mbowe

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu anaenda kumshinda Mbowe kwenye huu uchaguzi

    Sabato Njema Wakuu! Uamuzi wa Mbowe ni sahihi kwa HAKI yake ya kikatiba ila kwa heshima sio uamuzi sahihi. Kwani kushindwa kwake haitakuwa Jambo la kufurahisha na Jambo la heshima. Kustaafishwa kwa kuangukia pua haitakuwa historia nzuri kwa Mhe. Mbowe. Nina uhakika Lisu atamshinda Mbowe kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mbowe ametoa masterclass (darasa kuu) ya siasa za upinzani Tanzania leo. Historia itamsema vizuri

    Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na maswali ya waandishi wa habari aliyoyajibu leo ni masterclass ya siasa za upinzani katika nchi yetu. Kuongoza upinzani sio oya oya kama wengi wanavyodhani, kunahitaji utulivu akili, uvumilivu, maturity na busara kubwa sana. Baada ya...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!

    Wanabodi, Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza! Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road, Tundu Lissu ndio kwishney ndani ya Chadema! Je, ataendelea kugombea hadi atoswe kwa kupata kura moja...
  4. JamiiForums Tanzania Mbowe, Damu za Watanzania zilizomwagika miaka 20 hazitakuacha salama

    Nayasema haya kwa uchungu mkubwa Damu za Watanzania zilizomwagika kuanzia Chacha wangwe, Mwangosi, Akwilina, Ben Saanane, Alphonce Mawazo, Ali Kibao, risasi alizopigwa na kuumizwa Tundu Lissu huku ukijua kabisa Chadema sio chama Cha upinzani nakuhakikishia you will pay. Kuharibu maisha ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kama Mbowe atashinda uenyekiti, nitaacha rasmi siku hiyo hiyo ku-support CHADEMA

    Habari ndio hiyo toka kwa mie Kagoshima. Tusichoshane. Japo nimewahi kuwa na kadi ya ccm chuoni kama fashion, Sijawahi kuunga mkono chama kingine zaidi ya chadema.. mwisho wangu itakua siku huyu kinga'nganizi wa Madaraka atakaposhinda uenyekiti. Naacha rasmi
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Sikumuogopa Magufuli aliyekuwa na majeshi na silaha mpaka za kuua, sasa nimuogope Lissu kwa lipi?

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman A. Mbowe amesema hamuogopi Lissu ambaye anagombea nafasi ya kuwa mwenyekiti wa chama hicho. Amesema hakumuogopa Magufuli aliyekuwa na majeshi na dhamira ya kuua amesema Lissu hana cha kumtisha. Anasema Lissu ni kuongozi mwenzake na wamepitia mengi, hawawezi...
  7. JamiiForums Tanzania Mbowe miongoni mwa wasaliti wa Vyama vya upinzani wa kweli kuwahi kutokea

    Wanaomfuatia ni pamoja na Lipumba. Subirini mtaona mengi.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka wa kuachana na CHADEMA ya Mbowe. Mimi najitoa rasmi

    Naomba kutamka rasimu kuwa sina imani tena na Mbowe na ni wakati sahihi wa mimi kuachana na CHADEMA ya Mbowe(labda Lissu ashinde). Sitaraji uchaguzi wa haki katika kwa nafasi ya Mwenyekiti na ninaona kila dalili ya Mbowe kuwa mamlulki wa CCM kwenye hiyo nafasi. No wonder tunasoma mitandaoni...
  9. JamiiForums Tanzania Hongera sana Mbowe kwa msimamo wa kubaki CHADEMA. Tambua kuwa mpango wa kukuondoa ulikuwa kuua Chama. Nashkuru umegundua hilo

    Hongera sana Mh Mbowe kwa msimamo wa kiume wa kubaki CHADEMA, tambua kua mpango wa kukuondoa wewe ilikuwa kuua chama nashkuru umegundua hilo. Mh Mbowe hongera sana ufahamu wako umefunguka kama nilivyokuombea. Mh Mbowe mpango wa kukuondoa CHADEMA ilikua kuua chama kwasababu Lissu ni mharibifu...
  10. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Mojawapo ya faida ya maridhiano ni kununua jengo Mikocheni la Tsh Bilioni 1 na laki 6 taslimu

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo, Mbowe amesema kuwa mojawapo ya faida ya maridhiano ni chama hicho kununua jengo lao la Bilioni 1 na laki 6 ambalo liko Mikocheni. Mbowe amesema kuwa kupitia maridhiano na Rais Samia, CHADEMA waliweza kuanza kuchukua ruzuku ambazo ndizo zilitumika kununua jengo...
  11. JamiiForums Tanzania TBC wanaratibu kila kitu kwenye press ya Mbowe why?

