mdude

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    HIVI NI KWELI MZALENDO MDUDE NDIYO AMEPOTEZWA HIVYO NA HAWA POLICCM?

    Policcm kuweni na haruma kabisa.mtuambie mdude Yuko wapi?
  2. Kwa jinsi Taifa hili lilivyojaa vilaza bila amsha amsha za vijana wa Kenya wale wanaharakati wageni wangepotezwa mazima kama Mdude .

    Naijua Tanzania vizuri, nawajua Watanzania vizuri, nawajua viongozi vizuri na ninawajua vijana wanyoa punk vizuri. Uwezo wao wa kufikiri hawa vijana wanyoa punk ni mdogo sana hasa wakiwa kwenye land cruiser. Wanaona washamaliza. Hawaoni mbele. Wangewapoteza milele wanaharakati wageni...
  3. M

    Hivi ni rasimi sasa tuamini Mdude Kauliwa na watekaji?

    Kinachonipa nguvu, ni pale binadamu yeyote, masikini, tajiri, mwenye mamlaka n.k, woote lazima tuonje mauti Shida inaanzia hapa! Kuhukumu na kunyima watu uhai ni laana katika nchi, Damu ndio uhai wa mtu, na damu inapomwagwa kwa ukatili, hulia mbele za Mungu kwa kutaka kisasi juu ya nchi Kwa...
  4. Mdude Nyagali kupatikana tena ni 5%. Poleni sana Watanzania

    Uharakati wa Bongo ni sawa na kuchungulia kaburi. Nitumie nafasi hii kutoa pole kwa Wanaharakati wote. Pole kwa Marafiki zake Mwabukusi na Dr. Slaa na Wanachama wote wa JamiiForums wasiokubaliana na Sela za CCM. Matamanio ya kila Mtu ilikuwa kumuona Mdude_Nyagali akishuhudia CCM ikiondolewa...
  5. W

    PreGE2025 Mwabukusi: Tunamtaka Mdude akiwa hai

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniphace Mwabukusi, amevitaka vyombo vya dola kuhakikisha kuwa mwanaharakati Mdude Nyagali anapatikana akiwa hai, huku akilaani vikali kauli ya kutolewa zawadi ya Shilingi milioni tano kwa atakayesaidia kupatikana kwake akiwa hai au mfu...
  6. L

    Wapi Mdude? Aibu ya Taifa: Kwanini tumesahau haki yake?

    Kutekwa kwa Mdude: Kwa Nini Watanzania Tumesahau? Wanajamii, ni aibu kubwa kwa taifa letu kuona jinsi suala la kutekwa kwa Kijana Mdude linavyofifia katika mioyo na akili za Watanzania! Hili si suala la mtu mmoja, wala la chama kimoja, bali ni pigo la moja kwa moja kwa haki, demokrasia, na utu...
  7. Jeshi la polisi: Hatuna taarifa kutekwa kwa Mdude

    Katika taarifa ya moja ya magazeti yaliyosomwa Radio Free Africa ipo taarifa inayodai polisi hawana taarifa ya kupotea Mdude! Taarifa hii haina tofauti na ile aliyotoa Tulia huko Mbeya kwamba bunge lilishindwa kujadili hilo tukio kutokana na kukosekana mashahidi walioona Mdude akikitekwa! Hata...
  8. Kupotea au kutekwa kwa Mdude: Njia 7 za kumtafuta kidigitali-jinsi minara ya simu za mkononi inavyoweza kutumika kumtafuta mtu aliyetoweka au kutekwa

    Katika dunia ya kisasa, teknolojia imekuwa chombo muhimu katika kusaidia juhudi za usalama na utafutaji wa watu waliopotea au kutekwa. Mojawapo ya teknolojia inayotumika sana ni minara ya simu za mkononi (cell towers). Minara hii inaweza kuwa msaada mkubwa katika kufuatilia harakati za mtu kabla...
  9. Je, kufanya riot kushinikiza kupatikana kwa Mdude itakuwa ni kosa?

    Nawauliza wote wenye mapenzi mema je kama jamii ikiamua kufanya shinikizo ili mdude apatikane itakuwa ni kosa? Pia soma > Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi Jeshi la Polisi Mbeya lakanusha kumkamata Mdude Nyagali
  10. S

    Chadema tumieni siku arobaini za mwanzo kwa usahihi ili kumpata mdude ile damu aliyomwaga inaweza kuwasaidia

    Watu wengi tumepofushwa sana siku hizi! Ile nguvu yetu ya asili tumeweka kapuni tukiamini ni dhambi! Zamani wazee walilinda mashamba kwa nguvu za asili, wezi walikipata cha moto! Damu ya mdude iliyomwagika inaouwezo wa kuwapa ushirikiano ndani ya siku 40! Iteni wataalam na muiambie ile damu...
  11. Mbeya ni sehemu yenye watu strong sana , kimtazamo, kimaamuzi na katika kujua haki zao Study case kwa Mdude!

