mchele

Samuel Mchele Chitalilo (born June 15, 1965) is a former Member of Parliament in the National Assembly of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Katika mzunguko wa vyakula kweli hakuna mchele wa plastiki?

    Habari, Nimezunguka masokoni huko kuangalia mchele, yaani mchele mwingi umenyooka yaaani punje zote za mchele zimenyoka bila kasoro, sasa nimekuja ulizia hapa hivi hakuna mchele wa plastic? Na ni namna ipi nzuri kutumia kugundua mchele wa plastic?
  2. JamiiForums Tanzania Mchele umeshuka Bei, nipo hapa mtaani naona mchele mzuri bei 2600

    Nimenunua mchele mzuri hapa Temeke 2600 ndio naenda kupika pia kwa pembeni nimeona Mwingine sh 2500 mzuri na wenyewe pia. Hakika Jambo hili ni Jambo Jema Sana kiukweli. Update Mchele ni mtamu Sana ndo napakua Muda huu
  3. JamiiForums Tanzania Serikali imezuia mchele kuuzwa nje? Huyu analeta huyu anauza

    Kuna mwana JamiiForums amesikia habari ya serikali kuzuia mchele kuuzwa nje au wote tumesikia kuruhusu uletwe kutoka nje tu. Serikali haujazuia mchele kuuzwa nje mpaka sasa hivi inamaa kubwa kuwa hawa walioleta mchele kutoka nje wanaweza pia wakauza huko nje baada ya kuuleta hapa Tanzania ikawa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Sasa huyu Bashe kamsaidia mkulima au kamuangamiza? Huu mchele wa Ruzuku unaweza kuuzwa 1,500/- kwa kilo

    Ninavyowajua Watanzania wanapenda vitu vya bei rahisi Bila kuzingatia ubora Hiyo michele iliyofichwa na Wakulima soon inaenda kuwadodea Bashe ajipime kama anatosha!
  5. JamiiForums Tanzania Mchele kutoka nje na hatma ya wakulima wetu

    Mchele kutoka nje. Je tumejiridhisha kwamba uliopo nchini hautoshi? Je uzalishaji wetu wa mchele ni kiasi gani, mahitaji kiasi gani na upungufu kiasi gani Hizo tani elf 90 za mchele zitaingizwa kwa muda gani Je wakulima walioko shamba kwa sasa mchele wao watauza wapi wakikutana na huo wa nje...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa kibali kuagiza mchele nje ya nchi

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji akiwa Dar es salaam leo amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais Dkt.Samia “Tunatarajia kuanzia mwisho wa mwezi huu wa pili zao la mchele litapungua bei” Lengo la Serikali mchele ushuke...
  7. JamiiForums Tanzania Zanzibar yapiga marufuku kuuza (ku-export) mchele na sukari nje ya visiwa hivyo

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetoa katazo la kusafirisha bidhaa za sukari na mchele nje ya Zanzibar kwenda nchi nyingine yoyote. Taarifa hiyo rasmi ilitolewa na Ofisi ya Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda visiwani humo, Omar Said Shaaban, tarehe 30 Januari, 2023. "Kwa kutekeleza...
  8. JamiiForums Tanzania Bashe tuletee majina ya wakulima waliouza mchele Tsh 3,500 kwa kilo tukupongeze kwa kumlinda mkulima

    Nimekuwa nikimsikia Bashe akijipata kuwa anawatetea wakulima wauze wanavyotaka kwani kilimo ni biashara. Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa naomba unitajie angalau majina ya wakulima 10 wwaliofanikiwa kuuza mchele sh 3,500 kwa kilo ili tuwafahamu twende tukajifunze kwao walivyotajirika kwa kilimo.
  9. JamiiForums Tanzania Kupanda kwa bei ya mchele, maharage, na sembe ni ishara kuwa sasa CCM inamajali mkulima

    Wakulima wa mazao hapa nchini wamekuwa wakiuza mazao yao kwa bei ya chini sana kuliko gharama za uzalishaji kwa sababu serikali iliwajali zaidi walaji wasio lima. Sasa serikali inageuza upande wa pili na kuwapa soko kubwa na la ushindani wakulima. Hatua hii imefanya bei ya mazo ya wakulima...
  10. JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Nimezunguka nchi nzima, hakuna sehemu wanauza mchele Tshs. 3,500 kwa kilo

