mdogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. John Mrema ni Mwanasiasa mwenye upeo mdogo sana wa ufahamu.

    Huyu jamaa anajiita John Mrema ilikuaje akawa na cheo kikubwa hivyo hapo Chadema , wakati Ana IQ ndogo . Nimemsikiliza hapa Leo katika kipindi cha Power breakfast Clouds cha "Scanning" hosted by CIZA. Anaulizwa atoe tafsiri ya neno "No reform no Election" anaaanza kubabaisha Mara hivi Mara...
  2. S

    Tatizo la mtoto mdogo kukoroma na kuzungusha macho

    Habari za wakati huu wana jamvi. Naomba kujua je mtoto huyu ana changamoto gani na ni nini tiba yake? Kuna mtoto wa mjomba wangu kwa sasa ana umri wa miaka miwili na nusu. Mtoto huyu tangu azaliwe amekuwa na changamoto ya kukoroma muda wote na kutoa milio kama vile pua zake zimeziba, kwa kifupi...
  3. Utatiti: Waamuzi wengi karibia asilimia 75 ni form four failure na division four ya mwisho hivo maamuz yao yanaakisi upeo mdogo wa kuchakata taarifa

    Kwa utafiti wangu mdogo kutoka vyanzo mbalimbali vinaonesha kuwa karibia asilimia 75 ya waamuzi ligi kuu ya NBC ni ngumbaru hvo hicho wanachokitoa ndo uwezo halisi ukiacha mambo ya maelekezo kwenye baadhi ya mechi. Ukienda EPL la Liga Bundesliga na french Ligue 1 Kuna waamuzi Wana Hadi PhD, lkn...
  4. Kama kuna kijana yoyote mdogo anae hitaji kumbusho lolote la kumuhasisha na kumuongoza sio vibaya akasoma hii

    ♥️Maji hufata mkondo vile vile Mrembo hufata unafuu, kwa hio usi-invest hisia zako katika pendo la ukweli, utaambulia kuchukia kila mtu na nafsi yako pia. 🕓Muda ni wa thamani kuliko pesa. Unaweza kutumia muda kupata pesa, lakini huwezi kutumia pesa kununua muda uliopita. Muda ni rasilimali...
  5. Kuna watu wapo humu heti wanatutisha "Tundu Lissu hatoki" unajua nimeshangaa sana na wana uwezo mdogo sana wa ufahamu

    Kuna watu wapo humu heti wanatutisha "tundu lissu hatoki" mnatoa tu maneno yenu bure unajua nimeshangaa sana na wanauwezo mdogo sana wa ufahamu inasikitisha. Nimesikitishwa kwa hilo kwasababu yoyote anayeshabikia mtu asiye na hatia na kumsingizia mambo ya uongo huku yeye ndio mbaya muuwaji...
  6. Mdogo mdogo tunawauzia Wakenya Ugomvi

    Kesi za Lissu zimeanza kuchukua sura ya Mama anayempiga mwanae kwa kumuonea hadi majirani waneamua kuja kumtetea mtoto ambaye sio wao. Inakubalika kama mzazi ni muonevu. Na uonevu ukizidi majirani huwa wanaamua kununua ugomvi kama mbwai inakuwa mbwai tu kwani nini!?
  7. MFANYABIASHARA ALIA NA POLISI ARUSHA KUKATAA KUFUNGUA KESI,ADAI KUDHULUMIWA MAGARI NA MDOGO WA MBUNGE

    MWEKEZAJI wa sekta ya usafirishaji jijini Arusha ,Patrick Mulokozi amelalamikia Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kwa kushindwa kumpa ushirikiano kuweza kupata mali zake ambazo ni mabasi mawili aina ya Costa aliyokuwa amekodisha kwa kampuni ya usafirishaji ya Impala shato inayofanya biashara ya...
  8. Kwa wanaohitaji kijana Mdogo wa miaka 18 katika kazi kama dukani n.k naomba tuwasiliane.

    Habari wakuu . Yupo Kijana Ana hizi sifa Miaka 18 Elimu form four Ila hakufaulu. Uzoefu wa kazi Kazi za kusimamia Nyumba na shughuli za bustani. Kuuza dukani Kuhusu mdhamini yupo mama yake anamdhamini . Kijana anatokea singinda ni Kijana wa kujituma Sana. Waweza piga namba hii...
  9. M

    Mamlaka ya mji mdogo Maswa inataka ikusanye mapato yake yenyewe.

    Mamlaka ya Mji Mdogo wa Maswa mkoa wa Simiyu imeitaka halmashauri ya wilaya hiyo kuiruhusu kukusanya mapato yake moja kwa moja kwa kupewa vyanzo rasmi vya mapato, ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi na kuharakisha maendeleo ya mji huo. Mwenyekiti wa mamlaka hiyo,Caroline Shayo amesema...
  10. CAG: Transfoma zenye uwezo mdogo kuliko zilizoainishwa zilinunuliwa na kufungwa bila kufanya tathmini ya mahitaji ya Umeme

    REA alishindwa kufanya utafiti wa mahitaji umeme kama inavyotakiwa na badala yake ilitegemea takwimu zilizopitwa na wakati, hali iliyosababisha makadirio yasiyo sahihi ya mahitaji ya umeme. Pia, kulikuwako na ongezeko la gharama ya Shilingi bilioni 15.34 kutokana na maandalizi hafifu ya...
  11. Wakuu wa Kaya, hivi tatizo ni mshahara mdogo au matumizi mabaya ya fedha?

