mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je angela kairuki hatakuwa mbunge tena baada ya kuteuliwa kuwa mshauri wa Rais

    Nimeona panga panga ya baraza la Mawaziri Kwa kairuki kutenguliwa na kupelekwa kuwa mshauri wa rais ikulu Sasa nauliz a nafsi yake ya ubunge wa kuteuliwa itakuwa pia umepoteza Lucas mwashamba hv bado hajateuliwa
  2. JamiiForums Tanzania Picha lilianzia pale Balozi wa Nchi dume alipoanza kufuatiliwa nyendo zake na yule Mbunge mustaafu

    Ilikuwa kila baada ya mda fulani wanatembeleana na kupiga ma picha picha kibao huku wapambe humu Jf wakimpamba eti anakubalika na wana ng'ambo pasi na kujua walikuwa wanaisanua sirikali na masinia yake. Kutano la kwanza lilipuuzwa. Kutano la pili na yaliyoendelea hakika yaliishtua sirikali na...
  3. JamiiForums Tanzania Wananchi wamfukuza Mbunge Angelina Mabula mkutanoni, hali yake mbaya jimboni kwa kutoleta maendeleo kwa wananchi

    Wana Ilemela wameamua ! Wamemfukuza mbunge wao Angelina Mabula katika mkutano wa hadhara, wananchi wamelalamika kwamba kwa miaka karibu kumi hakuna alichofanya. Mbombo ngafu! Ni dhahiri sasa Jimbo la Ilemela liko wazi.
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Miraji Mtaturu, Mbunge wa Singida Mashariki Akataliwa kwa kuzomewa na wananchi

    Wananchi wamemkataa Mbunge wa mchongo wa Jimbo la Singida Mashariki kwa Tundu Lissu.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kilombero amuomba Rais Samia kutazama upya bei ya ushuru wa mazao

    Mbunge wa Kilombero, Abubakar Assenga amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutazama upya bei ya ushuru wa mazao jimboni humo na kutozuia uvuvi wa samaki aina ya mlamukaliandili, ili kuondoa kero kwa wananchi. Assenga amesema hayo leo Jumatatu Agosti 5, 2024 katika mkutano wa hadhara ambao Rais...
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge Zaytun Swai Atimiza Ahadi Yake ya Milioni 12.5 kwa UWT Jiji la Arusha

    MBUNGE ZAYTUN SWAI ATIMIZA AHADI YAKE YA MILIONI 12.5 KWA UWT JIJI LA ARUSHA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Zaytun Seif Swai ametoa Shilingi 12.5 kwa UWT Jiji la Arusha ikiwa ni ahadi yake aliyotoa kwa kutoa Shilingi Laki Tano (500,000) kwa kila Kata ya Mkoa wa Arusha kwaajili ya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Samizi atembelea Gereza la Nyamisivyi Kibondo kuwaona wafungwa, atoa msaada wa sabuni na mifuko 100 ya simenti

    🗓️ 3 AUGUST 2024 🗒️ Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Jana ametembelea GEREZA LA NYAMISIVYI {W} Kibondo, lengo ikiwa ni kuwaona wafungwa na kuwapa sabuni kwa ajili ya mahitaji yao pamoja na kukabidhi Simenti mifuko 100 alizoahidi ikiwa ni moja ya kuunga mkono juhudi za...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Christina Mnzava Agawa Vifaa vya Michezo kwa Wanafunzi Shinyanga Vijijini

    MBUNGE CHRISTINA MNZAVA AGAWA VIFAA VYA MICHEZO KWA WANAFUNZI SHINYANGA VIJIJINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Dkt. Christina Christopher Mnzava amegawa vifaa vya michezo kwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kaselya iliyopo katika Kijiji cha Igegu Kata ya Mwamala Wilaya ya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia na Bunge lake wanatosha kwa Spika kutoliongoza Bunge kutengua kanuni muda wa Bunge uongezwe, na wabunge kutoomba muongozo wa Spika?

    Katika mkutano wa Mbunge Mpina na mawakili wake, moja ya jambo lilionishangaza zaidi ni madai kuwa Spika hakuliongoza Bunge litengeu kanuni ili wapitishe azimio la kuongeza muda wa kikao cha Bunge kilichopaswa kuisha saa 1:45 usku kama kanuni/taratibu za vikao vya Bunge zinavyotaka. Yaani...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Ummy afanya mkutano wa hadhara kata ya nguvumali.

