mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Wa Temeke akiwasilisha Utekelezaji wa Ilani Kata ya Keko

    Mhe Dolothy Kilave katika utekelezaji wa majukumu yake Jimboni
  2. JamiiForums Tanzania Mh Gwajima Mbunge wa Kawe umefikia wapi kuhusu hii ahadi yako ?

    https://www.facebook.com/share/r/14jspCwC7r/
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Ushetu: Wazazi na walezi wekezeni kwenye elimu ya watoto ili kuandaa watumishi wa baadaye watakaolisaidia taifa

    Wazazi na walezi katika Halmashauri ya Ushetu Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwekeza kwenye elimu ya watoto wao ili kuandaa Watumishi bora wa baadaye watakaoisaidia jamii na taifa kwa ujumla. Rai hiyo imetolewa leo Machi 21, 2025 na Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel...
  4. JamiiForums Tanzania Marekani: Mbunge Mwanamke Kutoka Republican Afariki

    Mia Love, mbunge wa kwanza mwanamke mweusi wa chama cha Republican nchini Marekani amefariki akiwa na umri wa miaka 49 huko Utah, imetangaza familia yake. Taarifa hiyo imesema, aliaga dunia kwa amani siku ya Jumapili, akiwa amezungukwa na familia nyumbani kwake huko Saratoga Springs. Love...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Bukoba Vijijini: Serikali imetoa bilioni 106.4 kutekeleza miradi ya maendeleo

    Serikali imetoa Sh bilioni 106.4 kufanikisha miradi ya maji, afya, barabara, umeme na elimu katika jimbo la Bukoba Vijijini mkoani Kagera kwa kipindi cha miaka minne, Mbunge wa jimbo hilo, Jassoni Rweikiza anasema. Akizungumza jana katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Makamu Mwenyekiti wa...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wa kijiji cha Manga, Bumbuli wamemshukuru mbunge january Makamba kwa kutatua changamoto ya maji

    Wananchi wa kijiji cha manga kata ya funta halmashauri wilaya ya bumbuli wamemshukuru mbunge wa jimbo hilo january Makamba kwa kutatua changamoto ya maji iliyokuwa ikiwakabili Hayo yamejiri wakati wa zihara ya mbunge wa jimbo hilo ambapo wananchi wamesema walikuwa wakifuata maji umbali mrefu...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Jimbo la Pangawe Wananchi wako wanadai umewatupa

    Wakazi wa Tawi la Mnarani, Jimbo la Pangawe, Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Dimani, Unguja ni kama hawana tawi licha ya kwamba lipo na Wananchi wanalijua. Nina mzee wangu ambaye yupo hapo analalamika kuwa jengo ambalo wamepanga kodi iliisha tangu Desemba 2024, lakini kinachowasikitisha...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri wa Wananchi wa Jimbo la Moshi Manispaa kwa Mbunge wao

    Wananchi wa Jimbo la Moshi kwa ujumla wamewasilisha maoni yao kuhusu uongozi wa mbunge aliyepo madarakani. Wameeleza wasiwasi wao na kumshauri asichukue fomu kuomba kugombea tena ubunge kupitia CCM. Sababu za ushauri huu ni nyingi na zinaashiria kutokubalika kwa mbunge huyo katika jamii...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge Koka: Walimu chaguaeni viongozi wenye uwezo wa kuwapambania badala ya kujihusisha na harakati zisizokuwa na tija

    Mbunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, Sylvestry Koka, amewataka walimu kuchagua viongozi wenye uwezo wa kuwapambania na kudai maslahi yao badala ya kujihusisha na harakati zisizokuwa na tija kwa maendeleo yao. Koka ametoa kauli hiyo alipokuwa akifungua Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama cha Walimu...
  10. JamiiForums Tanzania Tatizo la muda mrefu katika mfumo wa elimu wa Tanzania, wanasisasa sasa wanabuni Upya Elimu ya Ufundi ( VETA) kwa watoto wa Maskini

    Karibuni, kauli ya Waziri Mkuu kuhusu wahitimu wa digrii kwenda VETA (Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi) imeanzisha mjadala mkubwa. Hali hii inaonyesha tatizo la muda mrefu katika mfumo wa elimu wa Tanzania: mtaala ambao umekuwa mbovu kwa miaka mingi. Tatizo kuu linatokana na kushindwa...
  11. JamiiForums Tanzania Yupo wapi Mtulia aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni 2015-2020 , watu wanataka kujua maendeleo yake ya Afya maana kuna ile karma ya Akwilina je imemrudia?

