mchungaji msigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyotokea kwa Tundu Lissu Mbeya kweli kulikuwa na mpango kuhamia CCM hivi karibuni kama Msigwa alivyokuwa anatuambia?

    Siasa tofauti na dini. Dini hata uteswe vipi, uhadiwe mabilioni ya shilingi hutakiwi ubadilike Nitaoa mifano yaliowakuta watu enzi za tawala za nyuma kabisa kwa mfano 1.Bilal ibn Rabah (RA): Alikuwa mtumwa wa kipagani wa Kikuraishi, Umayya ibn Khalaf. Alipokea mateso makubwa, ikiwemo kuwekwa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Yaani kwa sasa Happi na Richard Kasesela ni Mabosi wa Mchungaji Msigwa, Dunia ina uonezi sana

    Kuna Wakati Mchungaji Msigwa akiwa Mbunge alitaka kumpiga DC Richard Kasesela pale Uwanja wa Ndege Nduli Sema kwa bahati Salim ASAS akawaambia Leo ndio hivyo tena Mchungaji Msigwa anaripoti kwa Komredi Kasesela Mnec Dunia simama nishuke Mlale Unono ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ”ฅ
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Mbowe amezungukwa na Wahuni halafu anasema atachukua Nchi!

    Ukiangalia Mbowe anaruka na helikopta halafu anasema mwaka huu kunja ngumi, kunja ngumi tunachukua nchi, nikimwangalia Mbowe anasema atachukua nchi hebu angalia 'line up 'yake unamwona Waziri Mkuu kwenye timu yake? Unamwona Naibu Waziri Mkuu kwenye timu yake? Unamwona Waziri wa Fedha Mwigulu...
  4. JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa unatuabisha wana Iringa, kumbe ulikuwa unatudanganya!

    Sisi wana Iringa tumeamini kuwa wewe siyo MCHUNGAJI kabisa. Wakati bado upo cdm ulikuwa unatuaminisha kuwa hakuna chama makini kama cdm. Ukatushawishi tukakuchagua kupitia cdm na ukasema kuwa ccm siyo chama kabisa bali ni walaghai na wachumia tumbo. Leo hii tena unatuambia kuwa ccm ndiyo...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Mchungaji Msigwa kaikimbia CHADEMA kwa ufukara wake au amevutiwa na Demokrasia na kutokuwepo kwa Umungu mtu ndani ya CCM?

    Shalom, Kazi ya uzushi ya kubweka, kubwaka na kubwata vyataka ule ushibe Nimewaza kuhusu kauli za mchungaji Msigwa hasa juu ya tuhuma za Mbowe kuwa fisadi na Chadema kuwa Mali binafsi ya Mbowe. Tangu kitambo Chadema ni Mali ya Mzee Mtei ambayo sasa iko chini ya Mbowe na familia pamoja na...
  6. JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa usoni hafanani na CCM, hatumwoni kama mwenzetu

    Mwanasiasa mkongwe aliyehamia kwenye Chama chetu CCM kutoka CHADEMA hatumwoni kama mwenzetu. Kila akiongea namwona kama hajajua miiko, mtoto unajaa mate, anaropoka tu. Alivokuwa CHADEMA alikuwa mtu mahiri nondo kweli ila Sasa yupo kama dishi linayumba au amekata tamaa, Makoti hayamtoshi, sare...
  7. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa na MNEC Kasesela kuunguruma Iringa Mjini 20/07/2024, wataelezea Mabaya yote ya CHADEMA mkoani hapo!

    Usipange kukosa mkutano mkubwa wa hadhara katika Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini tarehe 20 July Mengi ya Chadema usiyoyajua yatawekwa hadharani siku hiyo Ahsanteni Sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kwako Mzee Mgaya
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CHADEMA kuhusu Mchungaji Msigwa

    JUST IGNORE HIM, MSIMJIBU, MPUUZE, MPOTEZEE (vijana wa mjini wanasema) What power is there in ignoring someone? 1. Ignoring someone can have a powerful impact since it sends the message that you do not want to engage with the person. 2. Ignoring someone can also have a strong emotional...
  9. JamiiForums Tanzania Kinachofanywa na Mchungaji Msigwa hakina tofauti na kinachofanywa na CHADEMA, nadhani kuna haja ya kubadilika

    Kiuhalisia ukitoa sehemu ndogo ya watu ambayo ni watumishi wa Serikali na wanasiasa Asilimia kubwa ya wananchi wanaamini katika Hayati Magufuli na wanampenda . Ukiingia humu jukwaani ,ukiwa ofisini na ukiwa kwenye kundi la wanasiasa utaona mnaongea lugha moja kuhusu JPM ambayo ni kama 80% siyo...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Napinga Mchungaji Msigwa anaposema sasa atafanya kazi ya kuikashifu CHADEMA

    Ni kweli kwamba mtu akihama Chama hawezi tena kukisifu Chama alichotoka ama sivyo ataulizwa kwanini alikihama. Lakini haiwezekani Msigwa azunguke nchi nzima aanze kusema,"Mbowe ni mnafiki,Chadema hawafai" Yeye amahama Chadema, mambo ya Chadema sasa hayamhusu tena. Waachane kwa amani na...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandamano ya kumpongeza Mchungaji Peter Msigwa kuhamia CCM

