mbele

Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mnguto na Kasongo hawakujiuzulu kwasababu za Yanga, bali kuitaja serikali mbele ya Ally Kamwe

    Kwa desturi za waafrika, watanzania na Karia, Kila nafasi ni ajira kamili, hivyo hatuna utamaduni wa kujiuzulu hata kama watu waseme nini. Hata Hawa hawakujiuzulu kwasababu wameboronga. Uwezekano nii mkubwa sana kwamba huenda wamejiuzulu kwasababu ya kuitaja serikali kwenye kikao kama chanzo...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kama kuuwawa mbele ya kadamnasi kutasaidia sauti ya wataka haki kusikika, mimi nitafanya hivyo!

    Kadri siku zinavyoenda ndoto zangu za kuona ukurasa mpya umefunguliwa kutoka kwa Rais wangu zinapotea. Vitisho vilivyokuwepo kwa JPM tukaogopa sasa vimeongezeka. Tunatishwa, kupotezwa ama kuuwawa ama kunyanyaswa kwa namna yeyote ile. Wakulima, wafanyakazi kwa wafanyabiashara wote hatuna amani...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Binafsi sijaona kibaya alichokisema Mpina mbele ya Rais Samia

    Jana katika ziara ya Mhe. Rais katika Wilaya ya Itilima Mhe. Mpina Mbunge wa Kisesa alipewa muda kusema machache kuhusu Jimbo lake la Kisesa. Mhe. Mpina alisema kero za Jimbo lake likiwemo kwa nini mnunuzi wa pamba anakuwa ni mmoja katika kila Wilaya jambo ambalo ni la msingi. Pia Mhe. Mpina...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete CCM ina Wazee unawaita Wazee kwenye hili angalia hatua zako mbele kuna shimo kubwa

    Mh Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naomba kukung'ata sikio ila pia naomba pia sio lazima chukua wazo langu mimi ni mdogo sana ila natamani kuona ccm na Taifa lina kuwa tulivu na ccm ina tawala hata kama miaka mia ila zingatia haya. Wewe ni Rais mstaafu kama wastaafu wengine wa serikali epuka kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Messi, Miami washindwa kutamba mbele ya wababe wa Afrika, Al Ahly kwenye Club World Cup

    Pazia la michuano ya kombea Dunia kwa ngazi ya klabu limefunguliwa rasmi Alfajiri ya leo Juni 15, 2025 ambapo wawakilishi wa Afrika, Al Ahly ya Misri wametoshana nguvu kwa sare tasa na Lionel Messi na wenzake wa Inter Miami katika dimba la Hard Rock, Miami. Wakati mashabiki wa Inter Miami...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaosema Demokrasia ya kenya ipo miaka 50 mbele? ndo hii ama kuna ingine?

    https://www.tiktok.com/@254show/video/7515130392211410194?is_from_webapp=1&sender_device=pc
  7. JamiiForums Tanzania Mitaaa wanayotoka masikini ndo hutakuta kuna Madanguro, vilabu vya pombe, na wauzaji wa madawa hii ipo planned

    Binadamu ni Bidhaa ya mazingira yake . Wazungu walishamsoma MTU mweusi na kujua udhaifu wake kuwa ni ngono, pombe , na madawa bangi pombe na sigara. Unapozungumzia Anasa means is endless shit . So ukimjengea MTU danguro , vilabu vya pombe n.k usitegemee huyo MTU akafanikiwa kwa lolote He or...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba hawajaumia mechi ya tarehe 15 kusogezwa mbele. Wameumia kuondolewa kazini viongozi wa bodi ya ligi

    Huo ndio ukweli mchungu
  9. JamiiForums Tanzania Wenda ndo yeye ameandaliwa kutuongoza Ana ufanano na aliyetangulia mbele ya haki Ila huyu anafuata sheria

    Yawezekana ni yeye wa awamu ya 7, 1. Hapendi Rushwa 2. Hana pupa ya madaraka kwanza misingi ifuatwe 3. Anafuata sheria 4. Hana Kona kona 5. Niliwai sema sehemu kwamba yawezekana mbowe uoga wake kuachia uenyekiti kuna madudu mengi anaogopa yasijulikane, Mfano ya kule shambani hai, kimya kimya...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania haisongi mbele sababu marais wetu wanne kati ya sita hawana asili ya Tanzania

    Ukiondoa marais wawili tu,sitawataja majina Wanne waliobaki hawana asili ya Tanzania. Ndio maana hawana uchungu na nchi yetu
  11. J

    JamiiForums Tanzania Je Kuna Uhalali wowote Kusalia Mbele ya Nyumba ya Ibada ya Dini Nyingine?

