mbele

Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimepanda miti minne, mitatu mbele ya hotel ya Kebby's na mmoja ilipokuwa shule ya Mwenge Open Academy (MOA)

    Jana tarehe 17/12/2024 nilipanda miti minne mtaa wa Mwenge Kijijini. Nimepanda jumla ya miti minne, mmoja mbele ya ilipokuwa shule ya Mwenge Open Academy (MOA), na mingine mitatu nimepanda mbele ya Kebby's Hotel. NI utamaduni wangu wa kupanda miti kandokando ya barabara ili kuwafanya waendao...
  2. JamiiForums Tanzania AFANDE SELE FT 20% - MBELE YAKO NYUMA YANGU.

    AFANDE SELE FT 20% MBELE YAKO NYUMA YANGU.. Intro. Yah..hahahaha mj Record sio Afande sele, asilimia na Marco chali Hahahaha chorus.. 20% . Mbele yako / Mbele yako/ Nyuma yangu/ Nyuma yangu mie/ Usinichukie Weee..!!/ Ndugu yangu/ Uuuh.. Mbele yako / Mbele yako/ Nyuma yangu/ Nyuma yangu...
  3. JamiiForums Tanzania Miaka michache mbele miji ya Africa ndiyo itakuwa na hewa chafu zaidi duniani

    Miji mingi mikubwa yenye watu wengi inasumbuliwa sana na hewa chafu. Mchafuzi wa kwanza akiwa ni magari. Moshi wa magari unachafua hewa ya miji ya nchi kama India hadi shule zinafungwa na watu wanashauriwa kukaa ndani. Miji ya China ilikuwa na hewa chafu hadi watu wanatembea na mask. Leo miji...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuhusu Katiba mpya/ Sheria mpya za Uchaguzi, mimi nitakuwa mstari wa mbele

    Ndugu zangu Maaskofu, Masheikh, Mapadre, Wachungaji, Manabii, Mitume na Watanzania wote, suala la Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi linatuhusu sisi sote. Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi si kwa ajili ya chama/ vyama vya siasa tu, bali ni kwa ajili ya Watanzania wote. Katiba mbovu...
  5. JamiiForums Tanzania Shabiki wa simba tembea kifua mbele atakayesema timu mbovu au mwalimu hafai hajui mpira na sio simba!

    Simba imepiga mpira mkubwa sana pale algeria tena kwenye mazingira magumu ya mvua na baridi uwanja kuteleza. Mwalimu amepanga kikosi vizuri kabisa kwa mipango simba ilicheza kwa kujiamini magoli iliyofungwa ni makosa ya kawaida kwenye mchezo wa mpira ila kwa mwenye kujua mpira....... Ila tu...
  6. JamiiForums Tanzania Polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele je wewe mwana jamiiforum unaliona hilo aliloliona humphrey polepole likitimia?

    Mwanasiasa na balozi polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele ikiwa strong and firm je hii ajali ya wabunge imetoa majibu kwa utabiri wa polepole?
  7. JamiiForums Tanzania Madhara ya kufanya mapenzi mbele ya watoto wadogo

    Hebu tujadili wakuu maana kuna wazazi WA ajabu sana.hata kama chumba kimoja fanyieni hata mvunguni.
  8. JamiiForums Tanzania Kuungama dhambi mbele ya Padre, unaripotiwa polisi?

    Sisi wakatoliki kuungama ni amri ya Kanisa, tena inakujitaji kuungama dhambi zako zote walao mara moja kwa Mwaka...(Unless kuna updated version) Sasa tukiwa vijana wadogo secondary huko kuna janja wa form five hivi alikuwa katoka seminar akawa anatueleza conspiracies za kuungama na ukoloni...
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania ni waoga sana hata mimi ni muoga

    Watanzania ni waoga sana hata Mimi muoga sana yaani ukitekwa eneo nililopo Mimi sahau kuhusu msaada Sina mda wa kufa Kwa ajili ya mjinga mwingine aishi sababu sioni faida naona wengi mnaongea sijui watu wa dar wako hivi ajabu maneno na mbwembwe zote zinaishia humu na wahusika ambao ni polisi...
  10. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, ni wakati wako sasa wa kuachia ngazi kwa heshima, siasa za kuonewa huruma hazitoifikisha mbele CHADEMA

    MBOWE SASA NI WAKATI WA KUPUMZIKA KWA HESHIMA CHAMA MUACHIE TUNDU LISSU. Ikiwa Chadema itaendelea kuwa chini ya uongozi wa Mbowe basi wana miaka michache sana kwenye siasa za Nchi hii kama chama kilichodhaniwa mbadala wa CCM. Siasa za Mbowe za kuonewa huruma kila mara Wananchi tumezichoka na...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Canada na Rais Mexico wamekataa kuwa wanyonge mbele ya Trump