    Issue ya kutekwa kwa Mdude , Inaacha Alama katika vichwa vya watu wenye maono . Ni kuwa Mbeya ni sehemu ya watu wenye uwezo mzuri wa kupigania haki. Mpango mkakati wa mabadiliko. unabidi kulenga na kuwekeza sehemu zenye watu wanaojielewa na kujua nini wanataka Issue ya Mdude haitopita hivi hivi.
  12. Mdude Katekwa, mjumbe, mwenyekiti wa mtaa na mbunge wa Jimbo lake walipaswa kuwa mstari wa Mbele kupigania upatikanaji Wake.

    Sabato Njema! Waafrika wengi ni rahisi kuwaonea na kuwadhulumu kwa sababu hawana umoja. Hawapendani. Uoga mara nyingi husababishwa na kutokuwa na upendo wa dhati. Kama Watanzania wangekuwa wanapendana Kwa dhati yote. Kusingekuwa na msamiati watu wasiojulikana. Watu wasiojulikana ni matokeo ya...
  13. E

    CHADEMA kumtafuta Mdude kwenye nyumba za Polisi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kitamtafuta kada wake, Mdude Mpaluka Nyagali aliyetoweka tangu usiku wa kuamkia Mei 2, 2025 mkoani Mbeya. Chadema pia wamempa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillus Wambura saa 72 kuzungumza na Taifa kuhusu matukio ya utekaji na watu...
  14. Amani Golugwa: Kupotea kwa Mdude Tulitarajia maafisa wawili waliotajwa, kuwafuatiliwa, kuwajua lakini jitihada hazijazaa matunda

    "Jitihada zote ambazo zimeongozwa na viongozi wa kanda ya Nyasa, viongozi wa mikoa na wilaya ambazo zinalilia na kuonesha thamani ya maisha ya Mdude, na tumekuwa na Mazungumzo pia kupitia viongozi wa kanda na mikoa, mazungumzo na RPC, RC, RCO, askari kutoka makao makuu ya jeshi la polisi DOdoma...
  15. Fuatilia tamko la Chadema kuhusiana sakata la kutoweka kwa Mdude.

    https://www.youtube.com/live/VgfrnQzSB6Q?si=PkShkHRTujMxAade
  16. Boniface Mwabukusi: RC Homera na RCO Mbeya, kama mmemdhuru Mdude Nyagali, hakikisheni mnamzaa, kumkuza na kumrudisha nyumbani kwake salama

    https://youtu.be/tfhpaLr7hBc?si=obXDytUPxizyrgqy Advocate Boniface Mwabukusi, Rais wa TLS ameapa kuwa, mwisho wa watu Kutekwa na kuumizwa ni kwa Father Charles Kitima na Mdude Nyagali... Amewataka Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bwana Homera, RPC na RCO wahakikishe wanamrudisha Mdude Nyagali nyumbani...
  17. Je, kwa siku, week au mwezi April 2025 kuna Matamshi Mabaya ambayo Mdude aliyasema?Labda tuanzie hapo inaumiza sana

    Ndugu wadau wote wapenda amani naomba msaada wa post yoyote iwe maandishi au video ya mdude ambayo ilipelekea kutafutwa ama kuuliziwa na Afande Shabani na Afande Veda. Tafadhari itusaidie kujua chagizo la kupelekea hadi kuvunjiwa mageti na milango ili wampate. Tafadhari ndugu zangu si kwa...
  18. RC wa Mbeya aambiwe, Tunamtaka MDUDE akiwa HAI , aache Janja Janja na Kauli za kihuni zinazoashilia MDUDE Hatopatikana!

    Kila kitu Kiko wazi, RC Mbeya aache kutoa Kauli za kihuni , Et Milion 5 Kwa atakayemleta Mdude akiwa Hai au Amekufa??. Kwa tafasiri ya kawaida, ni Kauli inayoonyesha Mdude hatopatikana . Sasa angalieni Upuuzi, RC badala ajikite kwenye Waliomteka Mdude, CHADEMA imemplekea majina ya wanaohisiwa...
  19. K

    Umafia: Polisi walio mteka Mdude nao watapotezwa

    Kama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na kutubu kabla nao hawajauliwa. Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa . Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao...
  20. Kwa Uchunguzi wa gazeti la PAMBAZUKO kuhusu Shambulio la KITIMA, Ni wazi Waliomteka Mdude Ni walewale

    Baada ya Shambulio la KITIMA , RPC Muliro akajiwahi kutoa Taarifa yenye lengo la kupotosha . Baada ya Shambulio la Mdude, RPC Mbeya akajiwahi nayeye kutoa tamko kwamba hawajamkamata Mdude. Sasa haya ni maneno niloyanukuu kwenye habari chunguzi za PAMBAZUKO kuhusu Shambulio la KITIMA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…