📖Mhadhara (74)✍️
Waswahili wanasema wivu ni kachumbari ya mapenzi, lakini kuna wanaume wana wivu mbaya sana kwa wake zao licha ya wao wenyewe ni wahuni walioshindikana.
Wapo wanaume ambao wana tabia zifuatazo....
✓ Mke akienda sokoni akirudi anafanyiwa ukaguzi wa mwili, kama vile kukaguliwa...