    Baada ya Rais donald trump wa marekani kupost kwenye mtandao wake wa X kuwa bidhaa yeyote inayotoka canada,Mexico na china zitaanza kuliko ushuru wa 25% ya bidhaa izo kabla ya kuingia usa kitu ambacho kwa mawazo ya trump anaamini kitakuza uchumi wa Marekani Na pia kitafanya company nyingi za...
  12. JamiiForums Tanzania Shemsa ampongeza Rais Samia kwa kusongesha maendeleo ya taifa mbele

    Tarehe: 24 Novemba 2024Mahali: Kijiji cha Mwandoya, Wilaya ya Meatu. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif anayeendelea na ziara yake ya "Siku Saba za Moto" ambapo leo zimesalia siku mbili kabla ya kumalizika. Katika ziara hii, Mwenyekiti alitembelea...
  13. JamiiForums Tanzania LGE2024 Aliyekuwa Mwenyekiti CCM, Kigoma atema cheche mbele ya Zitto Kabwe: Tumekwenda Jela kwasababu ya Matumbo yenu, miaka 10 nakokota matumbo yao

    Aliyekuwa Mwenyekiti CCM asimulia mazito aliyoyapitia akiwa CCM mbele ya Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa Ilalangulu, Kigoma akiwanadi Wagombea kulekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 27. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: Special Thread: Orodha ya...
  14. JamiiForums Tanzania Ni taifa la Israel tu raia wake 24 wako mbele kabisa katika utawala wa Mungu Mbinguni

    Leo nataka nikupe haya maarifa hadimu Sana, tena Sana. Wenye hekima Watanielewa. Kule nchi ya mbinguni au peponi, kuna itawala wa KIMUNGU. Wale wenye neema ya kuingia mbinguni watauona huu utawala. Utawala huu Mungu ameandaa kwa ajili ya Wanadamu. Sasa basi, kwa sehemu, Mungu ametufunulia...
  15. JamiiForums Tanzania Usioane na mbadala, eti utampenda mbele ya safari

    Usioane na mbadala, eti utampenda mbele ya safari, kujifunza kumpenda mtu ukiwa naye ni changamoto sana kwasababu matarajio yako yasipokuwa vile utamanivyo huku ukiendelea kuzaa naye, kupoteza muda wako ni mateso 😢 Mungu ataendelea kukutanisha na wale watu wa aina yako kila leo wakiwa single au...
  16. JamiiForums Tanzania Kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai: Matangazo ya kamari, riba na pombe yameingizwa mpaka sehemu ambazo zilionekana ngumu kufika

    Zamani (kabla ya smartphone) nilikuwa nikitaka kudownload miziki naingia Waptrick. Simu kubwa zilipokuja nikaona process za kudownload kwenye browser ni ndefu kwanza vitu vyenyewe unakuta vimeongezewa au vimepunguzwa mfano ukidownload kupitia mdundo lazima ukiplay mwanzo yasikike maneno "...
  17. JamiiForums Tanzania Maana ya jiji iko wapi kama hawako mstari wa mbele katika majanga makubwa?

    Kwa nini meya wa jiji haonekani mstari wa mbele Katika janga la kibinadamu la kuanguka kwa ghorofa Kariakoo ambalo ni eneo lake kiutawala? Katika maafa kama haya meya alipaswa kuwa mtu muhimu zaidi kuliko wote akizungumza na vyombo vya habari, ila hapo Kariakoo ni kama hakuna meya kabisa au...
  18. JamiiForums Tanzania Huyo msichana mzuri hapo mbele saivi ana miaka 84, muda unapaa

    hii picha imepigwa mwaka 1960, kama huyo msichana alikua na hata na miaka 20 tu, saivi ni bibi ana miaka 84, muda unapaa
  19. JamiiForums Tanzania Sala ya kuwaombea toba Washenzi wa Afrika mbele ya moyo mtakatifu wa Yesu

    Ni sala maarufu sana Iliyokuwa Inalindima Kipindi kile cha Ukoloni Kutoka kwa WaMissionary na Hasa Maaskofu wakuu wa enzi hizo za Ukoloni.. Mungu utusaidie Tusiwe Miongoni mwa Washenzi Wasio kuwa na Elimu ya Kukutumikia. cc:- Kiranga Kisai Rabbon min -me
  20. S

    JamiiForums Tanzania Unyanyasaji wa wapinzani: Namuomba Mungu anaetoa maagizo atangulie mbele za haki atuachie nchi yetu

    JF simameni katikati, hapa hajatajwa mtu.. Nikirudi kwenye mada, Kama kuna mtu wa ngazi yoyote anatoa maagizo wagombea wa upinzani wanyanyaswe kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa, ombi langu kwa Mungu ni amchukute huyo mtu ili nchi yetu iendelee kuwa salama. Na kama ni mfumo, Mungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…