tanzania Ningekuwa ndiyo Kocha Pablo kwa Mechi Muhimu ya Leo wala nisingepoteza muda badala yake 'ningejilipua' tu 'mazima' na Kikosi changu hiki...

    Kikosi cha Kuanza (cha Maangamizi) 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein Tshabalala 4. Henock Inonga 5. Joash Onyango 6. Jonas GENTAMYCINE Mkude 7. Pape Ousmane Sakho 8. Rally Bwalya 9. Kibu Denis 10. Meddie Kagere 11. Peter Banda Wa Akiba wawe hawa 1. Beno Kakolanya 2. Israeli...
  18. JamiiForums Tanzania VAR yaibiwa Nigeria baada ya mechi ya kufuzu World Cup 2022

    Imeripotiwa kuwa mashine maalum ya VAR (Video Assistant Referee) iliyokuwa imewekwa Abuja Nigeria kwa ajili ya kusaidia waamuzi wa mchezo wa play off wa kufuzu Kombe la Dunia 2022 kati ya wenyeji Nigeria dhidi ya Ghana imeibiwa uwanjani hapo. Mchezo huo ulimalizika kwa sare bao 1-1 ambapo faida...
  19. JamiiForums Tanzania Polisi watoa tamko kuelekea mechi ya Simba Vs USGN

    Kuelekea mchezo wa Simba dhidi ya USGN ya Niger, Jumapili Aprili 3 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, Jeshi la Polisi limesema liko tayari na limejipanga kwa ajili ya kulinda usalama siku hiyo ya mchezo huo ambao utaanza saa 4:00 Usiku. Mchezo huo wa Kundi D katika Kombe la...
  20. JamiiForums Tanzania FIFA yaamuru Mechi kati ya Senegal na Egypt irudiwe

    Shirikisho la soka duniani Fifa limeamuru mechi ya marudiano ya mchujo ya Kombe la Dunia kati ya Misri na Senegal. Haya yanajiri baada ya Chama cha Soka cha Misri (EFA) kuwasilisha rufaa iliyofanikiwa dhidi ya Senegal kikisema timu yake ya taifa ilifanyiwa ubaguzi wa rangi na vitisho ilipokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…