    Hicho ndicho kilichotokea wakati wa Eid Al Adha huko Montreal Canada. https://x.com/realMaalouf/status/1932453119792685440 Na bado Waziri Mkuu wa Canada katika salamu zake za Eid, alimwaga sifa kemkem kwa Waislamu. Swali jingine mtu anajiuliza je this love affair baina ya viongozi wa kisiasa wa...
  12. JamiiForums Tanzania Simba anaichora tu Yanga, TFF na Bodi ya ligi. Wasipoleta Timu Tarehe 15 Basi Simba lazima adai point 3 mezani au agome endapo kanuni hazitafuatwa

    Baada ya Yanga kutoa tamko lao la hawatacheza mechi mpaka matakwa yao yatakapofanyiwa kazi, Simba nao ni kama wanasubiri Yanga isilete Timu tarehe 15, ili adai point 3 za mezani... na hasipopewa point 3 za mezani nae anagoma mpaka haki itendeke. Ikumbukwe tayari mamlaka za mpira Nchini...
  13. JamiiForums Tanzania Ujasusi: Ni lazima uwaze mbele ya wakati

    Wengi wanajiuliza Gwajima yuko wapi? Minong'ono ni mingi lakini ni wazi mpaka sasa hajaingizwa kwenye 'mikono salama'.. Na wakili wake Peter Kibatala kasema mteja wake yuko salaam Gwajima ni bingwa wa kupangilia matukio.. Nikikumbuka kipindi cha Magu alivyotaka kuwatoka police pale TMJ...
  14. JamiiForums Tanzania Kazi na Utu; Watu wanatekwa, Watu wanauawa, Makanisa yanafungiwa, Tunasonga mbele

    Kuna Mgombea mmoja 'Motto' wa kampeni zake na chama chake ni 'Kazi na Utu', wakati huohuo katika nchi anayoiongoza watu wametekwa, wameteswa, wameuawa, wengine wametekwa mchana kweupe na miili kukutwa imetelekezwa Wakati huohuo baadhi ya wachache wenye ujasiri wa kuisemea hadharani na kukemea...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania msiwe wajinga kuunga mkono mambo ya kijinga! Mtajuta huko mbele

    Watanzania kama hamjui baadhi yenu mnatengeneza nchi mbayo itakuja kuwa kama Uganda ya mtu mmoja na family yake. Ndiyo kitu mabacho hizo familia chache za maraisi wastaafu wanataka kufanya. Mkiwaacha itafika wakati hata ndani ya hiko chama kitakuwa ni ndugu na jamaa pekee. Kuna watu wanaweka...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hakimu atoa onyo kali kwa Lissu na wenzake kutodharau Mahakama pale inapokuwa imeketi

    Mahakama imempa onyo Tundu Lissu na wenzake kwa kupiga kelele na kuleta vurugu baada ya Hakimu kuingia ndani ya Chumba cha Mahakama. Hakimu alipoingia Tundu Lissu alileta aliongea mahakamani kwa kuwaambia wafuasi "No Reforms No Election" Hakimu ameeleza kuwa Mahakama inakuwa kamili pale...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi huyu ni nani anayeweza kukaa mbele ya mamlaka kuu ya nchi yetu namna hii?

    Shida sio kukaa hivyo mbele ya SSH. Shida ni pale Rais kakaa kwenye kiti chenye mamlaka ya utawala na bendera zote mbili ya Rais na ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania zikiwa nyuma yake alafu mtu anakaa mbele ya mamlaka kama yuko geto na masela huku yuko bize na simu na haonyeshi kumsikiliza...
  18. JamiiForums Tanzania Kilimo kinalipa mno nauona utajiri mkubwa mbele yangu

    Kupanga ni kuchagua Kuna vijana tuliamua kulima Kwa bidii na Sasa tunavuna na Mungu amejalia mazao yamekubali na bei Iko poa mno Nawapongeza serikali hasa sisi watu wa mkoa wa Kagera tumepata bei nzuri ya kahawa Kuna uwezekano ikafika kg 1 sh 10000 Sasa hapa fikiria mkulima atakayepata hata...
  19. JamiiForums Tanzania Ni Usonji au madawa ndio humpelekea Elon Musk kufanya vitendo vya ajabu akiwa mbele ya watu?

    Elon Musk jana akitokea hadharani akiwa na ngeu usoni ameulizwa kuhusu taarifa za yeye kutumia dawa za kulevya akawa mkali sana bila kukanusha hayo madai.
  20. JamiiForums Tanzania Njia ya ZANU-PF ya Zimbabwe ndio iliyopo kazini Tanzagiza kukiwa hakuna upinzani hata wa kuikaribia MDC, mbele ni giza tupu.

    Mwaka 2008 Zimbabwe ilifanya uchaguzi mkuu, chama cha upinzani cha MDC cha Morgan Tsavangirai kikashinda urais na viti vingi vya ubunge, kilichotokea tume ya taifa haikutangaza matokeo kwa miezi miwili baada ya uchaguzi. Hatimaye matokeo yalipotangazwa tume ikamtangaza Morgan Tsavangirai...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…