mbele

Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hotuba binafsi ya Tundu Lissu mbele ya wanaombackup huko ulaya ni ya kinyonge sana na ina dalili zote za kukata tamaa

    Ni wazi muungwana ameenda kuomba milioni 30 alizotakiwa kuchangia na kamati kuu, kama sehemu ya gharama za mkutano mkuu wa chadema taifa na uchuguzi wa Chadema ngazi ya taifa. Hata hivyo ni kama vile hana uhakika wa kuipata. Ieleweke bayana kwamba, mgombea huyu mbinafsi sana wa uenyekiti...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Tegeta Escrow: Je, David Kafulila anakumbukwa kwa lipi baada ya Kifo cha Jaji Werema?

    Roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa amani -AMINA Leo mara baada ya kupata taarifa za kifo cha aliyewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya awamu ya nne (4) chini ya Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Hayati Jaji Frederick Werema, Kwa haraka nikamkumbuka...
  3. JamiiForums Tanzania Japan wako mbingu ya saba, miaka laki moja mbele ya CCM

    # Tokyo Flood Tunnels, an underground engineering marvel that protects the city from flash floods. # # These tunnels, located beneath Tokyo’s bustling streets, are a stunning example of modern Japanese engineering. # # They not only channel rainwater away from urban areas, but also provide...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 MDAHALO: Wagombea Uenyekiti wa CHADEMA kuhojiwa na Chief Odemba. Ni tarehe 18.01.2025 Jumamosi

    Kumekucha ila ngoja tuone Miamba hii miwili ya CHADEMA itakavyomenyana mbele ya Wananchi, Tuendelee kumwomba Mungu ili sote tufike salama 2025. ==== Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utafanyika tarehe 18/01/2025, siku ya jumamosi kuanzia saa 3:30 Usiku hadi saa 6:00 Usiku, mahali...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Hivi faragha ya kuchakatana na bikra inakuwa ni gwaride kwa kwenda mbele ama ni ziara ya mafunzo?

    Jamani eeh! Mwenzenu ktk pitapita zangu wiki iliyopita nilibahatika kumpata bikra. Sasa leo, siku ya sikukuu ya Krismasi ndiyo fursa ya huyu bikra kuniruhusu nichane bahasha ili niisome barua yake. Bahati mbaya, sijawahi kuletewa barua ikiwa ikiwa kwenye bahasha iliyofungwa kwa gundi. Hivyo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tusameheni Zitto, Dr. Slaa na wengine wote mliopakaziwa tuhuma za usaliti ndani ya CHADEMA. Mlikuwa mbele ya wakati

    Wahenga walisema ukweli huwa una tabia ya kuchelewa lkn siku ukifika huwa uwongo unakimbia kama giza kwenye mwanga. Waathirika wa kusingiziwa kuwa ni wasaliti ndani ya chadema hatimaye leo wameibuka kidedea na kinara wa kuchafua wenzake ameonekana. Zitto, Prof. Kitila, Dr. Slaa, Msigwa, mzee...
  7. JamiiForums Tanzania Sogea mbele hata kama unahisi kuchoka ila hakikisha hata unachechemea, unatambaa au unafanya kila liwezekalo katika kujikomboa tu

    Sogea mbele hata kama unahisi kuchoka ila hakikisha hata unachechemea, unatambaa au unafanya kila liwezekalo katika kujikomboa tu Kukosea, mapito au kupoteza ni kawaida katika maisha ila usivunjike moyo na ukaamua kuishilia hapa duniani fanya mabadiliko sasa Usiache kuamini mazuri yajayo hata...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mbele ya CHADEMA Kuna Uzima na Mauti, wapiga kura kazi kwenu

    Ukiangalia mtifuano uliopo Katika Kinyang'anyiro Cha Uwenyekiti Taifa ndani ya Chama Kikuu Cha Upinzani CHADEMA, utagundua kwamba Kuna Uzima na Mauti kwenye hicho Chama. Mauti ya Chadema iko hapa: Tuhuma za miaka yote kuihusu Chadema kama taasisi zimekuwa zikipuuzwa sana huku wanasiasa maarufu...
  9. JamiiForums Tanzania Labda miaka 40 mbele ndio upinzani wanaweza kupata mpenyo wa kuchukua Dola kama ilivyotaka kutokea 2015

    Wengine hapa nchini hatuna majina lakini tuna macho ya rohoni (third eye) . Tangu nipate akili timamu za kiutu uzima na kujitegemea Mimi sijawahi kuwa mdau wa CCM. Nina kadi ya CCM na CHADEMA ndani. Ya CHADEMA niliikata mwenyewe 2015 na CCM nimeletewa tu mwaka huu. Kwa ufupi Mimi sina chama...
  10. JamiiForums Tanzania Nimepanda miti minne, mitatu mbele ya hotel ya Kebby's na mmoja ilipokuwa shule ya Mwenge Open Academy (MOA)

    Jana tarehe 17/12/2024 nilipanda miti minne mtaa wa Mwenge Kijijini. Nimepanda jumla ya miti minne, mmoja mbele ya ilipokuwa shule ya Mwenge Open Academy (MOA), na mingine mitatu nimepanda mbele ya Kebby's Hotel. NI utamaduni wangu wa kupanda miti kandokando ya barabara ili kuwafanya waendao...
  11. JamiiForums Tanzania AFANDE SELE FT 20% - MBELE YAKO NYUMA YANGU.

