mchakato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mchakato wa kitambulisho Cha NIDA ukoje?

    Mwanzoni sikukitilia maanani kitambulisho Cha nida lakini baada ya kuona umuhimu wake nimeamua Leo nikakifuatilie Nimeenda kwenye ofisi ya mtendaji nimepewa fomu zote mbili nimejaza Mtendaji kaweka mihuri yake pale kanipatia fomu kaniambia nirudi jumatatu Sasa naomba kuuliza kwenu wazoefu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mchakato wa utoaji wa tenda ya kujaza gesi kwenye Mabasi ya Mwendokasi kwa Lake Oil ulikuwaje?

    Kampuni ya Lake Oil inatajwa kuwa mshindi wa tenda ya kujaza gesi kwenye magari yote ya mwendokasi yatakayotumia nishati ya gesi asilia. Tayari kampuni hiyo imeanza ujenzi wa vituo vya kujazia gesi katika maeneo mbalimbali ya Jiji, ikiwa ni maandalizi ya kuhudumia mabasi ya mwendokasi...
  3. JamiiForums Tanzania Mohamedi Saidi azungumzia mchakato wa kuivunja E.A Muslim Society na kuanzisha BAKWATA ya CCM

    https://www.youtube.com/watch?v=Vb7IeyvxrtE Mzee wetu Mohamed Said ameeleza historia ya chimbuko la BAKWATA. Amesimulia kwa kina mchakato wa kuivunja East African Muslim Society na kuanzisha BAKWATA chini ya Mwl Nyerere. Amesema ndicho chanzo cha chuki ya Nyerere dhidi ya Bibi Titi. Ameenda...
  4. JamiiForums Tanzania Ishu ya iran ilikuwa mchakato, yalianza mauaji ya binti aliekataa kuvaa hijabu, ikaja vijana wengi kukimbilia ukristo na US kuongeza vikwazo

  5. R

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa Uchukuaji fomu CCM za umeya Morogoro Waanza

    Mchakato wa kuchukua fomu za kuwania Umeya na Unaibu Meya wa Manispaa ya Morogoro kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) umeanza rasmi leo, ambapo wanachama mbalimbali wakiwamo viongozi wa kada na watumishi wa umma wamejitokeza kuchukua fomu. Miongoni mwa waliojitokeza ni Mwandishi wa habari Latifa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT Wazalendo: Mchakato wa uchaguzi uliharibiwa na tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC). Tutakwenda mahakamani

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimejipanga kuchukua hatua za Kisheria kwa kile wanachodai kuwa ni kudai haki ya ushindi walioupata katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kauli hiyo imetolewa na Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Profesa Omar Fakih, wakati...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Makamu wa Rais Nchimbi: Tanzania ipo salama, mazungumzo ya MARIDHIANO kuanza

    Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesisitiza kuwa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imechukua hatua madhubuti za kulinda umoja wa kitaifa na kuhakikisha wananchi wanaishi kwa utawala wa sheria. Kauli hiyo alitoa akiwa mwakilishi wa Rais Samia katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi...
  8. JamiiForums Tanzania Je tunaweza kuanza mchakato wa kubadili jina la taifa letu?

    Naona aibu Naona haya Naona soni Naona taabu Napata kigugumizi cha kujitambulisha kama Mtanzania baada ya haya yote yaliyotokea kwenye uchafuzi wa 2025.. Kuanzia kupika matokeo, wizi wa kura mpaka mauaji ya kutisha ya waandamanaji Wanaoitwa wasomi wametusaliti na kutufedhehesha mno.. Hata kama...
  9. JamiiForums Tanzania Mchakato wa katiba mpya ya warioba ilikuwa ni wake up call ila kama wananchi tuli-ignore tukahisi hautuhusu

    Kuanzia mwaka 2010 vuguvugu la katiba mpya liliongezeka maradufu kabla sijaendelea ngoja niongelee jambo flani Mungu kama kuna Jambo baya linakuja mbeleni kuna namna utapewa taarifa ufanye jambo mara nyingi inakuwa anaondoa amani hasa pale unapofikiria jambo flani ukignore madhara utakuja...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Account ya Akon yakutwa ipo mil 24 tu kwenye mchakato wa kugawana Mali na mke wake

    Mke wa msanii maarufu anayejulikana Kama Tomeka Thiam ambaye ni mke wa msanii maarufu wa R&B Akon ameenda kudai talaka mahakamani baada ya kuwa kwenye ndoa kwa miaka 29 akidai alipwe euro million 100 Kama fidia ya kuvunja ndoa yake na Akon. Katika mchakato wa kugawana Mali mahakama imekuta Akon...
  11. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sitisheni kampeni zenu, itisheni mchakato wa Katiba, maandamano ni kweli msipuuze

