Awali tuliona nguvu kubwa inatumika kudhibiti Watu wasiingie mahakamani.
Tukashuhudia Majaji wakitoa hukumu zilizo kinyume kabisa na mwenendo wa kesi na baada ya kutoa hukumu hizo wakapandishwa vyeo
Switch za ukutani tukaambiwa zimeharibiwa kudhibiti umeme usipatikane
Tukashuhudia ubunifu wa...
Ukifuatilia kesi inavyoendelea yapo Mambo makuu matatu unayabaini kuhusu shahidi wa Jamhuri SP Jumanne. Kwanza, swali kwamba anatoka kabila gani na kujibu kwamba ni Msukuma Lina maswali mengi hasa likiunganishwa na awamu iliyopita pamoja na ukweli kwamba kituo chake pamoja na kuwa Arusha alipewa...
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 11/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea.
Kufahamu ilipoishia, soma hapa: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Januari 10, 2022. Shahidi namba 8 aendelea kutoa ushahidi. Kesi imeahirishwa hadi kesho 11/01/2022
Ungana nami katika uzi huu...
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 10/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea.
Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani.
Picha: Baadhi ya watu waliohudhuria mahakamani
Updates
Jaji ameingia Mahakamani Muda huu Saa 4 kamili
Kesi namba 16 ya Mwaka 2021...
Kwenu makamanda watukuka mnaoyaweka matumaini yetu ya kesho bora kuendelea kuwa hai.
Kwa mara nyingine, pamoja na kutotegemea dodo kwenye mnazi, wale tutakaoweza tukutane mahakamani "Law School of Tanzania," kesho.
Ikumbukwe mheshimiwa Jaji Tiganga ikimpendeza, analo angalizo letu la wazi...
Kudandia masuala ya mpito kunaigharimu Chadema kila siku.
Mtifuano wa Spika Ndugai na mkuu wake wa nchi kunawafanya Chadema kushupalia hii mtifuano.
Wanasahau kuwa kama chama wao wanamatatizo makubwa mno maana mwenyekiti wao na mentor wao wa kila kitu yupo nguvuni. Na kwa yeye kuwa nguvuni...
Fimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka.
Lissu kutuma salamu za mwaka mpya huku akiwa na nafasi ya kuja Tanzania ni kuwasaliti Watanzania. Maana hata tangu Mbowe akamatwe Lissu yupo huko mamton na hata hajajiyokeza kuja kumsaidia mahakamani.
Sasa hili la kutuma salamu za mwaka mpya huku akiwa...
Mwenyekiti yupo ndani kwa kesi ya kubumba. Yupo ndani na anahitaji sapoti yetu kwa kila namna. By any means necessary.
Leo hii kila mwanaCdm anakomaa juu ya Spika Ndugai kuponda mikopo, tunakomaa juu ya Sgr kujengwa kwa mkopo.
My take; Tushikamane na tuache uashabiki.
Mengi yameongelewa kwenye kesi hii ya Mbowe na tuhuma za ugaidi (wao wanasema makosa ya ugaidi). Kesi hii imevuta mahakama tatu, na mbili kati ya hizo zimeshatoa hukumu ni moja tu ndio bado haijatoa hukumu kama ifuatavyo.
1. Mahakama ya uhujumu uchumi
Mahakama hii inaongozwa na inasikilizwa...
Nipo Afrika Kusini Kwa mapumziko ya uzee ila pia kuangalia Dunia inavyoendeshwa Katika maeneo mbalimbali ya Dunia. Hapa Afrika Kusini limetoka tamko la kuzuia kuuzwa Kwa funguo za chmba alichokuwa anaishi Mzee Mandela gerezani. Funguo hiyo imepangwa kupigwa mnada na wazungu huko ulaya Tarehe...
Wana jamvi,
Ttaarifa za hivi punde ni kwamba, Wilfred Lwakatare Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA ameshinda kesi iliyokuwa inamkabili. Mahakama imetupilia mbali tuhuma zote kwakujiridhisha kuwa ni zakupika hivyo mpaka sasa Lwakatale yupo huru.
Lwakatare achomoka kesi Ugaidi | East...
Pamoja na mapungufu yake yote, Mzee wa Upako ni mmoja wa viongozi wachache wa dini waliojitokeza hadharani kukemea kitendo cha wewe kuwekwa ndani bila kujali gharama anayoweza kulipa kwa uamuzi wake huo.
Hivyo, Mheshimiwa Mbowe, katika kuonyesha shukrani zako kwa vitendo, nakushauri Jumapili...
Hivi serikali ikifuta kesi ya Mbowe peke yake Chadema watafanya nini? Watamshauri Mwenyekiti kiti wao asikubali kutoka mpaka wakina Adamoo nao waachiwe? Au watasema atoke ili awaongoze kupambania uhuru wa wanachama wenzake ambao bado wako mahabusu?
Amandla...
Maneno ya hekima na busara kutokea kwake Mwalimu Lwaitama:
Kwa hakika hayupo asiyejua kuwa kesi ya Mbowe ni ya kubumba.
"Sasa anapohitaji kuaminiwa, labda kama ni kuaminiwa anataka kumnyazisha Mh. Mbowe?" -- Lwaitama.
Barikiwa sana Mwalimu Lwaitama. Hekima na busara zako ni inspirational...
Shalom from Jerusalem,
Licha ya ukweli kwamba Rais Samia alikuwa kwenye utawala wa dikteta Magufuli alikuwa na nafasi kubwa sana ya kubadilika na kusimamia matakwa yote ya demokrasia na kuheshimu sheria kwa ustawi wa nchi lakini amejiharibia kuendelea kukomaa na kesi ya kubumba dhidi ya Mbowe...
Kwamba Laigwanan, Aboubakar Mbowe kapokea ugeni mzito huu mahakamani:
Kwa hakika mtenda mema hajifichi.
Tunayo mengi ya kujifunza kutoka kwa mja wake mola huyu.
Eeh mola wetu umpishilie mbali mabalaa yote mtumishi wako huyu.
Hata tutakopoonana naye tena - ndugu yetu huyu katika mapambano...
Yaani nchi hii tumefikia level ya juu sana ya uonevu. Hivi kweli Mbowe huyu aliyeshitakiwa Dar es Salaam, inaingia akilini kweli afanyie mipango yote Wilayani Hai tukio la nchi nzima bila kua na ofisi zavuratibu mkoa wowote kati ya ile iliyotajwa kama vile Moro, Dar, Arusha, Mbeya...
Tokea tarehe 16 hadi 18 jana huko Dodoma kulikuwa na vikao vikuu vya CCM tena vikiongozwa na Rais wa Nchi ambaye ni kiongozi wa hicho chama.
Ajabu tofauti na vikao vya huko nyuma vya CCM hivi vya sasa havina mvuto na hamasa kama zamani.Yaani vimepoa kuzidiwa hata na umaarufu wa Mbowe aliyepo...
1. Ugeni kwenye kiti cha Urais.
Kule kuingia ghafla kwenye kiti cha juu cha Urais kulimfanya Mama awe distabilized mentally kwa kiasi chake. Infact, kisaikolojia hakuwa okay maana ni Jambo la ghafla sana. Hivyo kujikuta maamuzi yake kutokuwa na base kubwa ya mizizi. Mentally alikuwa vulnerable...