mbili

Mbili (Bambili) and Mbui (Bambui) are dialects of a Grassfields Bantu language spoken in Cameroon.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Pande mbili za Tanzania yetu

    PANDE MBILI ZA TANZANIA YETU. SEHEMU YA KWANZA: TANZANIA YETU KATIKA MAANDISHI NA PICHA. SEHEMU YA PILI: WANANCHI NA UFUKARA, WATAWALA NA UKWASI. TANZANIA YETU KATIKA MAANDISHI NA PICHA. Chanzo cha picha: mtandaoni.(hawa ni vijana wa kitanzania waliovalia kiasili). Tanzania ni nchi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ikulu ya Ukraine yalalamika kuwa Urusi imeziangamiza melivita mbili za Ukraine

    Ikulu ya rais Zelensky wa Ukraine inalalamika kuwa Urusi ameziangamiza melivita mbili za jeshi la Ukraine kwa kutumia makombora ya shabaha kali yaliyorushwa toka kwenye ndegevita za Urusi. Ndege hizo zilishambulia zikiwa kwenye kijiji cha Novofedorivka huko Crimea. Mwambieni Zelensky aache...
  3. JamiiForums Tanzania Ukija na kishkwambi chako hata kwa 200 Mbili sinunui

    Nawashangaa Sana wanaokwapua tablet maarufu kwa kimombo kishkwambi. Jamani sensa itatusaidia sote mnaiba za nini. Mkatumie bando mnalo? Kwa kweli ukija hata ukinishia tablet nakwepa. Begi langu nalinda asije mwizi akanichomekea mtu. Ukija na kishkwambi chako hata kwa 200 Mbili sinunui.
  4. JamiiForums Tanzania Nyumba za kupanga, tabia iliyonikera ni Mtu mzima na akili zake anaingia choon na maji nusu jagi Alafu anaenda kushusha zigo la kilo mbili, wewe je ?

    Enzi hizo nasoma chuo nilipanga geto, niliishi nyumb in watu wazima kidogo, Mtu na akili zake anatoka nje na taulo anaenda anaingia choon na maji nusu jagi Alafu anaenda kushusha zigo la kilo mbili .. basi Ukiingia unakuta Choo kimechachawa na kinyesi lundo Kiukweli sikufurahia hiki kitu
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini kodi ikatwe mara mbili kwa kipato hicho hicho kimoja?

    Sio kwamba hatutaki kutozwa kodi. Swali la msingi la kujiuliza ni kwanini makato yawe zaidi ya mara moja kwa kipato kimoja? Mshahara unakatwa kodi (PAYE), bank husika wanakata service charge. Wakati wa kutoa unakatwa salio la kutolea. Na bado serikali ikate tena tozo. Huu ni uonevu...
  6. JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu kuhusu RADI (my own testimonial)Nimeshuhudia RADI! Mara mbili, Ni kweli RADI ni kuku kabisa! Tena jogoo anaevutia haswa!

    Naam, Kumekuweko na speculation nyingi kuhusu RADI. Nyingi zikihusisha radi katika makundi mawili, ambayo ni radi kisayansi,kama umeme asilia na Radi kiimani. Wengi wakiihusisha na ushirikina. Binafsi ziko katika upande wowote Kati ya hizo pande mbili hapo juu, bali naeleza kile nilichopata...
  7. JamiiForums Tanzania Dstv wanaweza kurudisha pesa kama umenunua kifurushi mara mbili?

    Inasikitisha sana wakuu
  8. J

    JamiiForums Tanzania Chongolo azibana Wizara mbili upimaji wa Ardhi

    CHONGOLO AZIBANA WIZARA MBILI UPIMAJI WA ARDHI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo ameitaka Wizara ya TAMISEMI na Wizara ya Ardhi kuweka malengo kwa kila Mkurugenzi, Makatibu Tawala wa Mikoa kuhakikisha wanayatambua maeneo yote na kuyawekea programu ya kila mwaka...
  9. JamiiForums Tanzania Wananchi wa 'Northern Malawi' tunawakumbusha waliosahau kuwa zile 'Ndege' zingine Mbili zilizokuwa ziwasili mapema mwaka huu mbona hazijatua bado?

