mdude nyagali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mcTobby

    Kama Mdude Nyagali yupo hai basi Mungu wa Mbinguni ahimidiwe

    Nimemsikiliza mjeda huyu, ndugu, na POLEPOLE. Kuna mahali ametaja Mdude ni miongoni mwa watu kadhaa wanaoshikiliwa mahali fulani. Itoshe kusema kama yupo hai basi Mungu wa Mbinguni ahimidiwe na Mungu aendelee kuwatetea huko walipo. And one Day yes, the storm will be over. Anyway msikilizeni...
  2. M

    Nikumuona Boniface Mwabukusi akiendelea kukaa pamoja na waliomteka na kumuua Mdude Nyagali naishiwa nguvu.

    Mtu mwenye moyo wenye nyama lazima uwe na maumivu kiasi cha kutokuwa na ushirikiano na wauaji waliomchukua mtu uliyekuwa unatembea nae masa 24 na kufanya harakati. Kwa nini uende kwenye ufunguzi wa siku ya sheria nchini? Unasimama na kuhutubia bila kutaja habari za Mdude Nyagali.
  3. N

    Mdude Nyagali yupo wapi? Hebu tujikumbushe maneno yake

    1. Kuna mwanaharakati mmoja hivi alijipatia umaarufu sana anaitwa mdude Nyagali AKA SUMU YA NYIGU Alikuwa anajisifu sana kuwa yeye ndo alimnyoa mwendazake na panga bila maji kwa kauli zake mwenyewe na Maria sarungi alikuwa anampamba balaaaa , wewe kidume hawakuwezi umewashika pabaya mara hivi...
  4. Idugunde

    PostGE2025 Mnaomshambulia Father Kitima. Mtueleze hadharani Mdude Nyagali na wenzake yupo wapi? Angela Kiziga alistahili kuwa msaidizi wa Rais?

    Tuache kuongelea mkataba wa waadabu wa Dp World ambao una kila dalili za rushwa na ufisadi . Yuko wapi Chaula? Mdude Nyagali na akina Soka? Angela Kiziga aliyekwapua mabilioni ya fedha na kuuchuna kama vile yupo kijijini analima mahindi, anastahili kuwa msaidizi wa rais? TEC wanasimamia...
  5. Hance Mtanashati

    Polepole ameshasahaulika, Mdude ameshasahaulika hata Lissu akitekwa na kupotezwa kelele zitapigwa kisha naye atasahaulika

    Pole pole ameshasahaulika, Mdude ameshasahaulika, Gwajima ameshasahaulika hata na Lissu akitekwa na kupotezwa kelele zitapigwa kisha naye atasahaulika. Ni neema ya Mungu pekee ndio itatuokoa, maana tunaowategemea watutetee (polisi+wanajeshi) ndio kwaaanza wanaunga mkono haya machafuzi ukijenga...
  6. The Father of All

    Kama Humphrey Polepole atabahatika kukutana na Ben Saanane na Mdude Nyagali naomba awambie yafuatayo

    Kama Humphrey Hezron Polepole atafanikiwa kuonana akina Ben Saanane na Mdude Nyagali naomba awambie yafuatayo; Mosi, kabla hujafa hujaumbika. Pili, mambo yanabadilika. Tatu, aliyeko juu mngoje chini au mpandie. Nne, aishie kwa upanga, atakufa kwa upanga. Tano, atekaji unaendelea. Sita...
  7. Mashamba Makubwa Nalima

    Ushahidi na Maneno ya mwanaharakati mzalendo Mdude Nyagali UTAISHI MILELE ukisubiri siku MAHAKAMA ikiwa HURU na HAI

    Katika jambo moja nitamsifu siku zote ni kuhakikisha alikuwa anadocument kila kitu alichopitia na kuwataja wahusika waliyo nyuma ya hayo matukio yote. Kuna mara nyingine alishare kupitia maandishi vitabu, posts za mitandaoni, mara nyingine alifanya kupitia Videos ambazo pia alishare...
  8. Superbug

    Wananchi Mbeya mnapoteza golden chance ya kumhoji Rais juu ya alipo Mdude Nyagali CHADEMA

    Wana mbeya hususan pale Vwawa alipoishi Mdude mlitakiwa mje na mabango mengi sana Maelfu kwa maelfu mkimuulizia mdude na wote waliopotea. Tanga na nyie sijui kama ccm wamefika huko kwenye kampeni zao ila kama hawajafika msifanye makosa waliyoyafanya mbeya. Andaeni mabango mpite mbele ya rais...
  9. Komeo Lachuma

    Je Mdude Nyagali ndo basi tena? Ishakubalika kuwa ameuawa?