    Mimi ni miongoni mwa watu wa maono. Nimekwisha ona mbele kua maandamano yapo kweli,tofauti na watu wengi wanavyodhani. Watu wengi wanaishi kwa mazoea kudhani Watanzania ni waoga,la ha sha. Kila kitu kina wakati wake. Watanzania wamechoka na huu sasa ni wakati wake. Wala ishu sio Samaia,Bali...
  12. JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: Tusahau mchakato wa Uchaguzi, sasa tuungane kusaka Dola

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kwamba kazi ya chama hicho kwa sasa ni kuisaka dola kwani mchakato wa kura za maoni zilishapita hivyo hakuna sababu ya kuwa na mgawanyiko tena. Wasira ameyasema hayo Agosti 31, 2025 alipokuwa akizungumza na...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Wana CCM Kondoa Vijijini wataka mchakato wa kura za maoni urudiwe

    Wanachama wa CCM Kata za Bereko na Kisese, wilayani Kondoa, mkoani Dodoma, wameuomba Uongozi wa CCM Taifa, kurudia kura za maoni kwa nafasi ya Udiwani na Ubunge wa Jimbo la Kondoa Vijijini, wakidai uchaguzi huo uligubikwa na vitendo vya rushwa ili kutoa fursa kwa wananchi kupata kiongozi bora...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Babu Tale akipika Mrenda baada ya kushinda Kura za Maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini, Mashariki

    Babu Tale akipika ugali na mrenda, muda mfupi baada ya kutoka kwenye ofisi za chama Mvuha, siku moja baada ya kushinda kura za maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini Mashariki kwa kupata kura 5,318 dhidi ya Omar Tebweta Mgumba aliyepata 1,310.
  15. JamiiForums Tanzania Hela alizokuwa anamwaga Byabato katika Mchakato wa kura za maoni Bukoba Mjini , hii inaonesha kutumbuliwa kwake kama naibu waziri lazima kuna namna.

    Mchakato wa kutafuta Mgombea Ubunge Pale Bukoba Mjini uligubikwa na hujuma kutoka kwa Byabato . Pamoja na kwamba Byabato hakuwa sehemu ya wagombea Ila alikuwa akimwaga pesa ili kushinikiza Mbunge anayemtaka yeye na sio ambaye anakubalika na chama na wananchi. Swali la kujiuliza hizi Pesa...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe waliamsha Simanjiro wakidai Katibu anaharibu mchakato wa kura za maoni

    Mko wapi? Its now obvious kwamba hata huko CCM wanahitaji kufanya reforms Hapa hawa wananchi wanalalamika kwamba kuna rafu zimefanyika kwenye mchakato wa Uchaguzi ambapo huyo Katibu anatuhumiwa kucheza rafu
  17. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutoa matokeo ya mchakato wa kuteua mgombea ubunge wa CCM kwa kila jimbo.

    Ni vyema JamiiForums wakatoa updates hapa ili mambo yote yawe kwenye sufuria moja. Sina updates za uhakika mpaka sasa
  18. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mjimpya- Morogoro, wajumbe kuanza mchakato wa kuhesabu kura

    Msimamizi wa uchaguzi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Kheri Mkamba, leo ameongoza zoezi la kuanza kwa uchaguzi wa kura za maoni katika Kata ya Mjimpya, Manispaa ya Morogoro. Pichani Mkamba akionyesha sanduku la kura pamoja na kura ambazo bado...
  19. JamiiForums Tanzania Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yaanza mchakato wa upandikizaji wa moyo nchini

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeanza rasmi maandalizi ya kuanzisha huduma ya upandikizaji wa moyo, hatua hiyo imeelezwa kuwa inatarajiwa kuendelea kuiweka Tanzania kwenye ramani ya huduma za juu za moyo katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Akizungumza Julai 30, 2025 kuelekea...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Kada wa CCM Simiyu alalamikia mchakato wa kuteua wagombea, asema bila haki tutapata wabunge ambao si wazuri

    Wakuu Aliyekuwa mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Meatu mkoani Simiyu kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Godfrey Sitta Sukari, akitoa malalamiko yake dhidi ya viongozi wa Chama Mkoa na Wilaya akidai kuhusika kwao kuvuruga zoezi la uteuzi wa wagombea mkoani hapo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…