    Wakuu wa KAYA hivi mbona hadi nae muona ana mshahara mzuri nae analalamika mshahara mdogo hautoshi hivi tatizo nini haswa? Mshahara mdogo? Matumizi mabaya ya fedha? Au kuto kuwekeza?
  12. Utafiti mdogo ungezeko la makaka poa Dar ambao wengi wanatokea mikoa ya bara

    Kwa utafiti wangu mkubwa niliofanya hapa jijini dar ni kua makaka poa wengi au maa uncle wengi sio watu wa pwani kiasili wengi ni wavamizi kutoka bara hasahasa mbeya, iringa njombe na kaskazini mwa Tz, pia Kwa asilimia michache ukanda wa kati. Pia kumekua na tabia za maa Uncle kujinasibu ni...
  13. Wenye ajira za ujira mdogo wanaishi maisha magumu/ kuteseka zaidi kuliko wasioajiriwa kabisa

    Ukishakua una ajira, haijalishi unalipwa kiasi gani, jamii inategemea unapata hela, hivyo, kuna kuandamwa na ndugu jamaa na marafiki. kwa upande wasio na ajira, wao jamii haitegemei makubwa kutokwa kwao, ingawa wanaweza kua wanapata hela kubwa zaidi ya waioajiriwa. Sasa fikiria, mtumish...
  14. Ukiwa mdogo utaamin kwa 35% mambo ambayo baba yako analalamika kuhusu mama yako, ukisha pevuka utayaamini kwa 45% na ukisha utayaamini kwa 88%

    Kuna wakati utamsjudu baba baadae utamchukia then baadae unaishia kumuenzi. Hii ndio cycle ya kijana wa kiume katika uhusiano wake na baba yake ambao kwa asilimia kubwa utaathiriwa na mama yake. Maan mama ndio sikio ya mtoto wa kiume Ila ukisha oa, dunia yako inasambaratika vipande na kuanza...
  15. C

    Kwa uzoefu wangu ni majina ya AMOSI wengi wana uelewa mdogo kiasili ,huwa hawako vizuri kwenye reasoning,ni wazito kiakili, na ni wakurupukaji sana

    Hili ni baada ya kuwafahamu kina amosi wengi sana nilio kutana nao katika maisha yangu ya kawaida , nadhan ndugu msomaji hebu na wewe wakumbuke kina amosi ulio kutana nao kwenye maisha yako kisha toa ushuhuda.
  16. Usiudharau Mwanzo wako mdogo ikiwa ndo unaanza MAISHA ya utafutaji kama kijana.

    Katika maisha unapokuwa unayaanza usije ukaudharau mwanzo mdogo / humble beginning au huitwa baby step. Hii tafsiri yake ni kuwa hata Kama umepata Kazi ya kufuta meza , hakikisha unaifuta hiyo meza vizuri kwakuwa hauwezi kujua kesho utaambiwa ukafute meza ya nani labda ya Rais , hauwezi kujua ...
  17. Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

    Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa ovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
  18. Jeremy Monga aweka rekodi ya mchezaji mdogo wa pili kucheza EPL akiwa na miaka 15 tu

    Kinda wa Leicester City, Jeremy Monga jana usiku aliweka rekodi ya kuwa mchezaji wa pili kwa umri mdogo kucheza EPL. Kwakuwa Monga yuko chini ya miaka 18, hivyo jezi yake haikuwa na maandishi ya wadhamini ambao ni kampuni ya kamari ya BC Game. Monga mwenye miaka 15 aliingia dakika ya 74...
  19. Kwanini mke mdogo hupendwa zaidi kuliko mke mkubwa?

    Hii nimeiona hasa kwa wenzetu waliooa mke zaidi ya mmoja Yan ni Kama wanaigana hii Tania. Kuna Siri gani imejificha?. Mimi mwenyewe nimelishuhudia kwa baba yangu Yani upande wa hi mkubwa huku hatuna sauti Kama upande wa bi mdogo. Je no kwanini wanaume hupenda zaidi bi mdogo kuliko bi mkubwa?
  20. Ni njia gani nitumie ili mdogo wangu ajiunge na academy au timu yeyote ya Mira wa miguu nchini ??

    Wakuu, Ni mdogo wangu wa damu anaitwa Charles masanja ana umri wa miaka 12 anakiwasha sawa sawa anacheza nafasi zote za mbele namaanisha namba 8,9,10,11 na 7 Anakipaji kikubwa Sana,kipaji chake kimepelekea kuaminiwa ktk timu ya wakubwa na anacheza vizuri Sana Ndiyo zake ni kuwa mchezaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…