    Kiongozi mkubwa wa CCM amewataka wananchi wapuuze uzushi unaonea mitandaoni kuwa mchele umefikia 3500 kwa kilo sababu yeye mwenyewe ametembelea masoko yote makubwa nchini na hajakutana na bei hiyo tajwa. Ameenda mbali zaidi na kudai Kuna kona kadhaa za nchi mchele upo hadi sh 1000 kwa kilo...
  11. JamiiForums Tanzania Bashe amewakuta Watanzania wananunua kilo ya mchele 1,800 sasa wananunua 3,500

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati anakabidhiwa Wizara ya Kilimo aliwakuta watanzania wananunua mchele Kilo 1,300 hadi 2,000 kulingana na ubora. Sasa hivi 2023 tunanunua kilo 3,500 ya Mchele alafu bado tunaamini Bashe ni Waziri mzuri wa Kilimo na anamsaidia vizuri Mh Rais Samia.
  12. JamiiForums Tanzania Huko ulipo mashineni mchele shingapi?

    Target yangu kubwa ni maeneo ya mpanda nataka nianze kufanya hii biashara kusafirisha kuleta huku nilipo (niwauzie wafanyabiashara wa huku jumla).. Naomba kujua bei ya mashineni ikoje? Au bei ya mpunga ikoje?
  13. JamiiForums Tanzania Mchele kilo Tsh. 3500, kweli?

    Najaribu tu kuwaza Kwa sauti. Nashindwa kuelewa hapa nipo Tanzania kweli au naota.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nauza mchele mzuri, nipo Dar es Salaam

  15. B

    JamiiForums Tanzania SMZ yaamriwa kulipa Tshs. 158bn likiwa deni la tani 39,900 za mchele

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar yatakiwa kulipa deni la shilingi 158bn la mchele wa tani 39,900 za mchele ulioagizwa mwaka 1985. Shauri hilo lilofikishwa mbele ya Mahakama ya Rufani na kampuni ya Laemthong Rice Co. Ltd, inadai kuwa imekuwa vigumu kupatikana kwa malipo ingawa bidhaa hiyo ili...
  16. JamiiForums Tanzania Namshauri Serikali iagize mchele nje mapema kabla mambo hayajaharibika

    Hali ya chakula ni mbaya sana kwa sasa! ikitokea upungufu wa sukari serikali huwa inaagiza nje, chakula kimepanda bei mara dufu! nyinyi mnaotembelea ma v8 hamjui chochote kuhusu hali hii, Jakaya aliagiza mchele China na Japani ,japo haukuwa mtamu lakini uliokoa sana kipindi kile! Bashe yuko...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu uingizwaji nchini mchele na sukari

    Kwa kupooza hii inflation iliyopo serikali iruhusu haraka kuingizwa kwa bidhaa hizo ili kutunusuru wananchi na hali mbaya ya bei za vyakula hasa nafaka. Ukifuatilia chanzo cha bei kupanda wanasema wafanyabiashara toka nje ndio wanaokuja kufuata mazao haya yaliwa huko vijijini na kusafirisha...
  18. JamiiForums Tanzania Bei za vyakula zapaa maradufu. Mchele wafika Tsh 3000/=, unga wa mahindi Tsh 2000/=

    Wakati bei za vyakula zikizidi kupanda katika maeneo mbalimbali nchini, wakulima wametaja sababu tatu za hali hiyo, wakiitaka Serikali kuingilia kati. Miongoni mwa sababu hizo, eneo ambalo wanataka Serikali iingilie kati ni kufurika kwa wanunuzi wa nafaka kutoka nje ya nchi. Sababu nyingine ni...
  19. JamiiForums Tanzania Bei kwa Kilo Moja. Mchele 3,500, Maharage 3,800

    Juzi nimelejea toka huko majuu niliko Kaa mda wa mwezi hivi. Niliacha Mchele ukiwa 2,800 kwa kilo. Mda huu niko dukani Bei ndio hizo hapo juu. Hii nchi hadi tufike January 2023 ambapo wakulima wataanza kuvuna tena tutakuwa tumechoka sana.
  20. JamiiForums Tanzania Naomba tujuzane bei za jumla za mchele

    Habarini wadau, Ningependa tujuzane juu ya bei ya mchele kwa bei ya jumla(bei ya mashineni) kutokea hapo ulipo. Mimi nikianza na hapa Morogoro ni Tsh: 600/=
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…