    Aiseeeeee..... Hii nchi. Hatari sana. Mi nitakuwepo kwa siku 5 kabla sijaondoka kurudi huko Duniani. Suala la Mdude Nyagali ndo lishaisha sasa?
  10. chiembe

    Tangu Mdude Nyagali aamue kuachana na siasa, kuna akaunti za JF zilizokuwa zinatukana matusi hazionekani tena

    Kuna akaunti zilikuwa hapa JF yaani comments zake ilikuwa matusi makubwa, ya kutisha, lakini tangu Mdude aamue kutojihusisha na siasa, JF imekuwa mahala pa amani.
  11. Idugunde

    Watoto wa Mdude Nyagali wanatia huruma. Haijulikani kama yupo hai au amefariki

    Inatia huruma sana
  12. Erythrocyte

    Mke wa Mdude Nyagali afungua kesi Mahakama Kuu dhidi ya Jeshi la Polisi

    Nimeona baadhi ya Nyaraka za kesi hiyo zikiwaanika watuhumiwa hao Pia, Soma Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi Jeshi la polisi linachunguza tuhuma za kuhusika askari katika kupotea kwa Mdude Nyagali Pre GE2025 - Mwabukusi: Tunamtaka Mdude akiwa hai
  13. DuaZaMama

    Mdude Nyagali Afikisha siku 42 tangu alipotekwa

    wakuu ====== Ndugu yetu Mdude amefikisha siku 42 tangu alipotekwa akiwa nyumbani kwake mbeya na watu wasiojulikana, cha ajabu ni kwamba hakuna jitahada zozote ambazo zinaendelea za kumtafuta ndugu yetu.
  14. Aiylan wasalan

    Mdude Nyagali Ameondoka kimasihara kama Saanane, Soka, Chaula na wengine Wengi. Watanzania tuko kimya na Chama Chake nacho kimekubali! Dah

    Tumemkosea nini Mungu sisi!
  15. M

    Wakili Mwabukusi umemtosa Mdude Nyagali na kuacha apotezwe? Umeshindwa kufungua kesi mahakani ili apatikane!

    Mara nyingi mlikuwa pamoja mkifanya harakati za kuikomboa Tanzania. Sasa mbona upo kimya? Nilitarajia ufungue application ya Harbeas Corpus ili Mdude aletwe mahakamani na aachiwe Upo kimya kabisa Wakili.
  16. Superbug

    Ni kweli hatutamuona milele mdude nyagali mpaluka CHADEMA? Ni kweli Sauti yake wameizima milele?

    Naumia sana nikimuwaza MDUDE NYAGALI CHADEMA na mbaya ZAIDI kweli rais Samia ameamua kukaa kimya asiseme lolote hata pole ya kinafiki? Mh kweli watanzania tumepatikana mno isivyo kawaida. Bora waliyoyasemea haya sirini na hadharani kuliko waliokaa kimya. Mdude kama hatutaonana Tena basi damu...
  17. Wakusoma 12

    Kwa watu wa numerology damu ya mdude Nyagali ni damu hatari sana kuikatiri

    Ili kupata maana ya jina "Mdude Nyagali" kwa muktadha wa numerology, tunahitaji kuchambua herufi za jina hilo kulingana na nambari za Pythagorean numerology, ambapo kila herufi ina thamani yake kama ifuatavyo: 1 = A, J, S 2 = B, K, T 3 = C, L, U 4 = D, M, V 5 = E, N, W 6 = F, O, X 7 = G...
  18. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 CHADEMA yavunja rasmi kambi ya kumtafuta Mdude Nyagali aliyetoweka Mei 2, 2025

    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Mbeya Kusini magharibi mwa Tanzania kimetangaza kuvunja rasmi kambi iliyokuwa imewekwa kushinikiza kupatikana kwa kada wao, Mdude Nyagali aliyetoweka tangu Mei 02, 2025. Mdude anadaiwa kuvamiwa na kupigwa nyumbani kwake mtaa wa Iwambi jijini...
  19. Waufukweni

    PreGE2025 CHADEMA Mbeya washiriki Ibaba kumuombea Mdude Nyagali, wadai ukimya wa kutoweka kwake haukubaliki

    Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya, Jana Jumapili Mei 11,2025 wameshiriki ibada maalum ya maombi kumuombea mwanachama na mwanaharakati Mpaluka Saidi Nyagali maarufu kama “Mdude” ambaye hajulikani alipo tangu alipovamiwa nyumbani kwake Iwambi na...
  20. The Palm Beach

    Boniface Mwabukusi: RC Homera na RCO Mbeya, kama mmemdhuru Mdude Nyagali, hakikisheni mnamzaa, kumkuza na kumrudisha nyumbani kwake salama

    https://youtu.be/tfhpaLr7hBc?si=obXDytUPxizyrgqy Advocate Boniface Mwabukusi, Rais wa TLS ameapa kuwa, mwisho wa watu Kutekwa na kuumizwa ni kwa Father Charles Kitima na Mdude Nyagali... Amewataka Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bwana Homera, RPC na RCO wahakikishe wanamrudisha Mdude Nyagali nyumbani...
Back
Top Bottom