mbagala

Mbagala is an administrative ward in the Temeke district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. The ward lies south of the Dar es Salaam central business district. According to the 2002 census, the ward has a total population of 70,290. It is also the site of an army base, which was hit by a deadly ammunition dump explosion on April 29, 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

    Salaam Mkuu, leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kinafanya uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania zinazofanyika, Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam. Tundu Lissu ndiye anayepeperusha bendera ya Chadema kwenye nafasi ya urais na Salumu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tukitoka Mbagala kwa Tundu Lissu nawakaribisha Uhuru kuwashuhudia Dulla Mbabe Vs Kiduku

    Baada ya heka heka za ufunguzi wa kampeni za CHADEMA huko Mbagala si vibaya makamanda mkapitia pale uwanja wa uhuru " shamba la bibi" kumshuhudia kijana wetu wa mwananyamala Dulla Mbabe akimchakaza Kiduku kwa knock out ya mapema kabisa. Siasa siyo uadui, karibuni sana akina bwashee. Maendeleo...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Makamanda kulikoni huko Mbagala?

  4. JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga Mbagala

    .
  5. JamiiForums Tanzania Ni miaka 7 sasa ya mabomu ya Mbagala hakuna maazimisho

    Salaam... Wakuu mnajua tukio la Mabomu Mbagala na matukio mengine yanayogharimu maisha ya watu wengi huwa serikali wanayafumbia macho katika kuandaa maazimisho yake. Milipuko ya Mabomu - Mbagala ni tukio lililotokea mnamo saa 11:45 asubuhi ya tar. 29 Apili ya mwaka wa 2009 katika eneo la...
  6. JamiiForums Tanzania Malipo ya mabomu Mbagala: Waathirika walipwa Fidia Tshs 1,950

    Waathirika mabomu ya Mbagala walia fidia finyu Imeandikwa na HabariLeo Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana mbele ya baadhi ya waathirika hao, Katibu wa Kamati ya Waathirika hao, Thomas Mbasha, alisema baada ya ajali hiyo, walilipwa fidia ndogo na waliandika...
  7. JamiiForums Tanzania Waathiriwa wa mabomu Mbagala walalama

    Mkutano kati ya waandishi habari na Waathirika wa Mabomu Mbagala, ambao umefanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mbagala Kuu, jijini Dar-Es-Salaam mapema leo. Waathirika hao wapatao 1,361 kati yao 25 wameishapoteza maisha kutokana na athari za mabomu hayo. Mlipuko huo wa mabomu ni tukio...
  8. JamiiForums Tanzania Waathirika wa Mabomu Mbagala Kuu Waibuka na kumlilia Kikwete walipwe stahiki yao

    WAATHIRIKA wa milipuko ya mabomu iliyotokea katika Ghala la Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Mbagala Aprili 29 mwaka 2009 wameibuka upya wakimuomba Rais Jakaya Kikwete kuwasaidia wapate malipo stahiki kutokana na milipuko hiyo iliyosababisha vifo na kuharibu nyumba na mali zao mbalimbali. Ombi...
  9. JamiiForums Tanzania Athari za Mabomu yaliyolipuka Mbagala katika Picha

  10. JamiiForums Tanzania Report ya milipuko ya mabomu Mbagala iko wapi?

    Baada ya tukio la jana katika kambi ya Jeshi Gongo la Mboto nimeona ni vyema tukiliangalia na hili .................... April mwaka 2009 ulitokea mlipuko wa mabomu katika kambi ya Jeshi la Wananchi kambi ya Mbagala, na baada ya tukio hili viongozi wanaohusika na dhamana ya majeshi na ulinzi...
  11. JamiiForums Tanzania Mlipuko wa masalia ya mabomu Mbagal: Je, Dr. Mwinyi ajiuzulu?

    Mabaki ya mabomu 2 yalipuka na kuua watoto wawili walio kuwa wakicheza kwenye migomba na kuwaacha 4 wakiwa wamejeruhiwa vibaya. More news stay tuned. Watoto hawa wamenusurika kupata mauti wakiwa na mama
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…