    Toka lini watu waliokuwa hawawezi hata kutangaza habari za chama miaka zaidi ya 20 nyuma Leo wanaratibu press ya Mbowe?? Hapa ndio naamini 100% mbowe ni tapeli na sio mpinzani kabisa Poleni watanganyika.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Hekima hii ya Mwalimu Nyerere, Ikuongoze Mhe. Mbowe

    Mwalimu Nyerere miaka ile 1995 alipoona sarakasi za siasa zenye lengo la kuidhoofisha Nchi, aliingia ulingoni na akawatamkia wapinzani kina Marehemu Mrema, maneno yafuatayo:- " I cant go to sleep in Butiama and let my country go to dogs" Ni wazi CHADEMA imekuwa hivi ilivyo kwa mchango wako...
  13. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe anaongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari nyumbani kwake Mikocheni, Dar es Salaam

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda wake, Freeman Mbowe, ataongea na Wahariri wa Vyombo vya habari (si waandishi wa kawaida) Mwamba ataongea na Wahariri hao nyumbani kwake Mikocheni, Dar es salaam. Mimi Mtumishi wenu nitakuwepo ili kuwapa Taarifa ya kila...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Propaganda ya Mbowe na Lissu imeongeza umaarufu wa CHADEMA kuelekea uchaguzi Kwa haraka sana!

    Hellow! Naona CHADEMA imeamua kutumia njia hii ya propaganda Ili kusababisha iteke tena mijadala yote kisiasa na vinywa vya watz baada ya kuepuka kifo Awamu ya Magu. CHADEMA imefanikiwa Kwa wiki hizi chache kurudisha umaarufu wao haraka kuelekea uchaguzi. Na propaganda hii inaenda...
  15. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Mbowe ndo GOAT , Greatest of all time katika siasa za upinzani

    Mbowe ili uendelee kuwa Greatest of all time , usigombee Cheo chochote hapo Chadema. Taifa litakukumbuka Kwa Mambo mengi. Linda heshima yako usikubali kudanganyika . Umri wako Heshima yako Financial status Haya mambo yote yapo vizuri Sana kwako jaribu kuruhusu akili Mpya kuiongoza Chadema...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Kosa la Mbowe ni kumshauri Wenje kupambana na Lissu, kwa hasira Lissu akampandia juu. Uamuzi ambao nauona sahihi kwake hata akishindwa

    Ulitafakari kwa makini baadhi ya sentwsi na sababu za Lissu kuamua kuachana na umakamu hoja ya msingi kaificha. Lakini ukweli uliojificha ni hasira zake dhidi analoamini lina kiburi cha fedha za Abdul na mama yake kutaka kumpora cheo ndani ya chama. Lissu aliamini kabisa akishindana na Wenje...
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Huenda mgombea uongozi anaepewa nafasi kubwa zaidi ya ushindi wa uchaguzi wa chadema taifa kuwekewa vikwazo vya kimataifa

    Inasemekana chimbuko la yote hayo ni joto la uchaguzi wa ndani ya Chama Cha ha Demokrasia na Maendeleo Chadema, ilogawanyika, na kutokuwapo kabisa uwezekano wa wengine kushinda nafasi hiyo. Bado haijajulikana ni zipi hasa sababu za hali hiyo ambayo inayodaiwa kuchochewa na influence na access...
  18. JamiiForums Tanzania Mbowe hata akishinda atakuwa kama ameshindwa tu.

    Bila shaka umewahi sikia kuhusu msemo Pyrrhic Victory. Msemo huo unamaanisha ushindi uliopatikana kwa gharama kubwa kiasi kwamba umekuwa sawa na kushindwa. Miaka kama 300 kabla ya Yesu mfalme mmoja wa ufalme mdogo wa Kigiriki aliyeitwa Pyrrhus alipigana na Waroma. Alishinda vita ila alipoteza...
  19. JamiiForums Tanzania Maelezo ya Wenje yamenyooka zaidi kuliko tuhuma za Lissu! Huenda Mbowe bado ni mtu sahihi zaidi kuongoza CHADEMA

    Nimesikiliza maelezo ya Ezekiel Wenje aliyetuhumiwa na Lissu kumpeleka Abdul kumuhonga pesa, ukiniuliza mimi naona maelezo ya Wenje yamenyooka sana kuliko tuhuma alizokuwa anarusha Lissu dhidi ya watu anaodai wamehongwa. Swali ambalo limebaki sasa ni kwamba Lissu anafanya mambo haya kwa sababu...
  20. JamiiForums Tanzania Wenje: Lissu alimsingizia Mbowe kahongwa magari mawili

    Wakuu, Akiwa anazungumza hivi karibuni kwenye mahojiano na wanahabari Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria Ezekiel Wenje alimvaa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu kwa uchonganishi na kumsingizia Freeman Mbowe kuhongwa magari mawili Wenje amedokeza Mbowe alinunua magari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…