mechi

Mechi (Nepali: मेची अञ्चल Listen was one of the fourteen zones of Nepal until the restructuring of zones to provinces, comprising four districts; namely Ilam, Jhapa, Panchthar and Taplejung. Its headquarters are at Ilam. It comes under the Eastern Development Region of Nepal. The Indian state of Bihar is to the south, West Bengal and Sikkim in the east and Tibet to the north. The largest town is Damak in the Terai. The majority of the population in Mechi are Limbu, Chettri, Bharmin, or Meche.
Mechi is divided into four districts:

Among the four districts, Jhapa is in the Terai and it is more developed than the other three districts. Ilam and Panchthar are in the hilly region. Ilam is also in a developing stage, with many tourists visiting annually. Kanyam is popular for its tea garden. At Antu the rising sun can be viewed. Taplejung is the least developed of the four districts. Taplejung is in the mountainous zone.There are two airports within Mechi: one in Bhadrapur and one in Taplejung.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Weka utabiri wako hapa wa mechi ya marudiano wiki chache zijazo kati Raja Casablanca ya Morocco vs Simba ya Tanzania

    Karibuni wadau wote wa michezo kutabiri matokeo ya huu mchezo wa marudiano kati ya hizi timu mbili kubwa kabisa Barani Afrika; Raja Casablanca ya Morocco vs Simba ya Tanzania. Ikumbukwe timu zote mbili tayari zimeshafuzu hatua inayofuata ya robo fainali, Kombe la Klabu Bingwa Afrika. Na katika...
  2. JamiiForums Tanzania Nabi kumtumia Baka kwenye mechi kutaipunguzia gharama Yanga mwisho wa msimu

    Ile dhana ya hakuna mchezaji mkubwa kwenye timu ya Yanga inainufaisha Yanga leo na hata kesho. Kumchezesha mchezaji huyohuyo kwenye mechi zote timu inapopata matokeo mazuri na timu kupata matoke mabaya kama mchezaji huyo asipopangwa kunaingarimu timu fedha nyingi kumbakisha kikosini mchezaji...
  3. JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) akishinda mechi 9 Kati ya hizi 10 Ubingwa ni wako

    Leeds (home) Liverpool (away) West Ham (away) Southampton (home) Man City (away) Chelsea (home) Newcastle (away) Brighton (home) Nottingham Forest (away) Wolves (home) Hii ndio inaitwa its in their own Hands (Hata wakishindwa Six - Pointer na Man City)
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Taifa stars na The Cranes watacheza mechi yao Ismailia, Misri?

    Wachambuzi ashakumu si matusi, twambieni The cranes watakuwa nyumbani dhidi ya taifa stars,kwanini mechi imepelekwa Misri? Kuna shida gani Uganda?
  5. JamiiForums Tanzania Nikipata Matokeo ya Kufungwa kwa TP Mazembe na Real Bamako leo sitopoteza muda wangu Kutizama Mechi ya Yanga

    Naomba mwenye kujua Mechi ya Real Bamako FC na TP Mazembe FC ni Saa ngapi anitaarifu tafadhali. Nitakuwa na Mzuka wa Kuiangalia Mechi ya Yanga FC na Monastir pale tu nikisikia TP Mazembe FC ameshinda huko nchini Mali. Kwa wenye Akili tunajua kuwa endapo TP Mazembe itafungwa na Real Bamako FC...
  6. JamiiForums Tanzania Waliosema Chama ni mchezaji wa mechi ndogo mnakaribishwa hapa

    Heshima kwake mwamba wa Lusaka na wale wapinzani wake wanapitia kipindi kigumu sana. Hattrick kwenye ligi ya mabingwa wa Afrika.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mechi ngumu ni kesho, na Yanga akifuzu, basi hata nusu fainali anaweza kutinga

    Naamini mechi ya kesho itakuwa na ushindani mkubwa kutokana na ubora wa timu zote mbili na Yanga asipokuwa makini, anaweza hata kupoteza hiyo mechi. Hata hivyo, Yanga akishinda kesho dhidi ya Watunisia, basi atakuwa na uwezo wa kufika hata nusu fainali. Hilli kiundi linaweza kutoa bingwa kama...
  8. JamiiForums Tanzania Ili Simba na Yanga zitoboe ziache kuombeana mabaya mechi za kimataifa.