    #OdoUmmyJimboni #SamiaMitanoTena ---- MBUNGE UMMY AFANYA MKUTANO WA HADHARA KATA YA NGUVUMALI. Mbunge wa Tanga Mjini Mhe Ummy Mwalimu tarehe 27/07/2024 amefanya Mkutano wa hadhara kata ya Nguvumali kwa ajili ya kueleza Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa kipindi cha 2020 - 2025...
  11. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyekuwa Mbunge wa CCM Mbarali afunguka mazito "Wamenipiga fitina nzito"

    27 July 2024 Ubaruku, Mbarali Tanzania Mbunge : Chama dola kongwe kina michezo michafu ndani ya CCM , awekwa bayana .... Modestus Dickson Kilufi fomu za ugombea ubunge ziliporwa na mgombea asiyejulikana... Modestus D. Kilufi asema CCM haipendi mtu msemakweli na aliyemchapa kazi na aina hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shabiby: Mkipewa Uwaziri mnaanza kuweka mipango ya kuwa Rais

    Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby amesema “Ubaya wenu nyie mawaziri mkishapewa Uwaziri mnajiona mnaweza kuwa Rais, naacha kazi za Uwaziri mnaanza mipango ya kuwa mtakuwaje Rais, mnasahau aliyekuteua amefanya hivyo ili ufanye kazi zake akupende, umtumikie yeye.” Amesema hayo katika mkutano na...
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge Aysharose Mattembe Ashiriki Baraza la UWT Wilaya ya Singida

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe alishiriki na kuwa mgeni rasmi katika Baraza la Kikanuni la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) katika Wilaya ya Singida DC. Akizungumza katika Baraza hilo, Mhe. Aysharose Mattembe alisisitiza mambo yafuatayo ikiwemo...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Wambura Chege: Sitarudi Nyuma, Nimechaguliwa na Wananchi, Lazima Kuwatumikia

    MBUNGE WAMBURA CHEGE: "SITARUDI NYUMA, NIMECHAGULIWA NA WANANCHI LAZIMA KUWATUMIKIA" "Tumezaliwa tunazungumzia changamoto za Madaraja, Maji na maeneo mengine. Nimeamua kujikita kwenye shughuli za Maendeleo lakini kuna watu wanapita kutafuta namna ya kutugawa. Naomba tushirikiane tushikamane...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Oliver Semuguruka: Wanawake Chukueni Fomu Mgombee Uchaguzi Serikali za Mitaa

    MBUNGE OLIVER SEMUGURUKA: WANAWAKE CHUKUENI FOMU MGOMBEE SERIKALI ZA MITAA Kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajia kufanyika mwezi Novemba mwaka huu, Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kagera (CCM), Mhe. Oliver Semuguruka amewataka wanawake wilayani Ngara kujitokeza kuchukua fomu za...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde Aahidi Ujenzi wa Kivuko Kinachounganisha Kata ya Msalato na Miyuji

    MBUNGE MAVUNDE AAHIDI UJENZI WA KIVUKO KINACHOUNGANISHA KATA YA MSALATO NA MIYUJI Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde akiongozana na Diwani ya Kata ya Msalato Mh. Nsubi Bukuku kukagua eneo la kivuko kinachotakiwa kujengwa katika Mtaa wa Senje kuunganisha kata ya Msalato na...
  17. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk aandika barua ya kujiuzulu Ubunge

    Mbunge wa kuteuliwa na Rais na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amemuandikia Spika wa Bunge la Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson barua ya kujiuzulu Ubunge leo Jumapili tarehe 21 Julai, 2024.
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge Tauhida Gallos Atoa Wito kwa Wajasiriamali Kushirikiana na Kubuni Mbinu

    MBUNGE TAUHIDA GALLOS: WAJASIRIAMALI SHIRIKIANENI NA KUBUNI MBINU Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi Mhe.Tauhida Gallos amewataka wajasiriamali kushirikiana na kubuni mbinu mbalimbali zitakayoweza kuwaletea maendeleo katika familia zao. Mhe. Tauhida ameyasema hayo huko Mazizini mara...
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge Nancy Nyalusi: Serikali Imeleta Bilioni 1.8 ya Miradi ya Maendeleo Kata ya Kising'a, Iringa

    MBUNGE NANCY NYALUSI: SERIKALI IMELETA BILIONI 1.8 YA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA KISING'A, IRINGA Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa, Mhe. Nancy Nyalusi amezungumza katika Kata ya Kising'a Wilaya ya Iringa na amewataka wananchi kutembea kifua mbele na kujivunia uwepo wa Serikali sikivu...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge Assa Makanika: Kigoma Kuunganishwa kwenye Grid ya Taifa kwa Njia Sita za Umeme

    MBUNGE ASSA MAKANIKA ATOA MSISITIZO KWA MABALOZI KUHAKIKISHA WATU WANAJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Mhe. Assa Makanika akiwa katika ziara yake ya kuzungumza na Mabalozi wote wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo lengo ikiwa ni kuhamasisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…