    Huyu Jamaa anaitwa Mtulia aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni 2015-2020. Mwaka 2017 alijiuzulu ubunge na akahamia Ccm . Wakati wa uchaguzi mdogo chadema walinyimwa viapo kwa mawakala wake. Na ndipo waliandamana na mwisho kikatokea kifo cha Akwilina. Naomba kujua ile dua na karma imeshamfikia...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Handeni Mjini: Tunautaka umeme wa Ethiopia, hata Marekani wananunua umeme nje

    Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini (CCM) Kwagilwa Rubeni, amesema kuwa wabunge na wananchi wa ukanda wa kaskazini wanaunga mkono uamuzi wa serikali wa kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia Kenya, kwani baadhi ya maeneo ya kanda hiyo hayana vyanzo vya kutosha vya umeme. Akizungumza na wanahabari...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Handeni Mjini: Tunautaka umeme wa Ethiopia, hata Marekani wananunua umeme kutokea nje

    Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini (CCM) Mhe. Kwagilwa Rubeni, amesema kuwa wabunge na wananchi wa ukanda wa kaskazini wanaunga mkono uamuzi wa serikali wa kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia Kenya, kwani baadhi ya maeneo ya kanda hiyo hayana vyanzo vya kutosha vya umeme. Akizungumza na...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jimbo likiwa kubwa kinachohitajika ni kuligawa ili apatikane Mbunge mwingine au kinachohitajika ni kuongeza bajeti ya kulihudumia hilo jimbo?

    Wakuu , naomba kupata ufafanuzi wa kitaalamu . Ikiwa Jimbo ni kubwa je kinachohitajika zaidi nini kati ya haya. Tume ya huru ya uchaguzi -kuligawa jimbo . Au serikali kuelekeza bajeti kubwa ya kulihudumia hilo jimbo? Maana ikiwa tutaligawa Jimbo maana yake tunaenda kuongeza idadi ya wabunge...
  15. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Moshi mjini, ⁨Priscus Tarimo amekuwa mtu wa mwanzo kuleta maajabu ya maendeleo Moshi mjini

    Mbunge wa Moshi mjini MH.PRISCUS TARIMO @⁨Priscus Tarimo B⁩ amekuwa mtu wa mwanzo kuleta maajabu ya maendeleo Moshi mjini... Haikuwa rahisi kwa chama kumpa ridhaa mtu ambaye hajawahi kuwa kiongozi wa kada yoyote ndani ya CCM na ambaye walitazama sifa zake wakaona ni mbovu hazifai kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Deo Mwanyika, Mbunge Njombe Mjini anasema alitumia fedha zake binafsi Milioni 400 katika miradi ya maendeleo, wanazitoa wapi hizi fedha?

    "Nikajifanyia tathmini mimi mwenywe kwamba hivi mimi Mbunge mchango wangu ni upi kwenye kuhakikisha kwamba mambo mengi yanafanyika na kwakweli nilimuambia Mke wangu nasoma hapa asisikitike maana yake hela hizi ni za familia, Njombe mumshukuru maana nayasema naye amekubali anataka tuendelee kutoa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge adai Masasi hawana shida ya vitabu shuleni

    Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Masaai amewashambulia wanaodhaniwa kuwa ni watia nia. Mbunge huyo amedai kuwa watu wastaafu hawapaswi kugombea ubunge. Akiongea katika mkutano na wananchi amedai kuwa mbunge anatakiwa awe kijana mwenye kuweza kukimbia kimbia, hivyo yeye ndio anafaa. Aidha...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Tukiwa Tunaelekea Uchaguzi Mkuu: Ni Yapi Majukumu ya Mbunge?

    October mwaka huu watanzania watawachagua viongozi watakao pewa dhamana ya kuongoza nchi hii kwa miaka mitano (2025 - 2030). Wale wataochaguliwa watakuwa wataunda mihimili ya serikali na bunge na wana influence kubwa pia kwenye mahakama. Kuyafahamu majukumu ya Mbunge huenda itasaidia vyama...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Geita mjini: Anayetumia gharama kubwa kutafuta uongozi ni mwizi

    Mbunge wa jimbo la Geita mjini Constantine Kanyasu amesema mtu anayetumia pesa nyingi kutafuta uongozi maana yake anatarajia kuiba baada ya kupata uongozi huo. Hayo ameyazungumza Machi 8, 2025 akiwa kwenye kikao cha ndani Cha Halmashauri kuu ya CCM tawi la katoma kata ya Kalangalala mjini...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Geita Mjini, Constantine Kanyasu, atoa msaada wa kumpyuta zenye thamani ya milioni 9 Shule ya Sekondari Ihanamilo

    Mbunge Kanyasu Akabidhi Kompyuta zenye thamani ya Tsh Mil 9. Geita - Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Constantine Kanyasu, ametekeleza ahadi yake kwa uongozi wa Shule ya Sekondari Ihanamilo kwa kukabidhi kompyuta tano zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni tisa. Akizungumza wakati wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…