    Wana Iringa wote nawakaribisha katika maandamano ya kumkaribisha Mheshimiwa Dr Mchungaji Peter Msigwa kurejea CCM. TAREHE: 28 Julai 2024, MUDA: Saa 12 asubuhi, MAHALI: Uwanja wa Samora - ofisi Kuu ya Chama Mkoa.
  12. JamiiForums Tanzania Watu tunatoka mbali sana katika harakati za kutafuta maisha

    Ndugu zangu kwa sisi tulikulia katika familia za kimasikini huwa tunapitia mateso mengi sana hadi kufikia ndoto zetu. Hiyo picha hapo chini, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri sana hapa nchini, ukiitizama kwa makini unaona ni jinsi gani binadamu tunatoka mbali katika hali ya kujitafutia maisha.
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya Mchungaji Msigwa kuhamia CCM kutoka CHADEMA, unadhani kiongozi gani mwandamizi kufuata nyayo?

    Msigwa hakuwa mwanachama wa kawaida Chadema, alikuwa kiongozi mwandamizi mwenye dhamana ya kusimamia makamanda na wanachama wa Chadema kanda ya Nyasa, na alikuwa pia mjumbe wa kamati kuu Chadema Taifa. Anajua na kufahamu mambo na vitu vingi sana ndani ya chadema. Anajua vema nia, uwezo, malengo...
  14. JamiiForums Tanzania Kuondoka kwa Mchungaji Msigwa ni pigo kwa Chadema?

    Wapo manguli wa siasa walifanya kazi kubwa kukijenga chama lakini mwisho walihama vyama na wengine kung'olewa na mwisho walionekana ni wasaliti tu chama kilishinda vita hii. Kuhama kwa Msigwa kumekuja kitofauti sana na wala haikutegemewa. Baada ya mchungaji Msigwa kudondoka katika uchaguzi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Kutoka chama kimoja na kuhamia chama kingine ni uamuzi wa kijasiri na wa kipekee sana kisiasa

    Ni ukomavu, ujasiri na utashi wa kipekee sana kisiasa. Ni uamuzi mgumu na mzito sana kwa mwanasiasa. Kuachana na mazingira ambayo uliishi na watu ulo wazoea vizuri sana, na kuungana na watu wapya na wenye, itikadi, malengo na nia tofauti kabisa na chama ulichotoka. ni uthubutu wa kipekee sana...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Global TV waliomhoji Msigwa walipwaya, hawakujiandaa kumhoji

    Fuatilieni hiyo interview hapo chini. Watangazaji walioshiriki kipindi hiki ni mfano wa waandishi wa habari wasiojiongeza. Na kwa bahati mbaya wamekusanyana wote wakiwa na MITIZAMO inayofanana, na hivyo kuharibu maudhui ya kipindi, na mjadala. Mtangazaji anajiita mchambuzi wa siasa, lakini...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Aliyeshika chupa ya damu nikipelekwa Nairobi ni Msigwa (sio Mbowe)

    Kamanda Tundu Lissu amekanusha madai yaliyotolewa hapo nyuma kidogo na Lema kwamba Mbowe ndio aliyeshika chupa ya damu wakati akipelekwa Nairobi kwa matibabu. Amesema aliyeshika chupa ya damu aliyokuwa akiongezewa ni Mchungaji Peter Msigwa mwanasiasa nguli asiyeogopa hila na figisu. Wataalam...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wapya wa Kanda ya Nyasa Waanza kazi rasmi

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba viongozi wapya waliochaguliwa hivi karibuni Kanda ya Nyasa, Wameanza Kazi Rasmi leo. Wamefika kwenye ofisi za Kanda ya Nyasa na kuanza kazi mara moja, Vigogo hao wazito wameongozwa na Mwenyekiti wao Joseph Mbilinyi, yumo pia Makamu Mwenyekiti Frank...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Tuungeni mkono CHADEMA ili tukatae mfumo wa ukandamizaji wa kikoloni uliopo

    Mchungaji Peter Msigwa akizungumza Jumatano kwenye mkutano wa hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara Tundu Lissu uliofanyika Jumatano Juni 05, 2024 katika Kijiji Ughandi -Singida Kaskazini amesema kuwa "Ikitokea Mkurugenzi hamridhiki naye mkitaka kumtoa, hamna uwezo wa kumtoa mpaka Rais...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vifaranga waanza kujikusanya katika mbawa za mama yao: Mchungaji Peter Msigwa ajiunga na ziara za Tundu Lissu

    Nimeona Mchungaji Msigwa amejiunga katika ziara ya Tundu Lissu. Wakati Msigwa akigombea, Lissu alipita Iringa na akatoa neno kama la kumtetea Msigwa alipokuwa akipambana na kampeni konki za Sugu. Msigwa naye, baada ya kuchapwa akachapika, na yeye karudia kauli za baba yake kisiasa, Tundu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