    Wengine kama akina GENTAMYCINE tuna Udhaifu Mmoja mkubwa wa Kukariri Jambo na Kutosahau Milele hivyo tunakumbusha tu ujio wa Ndege zetu zingine Mbili Kubwa za Air Northern Malawi. Halafu tunawaombeni kama ambavyo huwa mnapenda Kukurupuka kwa kutafuta Sifa Kwetu Wananchi wa Northern Malawi juu...
  10. JamiiForums Tanzania Iran: Mafuriko ya siku mbili yauwa watu 53

    Mafuriko ya siku mbili maeneo ya Tehran yameuwa Watu 53 kwa mujibu wa taarifa rasmi ya Serikali. Mkuu wa Kitengo cha Msalaba Mwekundu, Mehdi Valipour amesema Watu wengine 16 hawajulikani walipo baada ya tukio kuathiri Watu 400 katika Vijiji 18 na kusababisha miundombinu mingi kuharibika. Wiki...
  11. JamiiForums Tanzania Amini usiamini, Tanzania hadi sasa ina flyover mbili (2) tu zinazofanya kazi rasmi

    Maana kwanza nicheke, hivi hii nchi tunaambiwaga ina watu milion 60 ni kweli au ni nadharia? Yaani flyover 1 kwa watu milioni 30?! Hivi hii inaingia akilini kweli? Hebu tusubiri Sensa tuone, hadi majibu ya Sensa yatoke ndio ndio nitaamini
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Polisi wavamia ofisi zinazoaminika kuwa za William Ruto, Wachukua kompyuta mbili na Seva mbili

    Polisi katika mji Mkuu Nairobi wamevamia ofisi zinazoaminika kuwa na uhusiano na Naibu wa Rais, William Ruto, na kuchukua kompyuta 2 na seva 2 Uvamizi huo unajiri huku kukiwa na mvutano kati ya vikosi vya usalama nchini na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini (IEBC) baada ya mkuu wa tume hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza Mashine aina mbalimbali, tupo Dar es salaam

    MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI BEI: 450,000/= Je, huna cha kufanya? Unatafuta kazi hupati? Sisi ni wasambazaji wa mashine tofauti kutoka china, mashine zipo kwa oda malipo ukikabidhiwa mzigo wako kwa wa dar, wamikoani kuna utaratibu wengine MNAKARIBISHWA! KWA Mashine hii unaweza kutumia kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kafa mara mbili. Huko aliko atakuwa bado anateseka sana

    Karibia mwezi mzima....nmeteseka sana mimi. Sikuwa nikilala...hata mchana tu nmekuwa nakaa room kwa mashaka. Documents zangu zimeharibiwa na pesa zangu zaidi ya mamilioni ya shilling. Ni kama billion 2 hivi. Maana nlikuwa nmeandaa project moja yaani min ningepata bil 2. Ikaharibiwa vibaya sana...
  15. S

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Mshahara ulipwe kwa awamu mbili

    Habari za majukumu wana JamiiForums. Andiko langu la leo ni juu ya namna ya mshahara wa mtumishi ulipwe, kuzingatia mabadiliko ya mifumo ya maisha kupanda na kushuka kwa gharama za maisha napendekeza watumishi wa umma walipwe kwa awamu mbili nikiwa na maana ya tarehe 15 na tarehe 30 ya mwezi...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi ni lazima Mawaziri wanapoongea kumtaja taja Rais kila baada ya sentensi mbili?

    Salaam, Hapa nilikua nasikiliza hotuba ya waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa alipokua anazungumza na maafisa Mawasiliano wa mikoa, aise jamaa kamtaja rais zaidi ya mara 20. Ndio kuna mahala katika hotuba kuna uhitaji wa kumtaja rais labda kuna maagizo au nukuu au kufanya rejea ya matukio...
  17. JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia kusafiri nchi mbili kufuatia vifo vya viongozi wakuu wastaafu?

    Mipango ya Mungu haiepukiki. Kama mnavyojua dunia imepata mapigo mawili ya misiba Shinzo Abe wa Japan na Rais mstaafu wa Angola ndg Dos Santos. Kwa sababu za kiprotokali mama Samia wiki ijayo huenda akawa bize Sana, kwanza ataenda Tokyo kutoa heshima zake za mwisho kwa Wajapan na familia kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzanite Tv Haipo Hewani, Cyprian Musiba Simpati kwenye namba zote mbili.

    Habari zenu, kwa zaidi ya miezi 3 sasa nimekuwa nikimtafuta ndugu yangu mwana harakati huru Cyprian Musiba bila mafanikio, hata ukiingia Youtube Tanzanite Tv haionekani tena. Nani anajua kinacho endelea?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…