mdada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu huyo mdada uliyenae hajamrudia ex wake sio kwa sababu eti anakupenda wewe kumzidi, no, ni kwa sababu ex wake hajaonesha effort ya kumtaka tena

    Niliwahi kuwa na girlfriend back in 2018, Alienielezea namna jamaa alivyokuwa anamchapa makofi na muda mwingine kumuingilia kinguvu kingono. Na akasema hataka amrudie tena huyo mbwa Red flag ilikuja pale yule demu akawa anamzungumzia jamaa kila mara, nikagundua huyu fala bado bado ana miss...
  2. JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar. Sidhani kama kuna mtaa Dar ambao hauna mashoga, Mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma. Wa sasa...
  3. JamiiForums Tanzania Huyu mdada msomali nimesoma nae Kenya, leo naona picha ya marekani kwa kujipatia pesa kitapeli, aisee dunia ni ndogo😁

    AIsee fahima what happened😬 👇
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbaya sana unamtongoza mdada anakujibu ana mtu!!

    Hili jibu la nina mtu linakera sana!, kama umeshajua haiwezekani kunikubalia si useme tu haiwezekani. Unanitajia mimi li mtu lako la kazi gani...? Ipo siku nitakuja kushuka na mtoto wa mtu hivihivi kimasihara, wadada wenye tabia hii badilikeni inakera...😎
  5. W

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Ushirikiano wa Biashara kwa Mdada Mwenye Duka au Biashara Halali

    Natafuta mdada au mkaka mwenye duka au biashara inayofanya kazi kwa angalau miezi 6 na biashara hiyo iwe na lesen halali. Nina nyumba ambayo niko tayari kuitumia kama dhamana kwa ajili ya kuongeza mtaji wa biashara au kufungua biashara ya pamoja ya nafaka. Pia nina heka tano za kilimo ambapo...
  6. JamiiForums Tanzania Huwa nashangaa sana ila kila mdada mwenye makebo makubwa lazima awe na besti yake huyo mwembamba ambae ni kama waziri wake wa ulinzi na mawasiliano

    Ukimuita tu dada mwenye makebo makubwa uanshangaa yeye lazima aje wa kwanza utafikir umemuita yeye, kila sehemu unakuta anamshika mkkono ila tu auze nae sura na kumpa ushauri wa kila mwanaume anaemtaka. Looh! Yeye ndio haji manara wake, yanj muda mwingine unajikuta unakosa fursa ya kutafuna...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdada ana Annabelle kubwa anavutia kwa namna yake

    Umewahi kutana na mwanamke ana Annabelle la kutosha kifuani? (Annabelle ni maziwa makubwa) Sijajua lakini kwa nini wengi huwa hawana shape chini. Ni nadra kumkuta mwanamke ana Annabelle kubwa, hips na makalio. Ila wengi wanakuwa na Annabelle na sura nzuri lakini chini humkuti ana makebo...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama kuna mdada ajapata abaya mpaka sasa kuna elfu 30 apa aje achukue.

    Nipo magomeni kagera aje achukue elfu 30 ya abaya. Vigezo na masharti kuzingatiwa 0767903037
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mdada nafanya naye kazi ofisi moja, nampenda lakini naogopa kumwambia — nifanye nini?

    Mimi ni mfanyakazi katika moja ya ofisi hapa mkoa wa Arusha. Tunafanya kazi ambayo siyo ngumu sana, mara nyingi ni kutumia kompyuta na kushughulikia majukumu ya kila siku ya ofisi. Ndani ya mazingira haya ya kazi, kuna mdada mmoja ambaye tumekuwa tukifanya kazi pamoja kwa muda sasa. Kwa mwanzo...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mdada asilimia 90 ananitaka

    Kaniita anaanza kuniambia mbona hauko sawa unamawazo gani yeye YANA muhusu nini Huo mtego siingii ng'oo
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Wanaume kuna muonekano ukiwa nao, huwezi kuja JF kulalamika kuwa kila mdada unayemtongoza anakuomba omba hela

    Habarini, Tofauti na kichwa cha habari, katika pitapita zangu TikTok nlikutana na account ya jamaa mmoja mtanzania, anajiita Dr Julian sio mwanamziki wala sio muigizaji, hapost maisha expensive, ila aloo hiyo idadi ya wadada wanao-andika thirst comments kwenye picha za huyo mkaka , na...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora nikusanye mbwa na paka wa mtaani niwalee kuliko kusomesha mdada eti kisa mapenzi na ahadi ya kuoana

  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikujui na haunijui bro ila kama upo 27-38 usioe mdada ambae ameshaona mengi kwenye mahusiano atakutesa sana

    Wewe uliojufunnza unataka kurekebisha. Yeye aliyojifunza anataka kuendeleza maana ndio anataka atumie kama defence mechanisma dhidi yako. So ndugu hakikisha kama upo 27-38, oa binti alie 18- 22. UTANISHUKURU.
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mdada amenitongoza zaidi ya miaka 10, na bado hakati tamaa

    Yani tangu hajaolewa hadi ameolewa bado ananililia mimi tu, halafu mimi moyoni hayupo. Kwa uzuri ni mzuri ila mimi tu sijamkubali. Fikiria zaid ya miaka 10 ananitongoza tu na hachoki. Imefika mahati naona tu nimkubalie labda akishakutana na mimi atapunguza hamu zake
  15. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdada ambaye jimbo lipo wazi mwenye lifestyle kama hii yangu

    Habari wakuu, About Umri wangu 25, location dar maeneo ya airport, nipo single sina mtoto, mrefu kiasi, mwembamba kiasi, sio mweupe au mweusi, na najitambua. mimi nime jiajiri kwenye masuala ya programming developer. Sio mlevii na situmii vitu kama bangi, mimi ni mkristo lakini sina kanisa...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mdada nampenda nimetumia njia zote kanikataa sasa imebaki njia moja tu

    Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdada kama ulimkataa jamaa ujanani endelea kumkatalia hadi ukiwa 35+ endapo bado anakufuatilia

    "Sikutaki", "Nina mtu wangu", "Sina hisia nawe", "Hatuwezi kuwa pamoja", "You are not my type"..... na majibu mengine kama hayo ulikuwa ukiyatoa wakati wote mkiwa under 30yrs tena mara nyingi below 25 years. Na utakuta jamaa alikuwa akiona jinsi ukila bata na vipenzi vya moyo wako huku...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Makongorosi Chunya mdada ambaye Hana phycologist PM Iko wazi.

    Husika na kichwa tajwa hapo juu. Asante.
  19. JamiiForums Tanzania Unamkejeli mdada kugeukia JF kutafuta bwana kisa amevuka 30 eti mtaani hasomeki. Hivi boy anakuwaje na wivu juu ya intentions za kimapenzi za mdada?

    Its either wanaingilia harakati zako humu au basi wewe ni sadist. Kuna wakati mwanaume alichohangaika na mwanamke ni kupata penzi lake pekee ila siku hizi vijana wa kiume nao wanaumia na maamuzi ya kimapenzi ya wadada 🤣🤣 Trash🚮🚮
  20. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafiti binafsi: Mara nyingi ukimpa mdada hela/zawadi bila yeye kukuomba, huko mbeleni ndo atazidi kukupiga vizinga

    Habarini, Kuna huu ushauri unaotolewa na wadada humu jf na baadhi ya wanaume, kwamba ukitaka mdada asikupige vizinga mara kwa mara, usiruhusu mpaka yeye akuombe, mwanaume inatakiwa ujiongeze, utoe bila kuombwa, juzi kati nikajaribu kuiweka hii myth to the test Sample za research yangu zilitoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…