mbowe

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jinsi Freeman Mbowe anavyoenda kumfuta Lissu kwenye siasa za Tanzania

    Freeman Mbowe ndio mwanasiasa wa upinzani mahiri kuwai kutokea tangu Tanzania iumbwe, anaebisha ilo ni mjinga. Amewaacha mbali sana wanasiasa wote wa upinzani mtu pekee aliyekuwa anamkaribia Mbowe ni Maalim Seif. Ni mwanasiasa wa mfano na role model kwa kuwa anaweza kukusanya pesa na raslimali...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Freeman Mbowe kukacha mdahalo wa Januari 18, 2025

    Hizo ndizo habari toka mezani kwa Team Mbowe ya kwamba mtu wao huyo hatoshiriki mdahalo huo. Chama cha watu wanaokwepa midahalo kinajulikana Je, ndugu yetu pia kasajiliwa kimya kimya? Happy New Year 2025 in advance
  3. N

    JamiiForums Tanzania Habibu Anga: Yericko Nyerere ameniibia makala zangu Facebook huyu dogo ni mweupe na hana Elimu yoyote kama kama ilivyo kwa Mbowe

    Kumbe Yericko Nyerere na makaratasi yake yale anayoyaita vitabu kama alivyosema Dkt Lwaitama anaibaiba huku na kule kazi za watu na kujifanya msomi wa mambo ya Ujasusi na mshauari wa Mbowe wa kumtukana ovyo Tundu Lissu. Genge linalomuunga mkono Mbowe ni la watu wa ajabu ajabu sana ndio...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Chadema haijawahi kuwa na M.kiti, nje ya Familia ya Mbowe, Hawezi kuvunja mwiko

    Nataka watu watambue kuwa , Toka kuanzishwa Kwa Chadema ambacho ndio chama Cha ukombozi, haijawahi kutokea chama hili kikawa na Kiongozi Mkuu ambaye c mwana familia wa Chadema. Hivyo Mimi naona kwangu itakuwa mtihani mkubwa Kwa Mbowe kuvunja mwiko uliowekwa na waasisi wa Chama hicho, Moja ya...
  5. O

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe ametulia, hajibu tuhuma anazitupiwa na watu wasiompenda. Hii inaonesha hekima na busara ya uongozi

    Habari za Dominika wapendwa. Nakwenda kwenye mada. Naona Mwenyekiti Freeman Aikaeli Mbowe ametulia. Hajibujibu tuhuma anazitupiwa na Watu wasiompenda. Hii inaonesha hekima, busara, uongozi uliotukuka. Bila shaka wajumbe wa Mkutano Mkuu ndiyo waamuzi siku ya kura Kwa kuwa majibu yatapatikana...
  6. JamiiForums Tanzania ONESMO MUSHI; Mbowe alipotangaza maandamano alijikuta na watoto wake na waandishi wa habari mkifanya masihara nextime hata hao waandishi hamtawaona

    BARUA YA WAZI KWA WAJUMBE WA CHADEMA WA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI JAN21. Ndugu Wajumbe, Mara ya mwisho Mwenyekiti freemanmbowetz alipotangaza maandamano alijikuta peke yake barabarani na waandishi wa habari pamoja na watoto wake tu hata hao wanaosema mitano tena hakuwepo hata mmoja. Sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Kiwango cha juu cha Elimu ya Menyekiti anayemaliza muda wake CHADEMA

    Mwenye kujua kiwango cha juu cha Elimu ya Mwenyekiti anayaliza muda wake CHADEMA
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mpambano wa Freeman Mbowe na Tundu Lissu: Wajue wagombea hawa wawili

    Ilikuwa kama utani na ilianza tetesi kwamba Tundu Lissu ameamua kupambana na Mwenyekiti wake ili kumpata kiongozi mpya atakayekiongoza chama hicho kwa miaka mitano ijayo Sasa ni rasmi mafahali hawa wawili wameingia ulingoni ili kuamua ugomvi wao kupitia sanduku la kura. Freeman Mbowe...
  9. JamiiForums Tanzania Askofu Mpemba: Kwa Mbowe uenyekiti ni muhimu kuliko malengo ya CHADEMA

    https://www.youtube.com/watch?v=5zmBG-wfUTU Kwa kweli Mbowe anashangaza na kusikitisha sana. Maneno haya mazito na marahisi yametolewa na Askofu Mpemba huko ughaibuni. Unamuuliza Mbowe kama lengo la chama ni kushika dola na yeye ameshindwa kutimiza lengo, kisha akatokea mtu ambaye anaweza...
  10. JamiiForums Tanzania Kama Tishio ni Lissu, Mbowe angetafuta Mhusika mwingine agombee uenyekiti kisha amuunge Mkono, kwa usalama wa Chama

    Sabato Njema! Kambi ya Mbowe ingekaa ikatulia, ikatafakari, ikahesabu kila hesabu na chenchi zake. Hakika kama wangefanya hivi wasingemruhusu Mbowe Agombee tena. Ningekuwa kwenye hiyo Kambi, ningewashauri; "Tunahitaji Kambi yetu iendelee kuongoza. Sisi ni wamoja. Nasema uongo?" "Mbowe tayari...
  11. JamiiForums Tanzania Ni mtu mjinga ndo anaweza kusema CCM itatawala milele , jibu ni wakati wa CCM ukifika kuondoka itaondoka kama MBOWE.