    AFANDE SELE FT 20% MBELE YAKO NYUMA YANGU.. Intro. Yah..hahahaha mj Record sio Afande sele, asilimia na Marco chali Hahahaha chorus.. 20% . Mbele yako / Mbele yako/ Nyuma yangu/ Nyuma yangu mie/ Usinichukie Weee..!!/ Ndugu yangu/ Uuuh.. Mbele yako / Mbele yako/ Nyuma yangu/ Nyuma yangu...
  12. JamiiForums Tanzania Miaka michache mbele miji ya Africa ndiyo itakuwa na hewa chafu zaidi duniani

    Miji mingi mikubwa yenye watu wengi inasumbuliwa sana na hewa chafu. Mchafuzi wa kwanza akiwa ni magari. Moshi wa magari unachafua hewa ya miji ya nchi kama India hadi shule zinafungwa na watu wanashauriwa kukaa ndani. Miji ya China ilikuwa na hewa chafu hadi watu wanatembea na mask. Leo miji...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuhusu Katiba mpya/ Sheria mpya za Uchaguzi, mimi nitakuwa mstari wa mbele

    Ndugu zangu Maaskofu, Masheikh, Mapadre, Wachungaji, Manabii, Mitume na Watanzania wote, suala la Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi linatuhusu sisi sote. Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi si kwa ajili ya chama/ vyama vya siasa tu, bali ni kwa ajili ya Watanzania wote. Katiba mbovu...
  14. JamiiForums Tanzania Shabiki wa simba tembea kifua mbele atakayesema timu mbovu au mwalimu hafai hajui mpira na sio simba!

    Simba imepiga mpira mkubwa sana pale algeria tena kwenye mazingira magumu ya mvua na baridi uwanja kuteleza. Mwalimu amepanga kikosi vizuri kabisa kwa mipango simba ilicheza kwa kujiamini magoli iliyofungwa ni makosa ya kawaida kwenye mchezo wa mpira ila kwa mwenye kujua mpira....... Ila tu...
  15. JamiiForums Tanzania Polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele je wewe mwana jamiiforum unaliona hilo aliloliona humphrey polepole likitimia?

    Mwanasiasa na balozi polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele ikiwa strong and firm je hii ajali ya wabunge imetoa majibu kwa utabiri wa polepole?
  16. JamiiForums Tanzania Madhara ya kufanya mapenzi mbele ya watoto wadogo

    Hebu tujadili wakuu maana kuna wazazi WA ajabu sana.hata kama chumba kimoja fanyieni hata mvunguni.
  17. JamiiForums Tanzania Kuungama dhambi mbele ya Padre, unaripotiwa polisi?

    Sisi wakatoliki kuungama ni amri ya Kanisa, tena inakujitaji kuungama dhambi zako zote walao mara moja kwa Mwaka...(Unless kuna updated version) Sasa tukiwa vijana wadogo secondary huko kuna janja wa form five hivi alikuwa katoka seminar akawa anatueleza conspiracies za kuungama na ukoloni...
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania ni waoga sana hata mimi ni muoga

    Watanzania ni waoga sana hata Mimi muoga sana yaani ukitekwa eneo nililopo Mimi sahau kuhusu msaada Sina mda wa kufa Kwa ajili ya mjinga mwingine aishi sababu sioni faida naona wengi mnaongea sijui watu wa dar wako hivi ajabu maneno na mbwembwe zote zinaishia humu na wahusika ambao ni polisi...
  19. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, ni wakati wako sasa wa kuachia ngazi kwa heshima, siasa za kuonewa huruma hazitoifikisha mbele CHADEMA

    MBOWE SASA NI WAKATI WA KUPUMZIKA KWA HESHIMA CHAMA MUACHIE TUNDU LISSU. Ikiwa Chadema itaendelea kuwa chini ya uongozi wa Mbowe basi wana miaka michache sana kwenye siasa za Nchi hii kama chama kilichodhaniwa mbadala wa CCM. Siasa za Mbowe za kuonewa huruma kila mara Wananchi tumezichoka na...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Canada na Rais Mexico wamekataa kuwa wanyonge mbele ya Trump

    Baada ya Rais donald trump wa marekani kupost kwenye mtandao wake wa X kuwa bidhaa yeyote inayotoka canada,Mexico na china zitaanza kuliko ushuru wa 25% ya bidhaa izo kabla ya kuingia usa kitu ambacho kwa mawazo ya trump anaamini kitakuza uchumi wa Marekani Na pia kitafanya company nyingi za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…