mchungaji hananja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 4

    Wewe ujiitae Mchungaji Hananja, Mungu amekulaani kuanzia vidole miguuni kichwa hata mbinguni na imempendeza Mungu iwe hivyo

    Kwema wana wa Mungu JF , amani ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake, lakini atawale sana dhehebu la islamic, nawapenda na Mungu akawainuie kila mmoja kwa imani yao. Leo nipo hapa kwa ajiri ya mtu mmoja, mnafiki, mzandiki, na mjinga wa kutupa na ufupi wake japo ufupi sio dhambi bali ni...
  2. DuaZaMama

    PostGE2025 Mchungaji Hananja: Unadai maiti, maiti itoke wapi? Nenda kadai Congo

    Mchungaji Hananja amesema watanzania wanaodai maiti za ndugu zao waende wakadai Congo maana Tanzania hizo maiti hazipo.
  3. Mshana Jr

    Tony Kapola naye kaingia kwenye mfumo kama Adam, Samson, mchungaji Hananja nk..! Amekwisha

    Nakaa naangalia video za vituko vya kushangaza vya mke wa "pastor" Tony Kapola.. Simuoni Mungu ndani yake Sioni uchaji wa kiroho Sioni unyenyekevu wa kiimani Sioni kujishusha, kutubu na kujirudi Kinachoonekana kwenye kila video ni Majigambo Maringo Majisifu Kujikweza sana na dharau za kila aina...
  4. Waufukweni

    Apostle Bushiri amkaanga vibaya Mchungaji Hananja: kiongozi wa Dini anakuwa Chawa, unatoa ushauri wa Kipumbavu!

    Apostle Mtalemwa Bushiri akiwa kwenye Ibada alikuwa na haya ya kusema kufuatia Kanisa la Askofu Gwajima kufungiwa na Mamlaka. Soma: Mchungaji Hananja achukizwa na kauli ya Askofu Gwajima kumwita Mbunge wa kinondoni Abbas Tarimba "Ponjoro" Akizungumza mbele ya waumini, Bushiri hakuficha hisia...
  5. Mkalukungone Mwamba

    Mchungaji Hananja: Kiongozi wa dini acha kuleta taharuki lete suluhu, tuonyeshe hilo kundi kwa ushahidi hawa ndiyo wanateka

    " Watu hawaheshimu katiba wanataka kuvunja Amani ya nchi na ndio maana wanaropoka hovyo hovyo nyie chukulieni masihara vita ni kitu chengine kukitokea vita hapa wote tutafutana ,ufike hatua tutunze Amani yetu",alisema Hananja.
  6. DuaZaMama

    PreGE2025 Mchungaji Hananja achukizwa na kauli ya Askofu Gwajima kumwita Mbunge wa kinondoni Abbas Tarimba "Ponjoro"

    Mchungaji mstaafu wa kanisa la kiinjili la kilutheri( KKKT) nchini Mchungaji Richard Hananja amechukizwa na kauli ya Askofu Gwajima ambaye pia ni mbunge wa Kawe ya kumwita Mbunge huyo wa kinondoni Abbas Tarimba "Ponjoro" akiwa madhabahuni kuwa ni matumizi ya madhabahu kama sehemu ya kufanya...
  7. Roving Journalist

    Mchungaji Hananja anajilipua kuhusu Gwajima, asema unapokuwa Kiongozi unatakiwa uwe na uvumilivu

    https://www.youtube.com/live/s50bQ_jh8Us
  8. The Sheriff

    Mchungaji Hananja: Wanaofanya biashara kwenye nyumba za ibada wakatwe kodi

    Mchungaji Richard Hananja anasema wale wote wanaouza vitu katika nyumba zao za ibada wakatwe kodi kwani ni kama tu wamehamishia maduka kwenye nyumba za ibada. Siku hizi nyumba nyingi za ibada zinazomilikiwa na watu binafsi zimekuwa na utaratibu wa kuuzia waumini wao vitu kama vile maji, mafuta...
  9. BARD AI

    Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

    Picha: Mchungaji Eliona Kimaro Semina iliyokuwa imeanza katika usharika wa KKKT Kijitonyama ikiongozwa na Rev Dr. Eliona Kimaro imelazimika kusimama kufuatia barua aliyopewa ya likizo ya siku 60 na kupelekea kushindwa kuendelea na semina hiyo. Mchungaji Kimaro amesema anatumia fursa hiyo...
  10. chiembe

    Mchungaji Hananja: Wachungaji KKKT wakihoji vitendo vya viongozi kuuza Mali za kanisa, wanafukuzwa, asema na yeye alisimamishwa mwaka mmoja

    Mchungaji Hananja akihojiwa na Bongo5 (ingia YouTube, kaongea nusu saa nzima) ameeleza uonevu mkubwa wanaofanyiwa na viongozi wakuu wa kanisa, na anasema yeye aliandikiwa barua na kiongozi mkuu wa kanisa kumsimamisha kazi bila mshahara kwa mwaka mzima, bila sababu yoyote ile. Hananja anasema...
Back
Top Bottom