    Simba na Yanga wakizifunga timu za nje ya nchi furaha Yao isiwe kweñye madirisha ya nyumba za washabiki wa Simba au Yanga. Wafurahie bila kuitaja Yanga au Simba. Hii itaukata mnyororo wa timu hizi kuhujumiana kwenye mechi za kimataifa. Ili mpira wetu ukue lazima timu zetu zifanye vizuri...
  9. JamiiForums Tanzania Elimu kwa Ally Kamwe na Ahmed Ally juu ya hamasa viwanjani siku za mechi

    Inasemekana kuwa Shabiki ni mchezaji 12 wa timu wakati wa mechi, hivyo Ally Kamwe na Ahmed Ally wasemaji wa Yanga na Simba wanafanya kila jitihada ya kuwataka wanachama na mashabiki wa timu hizo washangilie mwanzo mwisho wa mechi zao muhimu. Hata hivyo sayansi ya akili na tabia ya mtu inamtaka...
  10. JamiiForums Tanzania Siasa ni mchezo mchafu, Milioni 5 tu zinafanya aongelewe kila mechi

    Wanasiasa ni watu wabaya sana, wakitaka kukufadhili kitu bora ukatae, ni fursa ya kuwatangaza kisiasa hiyo. Yaani mama akaona atazungumziwaje kwenye soka. Akajifanya ananunua kila goli, sasa imekuwa too much kwenye kila radio kila kiongozi, fedha za mama, fedha za mama!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Marefa wa bongo hovyo sana

    Refa amekataa goli halali kabisa la singida big stars dhidi ya coastal union. TFF fungieni hawa marefa wanaharibu sana ligi.
  12. JamiiForums Tanzania Yaani tumewahonga Mtibwa Sugar FC tushinde nyingi ili Mashabiki wajae Mechi na Horoya FC tupige Pesa?

    Hovyo kabisa mbona huu Mpira wa leo Wachezaji wetu hawakuucheza Mechi kama Nne zilizopita na tukawa tunashinda kwa Taabu huku Sisi Mashabiki wenu GENTAMYCINE nikiwepo tukiwa tunajituliza kwa Dawa za Maumivu za Panadol? Nitarudi hapa baadae Saa 4 Kamili na mengineyo.
  13. JamiiForums Tanzania Takwimu za mechi za Simba vs Vipers & Yanga vs AS Real Bamako

    Simba pasi 569 na zilizofika kwa usahihi ni 473, Vipers pasi 324 na zilizofika kwa usahihi ni 239, Yanga pasi 393 na zilizofika kwa usahihi ni 301, Bamako pasi 350 na zilizofika kwa usahihi ni 261. Pasi za Simba zilizofika kwa usahihi ni nyingi kuliko pasi zote zilizopigwa na timu nyingine...
  14. JamiiForums Tanzania Namba ya huyu refa anayechezesha mechi ya leo, yanga na prison

    Naiomba jamani, mwenyewe nayo anipe pm. Ahsante in advance
  15. JamiiForums Tanzania Habari njema kwetu Tanzania Prisons kuelekea mechi ya leo dhidi ya Yanga Sc

    Kuelekea mechi ya leo kati ya Yanga SC na Tanzania Prisons.. Msemaji wa Tanzania Prisons anena haya wakati akihojiwa na kituo kimoja cha redio:- Mtangazaji: Kuelekea mechi ya leo, je katika timu yenu kuna majeruhi yoyote? Msemaji: Benjamini Asukile yupo salama.. Pia wachezaji wenzake wote wako...
  16. JamiiForums Tanzania Wachezaji wafuatao wa Simba SC wasipangwe Mechi ya leo dhidi ya African Sports FC katika TFF ASFC

    Kuna Klabu Moja yenye Chuki na Klabu ya Simba na ina Ukaribu wa Kiundugu na Klabu ya African Sports ya Tanga imewatuma Wachezaji wa African Sports FC Wawaumize vibaya Wachezaji Muhimu wa Simba SC ili wasicheze Mechi Mbili Muhimu za Kimaamuzi za CAFCL ile ya Vipers FC tarehe 7 March 2023 na ya...
  17. JamiiForums Tanzania Utabiri mechi ya Horoya vs Raja marudiano

    Kwa kuangalia vigezo tofauti ikiwemo mbinu na history za timu hizi mbili wanapokutana Guinea, naiona mechi inaweza kuisha kwa ushindi mwembamba kwa Guinea. Mpira una mambo mengi ukiachana na ubora wa wachezaji kuna swala la mbinu pia. Raja mpaka sasa kwenye kundi lao ndio timu pekee ambayo...
  18. JamiiForums Tanzania Utabiri mechi ya Vipers vs Simba

    Kwa kuangalia upande wa madhaifu ya timu zote mbili katika mizani, naona Vipers wakiwa na safu butu mno ya ushambuliaji. Wamecheza michezo zaidi ya mitano pasipo kupachika goli hata moja, hivyo sioni namna wanayoweza kupata point tatu leo dhidi ya Simba. Mechi itaisha kwa Simba kushinda ama sare.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Leo Presha imenipanda siwezi Kutizama Mechi ya Simba na Vipers, ila mlioko hapa mtanipa Updates

    Na kwa jinsi Presha ilivyonipanda kama Simba SC haitoshinda leo au hata ikitoka Sare/Suluhu tu naweza Kulazwa ICU. Ninaitakia tu Kila la Kheri Simba SC.
  20. JamiiForums Tanzania Utabiri: Simba atadroo wakati Yanga atafungwa huko kwenye mechi za Kimataifa

    Simba na Yanga wote wana mechi za kimataifa mwishoni mwa wiki. Utabiri wangu kwakuwa wote wapo ugenini, Simba atadroo na Vipers wakati Yanga atapigwa goli mbili kule Mali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…