    Leo mgefikiria mtu Kama Mbowe kukataliwa na kila mtu . Hii ni weak up call kuwa katika kila kitu kuna majira yake . Hivyo ikifika wakati wa Ccm kuondoka wataondoka . Ni swala la muda tu.
  12. JamiiForums Tanzania Sera za Mh. Lissu ni hizi; za Mbowe ni zipi?

    Mheshimiwa Lissu ameweka na kufafanua kwa kina sera zake ikiwa atashinda uwenyekiti wa CHADEMA 1. No reform no election. Hakuna kumchekea Samia wala CCM 2. Kuwe na ukomo viti maalumu bungeni 3. Kuwe na ukomo kwenye uongozi wa chama 4. Kupeleka rasilimali za chama ngazi za chini badala ya...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Akiwashangaa Mbowe na wafuasi wake, Anaandika Wakili Jebra Kambole: "Kwani nani Hayataki Haya?

    Ukweli mchungu: Labda tusaidiane kufahamu, hivi kweli ni nani hataki haya? Pia soma: Kuelekea 2025 - Tuzijue "Sera za Mbowe" dhidi ya "Sera za Lissu," uchaguzi mwenyekiti CHADEMA 2025
  14. JamiiForums Tanzania CCM wanataka Mbowe aendelee kukaa madarakani kwa sababu hizi hapa

    Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya ndugu wanaJF. Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Baada ya CCM kumpigia Mbowe kelele kwa muda mrefu kwa sababu za kuchakachua katiba ya CHADEMA ili akae madarakani milele, ghafla wamebadilisha gea angani na kuanza kumuunga mkono...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: LYENDA: Tayari Team Mbowe wametenga TZS Milioni 380 kama fedha za kusafishia njia tu na sasa wanaelekea mikoani kusalimiana na wajumbe

    Makamanda kama kweli itatokea mtaanza kupokea pesa huko Majimboni kwenu kutoka kwa Freeman Mbowe basi ondoeni mashaka kabisa kuwa Mwenyekiti wenu tayari ni mtu wa Serikali na nirafiki wa watesi wenu lazima aogopwe kama ukoma. Freeman Mbowe amekuwa akilalamika uongozi huu ni mgumu na hauna...
  16. JamiiForums Tanzania Aliyemshauri Mbowe agombee alidhamiria kumdhalilisha na kukiua Chama

    Kwema Kabisa! Mbowe itampasa amkumbuke aliyemshauri aendelee kugombea. Familia yake ilimshauri apumzike, kwa mujibu wa maelezo yake. Ni kwa sababu inampenda na kutaka heshima yake idumu. Lakini kuna kundi jingine ambalo likamshauri vibaya agombee ili adhalilishwe, heshima yake kushuka, na...
  17. JamiiForums Tanzania kule Kenya,Vijana leo wameanzisha maandamano ya kupinga kutekwa kwa kijana mwezao. Tanzania hii haiwezekani tunataka mtu atuandamanie.

    Tanzania narudia kusema Movement za kiuanaharakati hatuziwezi na tunazania mtu mmoja anaweza fanya kwamba kuna mtu anaweza andamana kwa niaba yetu au anaweza paza sauti na sisi tukakaa kutazama jioni kwenye taatofa za habari. Wakenya wana spirt ya asili ya kupambana na sio kutegemea wakina...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 MDAHALO: Wagombea Uenyekiti wa CHADEMA kuhojiwa na Chief Odemba. Ni tarehe 18.01.2025 Jumamosi

    Kumekucha ila ngoja tuone Miamba hii miwili ya CHADEMA itakavyomenyana mbele ya Wananchi, Tuendelee kumwomba Mungu ili sote tufike salama 2025. ==== Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utafanyika tarehe 18/01/2025, siku ya jumamosi kuanzia saa 3:30 Usiku hadi saa 6:00 Usiku, mahali...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Jebra Kambole: Jinsi ilivyo ngumu kumnadi Mbowe; sasa mpitisheni muone itakavyokuwa ngumu kuwanadi wagombea 2025. Mtapita kama mnaaga maiti

    Wakili wa Mahakama kuu ya Tanzania Mhe Jebra Kambole amewaonya wanachadema wanaotaka Freeman Mbowe aendelee na Uenyekiti kwa miaka mingine 25 ijayo waache hayo mawazo. Wakili Jebra Kambole amesema Jinsi ilivyongumu leo kumnadi Mbowe kwenye nafasi ya Uenyekiti hata mara baada ya kumpitisha...
  20. JamiiForums Tanzania Mambo ya msingi yaliyowasukuma Lisu na Mbowe kuwania Uenyekiti Taifa wa CHADEMA

    Great Thinkers, Nimerejea hotuba za wagombea wawili wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA, Haya ndiyo mambo ya msingi ambayo kila mgombea ameyatabainisha kama sababu zilizomsukuma kuwania nafasi hiyo. Kwa ambao ni wapambe ama wapiga kampeni wa kambi hizi, mnaweza kuja na uchambuzi wenu iwapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…